Naomba muliyoweka clip hii nzuri, Je mumeipata wapi hii picha ya Mkamandume?! Kweli ni picha ya karne hio aliyoishi huyo bwana Abrahman Mohammed (Mkamandume)? Hamuoni kwamba MUNAPOTOSHA?
Uwepo msako na uchunguzi nyumba zote tanzania nzima, yanaweza kuwepo mambo ya ajabu zaidi hata ya hayo.hiyo ndo Tz aliyoisema JPM, ni pamoja hayo ndo yamepelekea kifo chake,hao ni viongozi wa juu kabisa,awamu ya nne,uongozi wa Kikwete na huo ndo ukweli.