Тёмный
GOSPEL CORNER
GOSPEL CORNER
GOSPEL CORNER
Подписаться
SUBSCRIBE USIPITWE TENA

karibu Katika channel yako pendwa ya Gospel Corner Upate Jumbe nzuri na neno la Mungu usisahahu kusubscribe kulike na kushare kwa wengine. Tutakua na live kila jumapili kwa ambaye jumapili inaweza kukukuta kwenye mazingira ya kutohudhuria ibada. Mungu akubariki sana.
ILEJE
1:17
14 дней назад
JE YUPI WA KUFUATA YESU AU MUHAMMED
10:00
Месяц назад
UTACHEKA SHAFII AMKIMBIA NDACHA
13:36
Месяц назад
Комментарии
@DenisDaniel-f7t
@DenisDaniel-f7t 15 часов назад
Ww Acha kumwita pr Ndacha kafiri hujui kitu idiot manager una una matusi
@irtshisekedikhamis5648
@irtshisekedikhamis5648 18 часов назад
Tunakujuwa vizuri ulisilimu Bukavu Congo sababu ya maslayi ya pesa kwa Kuwa ulikuwa mtoto WA mitaani , Na ukaritadi (ukarudi Kwenye dini Yako ya ukristo) apa APA Bukavu Congo , ndio ukaenda Kenya Sasa Watapeli AO wanaokusikia
@ZachariaOino
@ZachariaOino 23 часа назад
Please wanao tumia matushi kwa mutumishi wa mungu poleni sana na mwokolewe mungu.
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 2 дня назад
Njaa inakusumbuwa pia unachotafta ndo hayo matusi mana kama ham yko ni kujibiwa kila sku si unafanya debates na walimu wa kiislam si uwaulize unakaa chumbani unaulza si utukanwe tu na mie nasema utukanwe tu mana hakuna namna nyengne
@Kimoni-j4w
@Kimoni-j4w День назад
Jaa ilisumbua Muhammad na huyo shetani mnayemuita Allah
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 День назад
@@Kimoni-j4w jifunze kuandika kwanza
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 2 дня назад
Njaa😂
@abdulmalikali1501
@abdulmalikali1501 2 дня назад
Ndacha apapatika humuezi Sheikhe letu Shafi
@robertngunjiri6527
@robertngunjiri6527 3 дня назад
Toeni uongo hapo na mlaaniwe
@robertngunjiri6527
@robertngunjiri6527 3 дня назад
Yesu kasema watajiita yesu jamani yameanza hapa Kenya? Mungu wangu in machungu Kristo alisema akuna hata neno moja litapita kabla halijatimia lakini mjue huu ndio mwisho wa dunia
@KallindeFaustin-f8d
@KallindeFaustin-f8d 3 дня назад
@addymsola4625
@addymsola4625 3 дня назад
Ila Kenya nako kuna taila wengi huyo naye ni tahila namba ngapi na bado hamumpigi tu
@SasentyNtiMaWake
@SasentyNtiMaWake 3 дня назад
Waokowe mwalyimu ndacha
@hezronmangi4082
@hezronmangi4082 4 дня назад
Asante Sana mr Ndacha waombee toba wote hao.
@Shillingi
@Shillingi 4 дня назад
Hii video lazima iende report huezi sema eti watu ni alshababu wakati yye amekua hapo mbona hajakufa basi kafiri ww mbwa
@ApolloGoodLuck-o5x
@ApolloGoodLuck-o5x 4 дня назад
Hawakuwezi Bali Pinyeshe mvuwa ya Makunguru!
@ApolloGoodLuck-o5x
@ApolloGoodLuck-o5x 4 дня назад
Hey Mcungaji Wambiye na siyo wewe ume andika Tena zina andikwa kwa haya siyo Texte
@bonifacekyalo2143
@bonifacekyalo2143 4 дня назад
Safi sana. Freedom of expression and worship
@Kimoni-j4w
@Kimoni-j4w 4 дня назад
Shafii sio safi
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 4 дня назад
Mm napinga Biblia ila nakubali torati mussa zaburi daudi injili yesu Qur'ani Muhammad Biblia uchafu tu
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 4 дня назад
BIBILIA ni mkusanyiko wa Torati, Unabii, Zaburi, na Injili, Quran ni uongo wa Shetani uliokuja baada ya miaka 500 ya kuwapo kwa Ukristo Duniani, Yaani Quran na Uislamu ni kupinga Kristo, kusema Yesu hakufa ni mtu mwengine, ili binadamu asipate kuokolewa kutoka kwa laana ya Dhambi ya Adamu Edeni
@graduationtv3072
@graduationtv3072 4 дня назад
Hizo unazozokubali unazo ulishawahi kuziona
@graduationtv3072
@graduationtv3072 4 дня назад
​@@trutharchaeologistumekosea ungemuongezea 2:97 akasome mwenyew ili ahamini
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 4 дня назад
True
@NasibuRobini
@NasibuRobini 5 дней назад
Amen
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 5 дней назад
Big up
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 5 дней назад
Wakristo muwe na akili kweli mtu apasuliwe ili atolewe shetani kwani shetani yupo ndani ya tumbo ni meamini kweli kabisa wakristo ni makafiri
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 5 дней назад
Wakristo ndo wameandika ayo sivi tabu vyenu
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 5 дней назад
Wapi ukristo ni dini Mungu mbona utoi maandiko tusome
@AthanasPatrick-b3e
@AthanasPatrick-b3e 5 дней назад
Good
@AthanasPatrick-b3e
@AthanasPatrick-b3e 5 дней назад
Good
@AthanasPatrick-b3e
@AthanasPatrick-b3e 5 дней назад
Nakukubali sana muchungaji mungu akutunze
@AntonyManeno
@AntonyManeno 6 дней назад
MUNGU Ajitukuze Mwenyewe Ndani Yako Na Akuongoze Kwa Mafundisho Yako Mazuri Yanayo Fungua Watu Akili Kujua Na Kufaham Njia Ya Kweli Na Ya Haki. MUNGU Akulinde Hadui Asiku Pate. Anga Mizwe Na Moto Wa MUNGU Ulao Daima Neno La MUNGU Lienee Duniani❤
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 6 дней назад
Shafii hajamkimbia Ndacha.Uwongo mtupu.
@MusaKatana-q4i
@MusaKatana-q4i 6 дней назад
Mwalimu Francis Ndacha, nilikuwa nimepotea njia ni mwezi mmoja sasa tangu nikujue katika mitandao ya kijamii, hakika umebadili mwenendo wa maisha yangu, karibu sana Bamburi msa
@isacmaningo5618
@isacmaningo5618 3 дня назад
Karbu sda tufanye kazi ya Mungu
@TeddySilver
@TeddySilver 6 дней назад
Hahaha yesu anaongea kikenya, duuuh
@TeddySilver
@TeddySilver 6 дней назад
Moto unakuhusu yesu,
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 6 дней назад
Maskini ndacha kapigwa tit for tat huruma kwel😂😂😂😂
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 6 дней назад
Stop the incitement headline of Ndacha addressing alishababu.He is the greatest liar of all time.Reading halfway through to suit himself.
@allenndimbo520
@allenndimbo520 6 дней назад
Hebu tuondoleeni hiyo takataka hapo Hilo yesu la mchongo ni bwabwa tu
@basilejuma
@basilejuma 6 дней назад
Ndachaaa hoyeee
@dudejuma
@dudejuma 6 дней назад
Jamani, nyinyi waislamu kuweni makini na kafiri huyu asije akakukufurisheni. Angalieni Quran 3:19, 40:40.
@binadimseif2668
@binadimseif2668 7 дней назад
Ndacha mbabe wake nikinyogori
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 День назад
Kinyongori alishindwa hakuweza jbu nyinyi waislamu wabishi
@binadimseif2668
@binadimseif2668 7 дней назад
Ndacha kakimbia Tanzania amemuogopa kinyogori
@graduationtv3072
@graduationtv3072 2 дня назад
Wote kafyeka huku. Jopo zima LA waislam zidi ya mtu momja wote kacharaza bakora za matako
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 День назад
Hajakimbia tulimwita juu waislamu walikuwa wanataka wabatizwe
@stephen-S7n
@stephen-S7n 19 часов назад
Ndacha alinyorosha kinyogoli kitambo sana 😂😂
@josiaugali
@josiaugali 7 дней назад
Jee Maana ya yohana 1:1-..............hapo mwanzo Kulikua na Neno nae neno alitoka kwa Mungu nae neno alikua Mungu.......,......., ,, huyo neno akakaa kwetu........................... Tukisema neno ni Yesu na neno ni Mungu. Soma hapo vizuri mtumishi na unajua bila shaka unafanganya watu...
@vincentcharo5360
@vincentcharo5360 7 дней назад
Ndacha congrats
@Jingajinga64
@Jingajinga64 8 дней назад
Sasa ndio ukristo unavyofundisha kuwapa wanadamu wenzenu majina yawatu wengine wasokubalika kwa dhana na chuki zenu? Kuita waislamu kwa jumla Al Shabab ndio nini? Hiyo ni laana kwako.
@MaryNjeri-d6y
@MaryNjeri-d6y 7 дней назад
@@Jingajinga64 unajua n Kwa nn ndugu? Waislam ndio walio Fanya mpaka Sisi Wakristo tuanze kujifunza Quran na kuwapeleka watoto wetu Madrasa ili wake na Elimu kamili ya Quran na tukapata Muislam Asie pigana Jihadi Huyo si Muislam Bali ni jina Tu la kiislamu.Mfungo wa Ramadhan wiki ya pili katkat kabla haijafika wiki ya tatu lazima Muislam apigane na makafiri la sivyo kufunga saumu yake ni bure ni sawa na kushinda njaa. Pili ukishindwa kuuwa mtu alie toka Uislam ww pia si Muislam. Uislam na freemasonry n sawa sawa mlango n mmoja wa kuingia wakutokea hakuna ukitoka utauwawa. Sasa ili uwe Muislam kamili sharti umfuate Muhammad anae sema Albadla din fwath-ruhu, Mungu hana mwana, majin n ndugu zetu na tukubali kupigana jihad
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 8 дней назад
Kumbe sababu ya kumchukia mtume Muhammed kwenye Quran haijakubali Yesu ni mtoto wa Mungu huna jipya wewe kwanza hujui Mungu ni nani jana ilisema Mungu wako ni Yesu leo tena yesu ni mtoto wa wa Mungu nenda kasome sadaka zitakutia kichaa
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 8 дней назад
Ndacha ni muongo ni mtume yupi kabla ya kuja mtume Muhamadi aliyedai Yesu ni mtoto wa Mungu hacheni kufru Mungu hazai yeye anaumba tu
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 7 дней назад
😂😂😂 wewe unachekesha sana na hiyo imekuwa shida kwa waeslamu wote duniani kuelewa,na hiyo nawapa pole
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 7 дней назад
Yaani soma biblia ujue ata suleiman alijua Mungu ana mwana wacha huyu wenu wa juzi
@shaurikhamisi5689
@shaurikhamisi5689 8 дней назад
Wewe ndacha ndio unaropokwa
@shaurikhamisi5689
@shaurikhamisi5689 8 дней назад
Ndacha hujuwi chochote hujuwi wasema nini
@patrickoloo241
@patrickoloo241 8 дней назад
AMINA
@Mudi-zk2cy
@Mudi-zk2cy 8 дней назад
This video needs to be reported starting from me.
@abdinasirmohamed3490
@abdinasirmohamed3490 8 дней назад
Maneno mengi yasiyo na masingi,unajichanganya huku ukijiona una hoja kumbe ni kujidanganya,ndacha umepotea omba mungu akuongoze kwa haki
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 7 дней назад
Toka gizani ukuje Yesu kwa maana ndiye nuru
@walesjulius5493
@walesjulius5493 8 дней назад
Allah amesema zaa Maryam akazaa je mimba ya yesu ilibebwa miezi 9 au siku hiyohiyo ,vituko
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 дней назад
👊👍✌️.