Тёмный
IwachuTz Tv
IwachuTz Tv
IwachuTz Tv
Подписаться
TALLENTED MAN
15:16
2 года назад
MTO WA KANYOMVYI MUYAMA UNASIKITISHA
5:16
2 года назад
MAJI YA TOPE KASULU BAAAASI
7:17
2 года назад
Комментарии
@FESTOKANDUTA
@FESTOKANDUTA 24 дня назад
Tunaomba namba za simu za wataaramu hao
@bernardkisandu2308
@bernardkisandu2308 2 месяца назад
Bei zimekaaje Kwa complete set.?
@davidangol8560
@davidangol8560 8 месяцев назад
How does one get this machine? Try to translate in English and contact.
@Boaznotation
@Boaznotation 10 месяцев назад
Hii Iko wap
@saimonstewad8690
@saimonstewad8690 Год назад
Ani unatamba na barabara ya vumbi kigoma bdo tukonyuma mno😞
@tumainituma7691
@tumainituma7691 Год назад
Wekeni bei na mnapatikana wapi
@brightonbaziyaka13
@brightonbaziyaka13 Год назад
Hongera sana rafiki yangu kwa ufafanuzi mzuri unaotoa juu ya utekelezaji wa miradi hiyo
@salimkaitu1890
@salimkaitu1890 2 года назад
Safi
@eonikeruzilo4764
@eonikeruzilo4764 2 года назад
Home land🔥
@eonikeruzilo4764
@eonikeruzilo4764 2 года назад
Congrats
@michaelshayo187
@michaelshayo187 2 года назад
Niunganishe na watengenezaji
@deogratiusngereza4002
@deogratiusngereza4002 2 года назад
Nice uncle
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Shukran anko
@robertgeorgechubwa856
@robertgeorgechubwa856 2 года назад
Hongera sana bro...naiona kazi yako na taaluma yako naomba uikuze zaid ya hapo
@erasmusluziro42
@erasmusluziro42 2 года назад
Asante nitajitahidi kufanya hivyo, support huko kwenu wadau
@gaspergabriel7509
@gaspergabriel7509 2 года назад
Maswali mazuri sana ya kuwajenga uraiani hongera ndugu mwandishi
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Asante Gaspel
@awadhimrisho9538
@awadhimrisho9538 2 года назад
mungu ni mwema sana kaka tutafika tu
@erasmusluziro42
@erasmusluziro42 2 года назад
Amina kaka
@mbugaenock3614
@mbugaenock3614 2 года назад
Kijana nimekuona na mahojiano
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Kama kawaida tunauhabarisha umma
@robsonyona4317
@robsonyona4317 2 года назад
SALUTE SANA HOME SPORT CLAB
@jonasabely5853
@jonasabely5853 2 года назад
iwachu tv hongereni kwamatangazo mazur
@allymusira2153
@allymusira2153 2 года назад
Kazi iendelee
@kennedybarton6768
@kennedybarton6768 2 года назад
Hongeren Sana kasulu united
@daudwilson8326
@daudwilson8326 2 года назад
Safi Sana. Mbona nipo Kasulu Mwilamvya lakini sijui hicho Kiwanda kipo wapi kwa hapa Kasulu mjini.
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 2 года назад
Jabuka iBurundi
@kennedybarton6768
@kennedybarton6768 2 года назад
Hongeren Sana home boys mtafika mbali.
@angeloelia8224
@angeloelia8224 2 года назад
God bless you
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Now wako ligi daraja la pili soon tutakuwa tukiwaletea updates zao
@angeloelia8224
@angeloelia8224 2 года назад
Kali
@angeloelia8224
@angeloelia8224 2 года назад
Home
@herinorbet3547
@herinorbet3547 2 года назад
Sio mbaya bt sauti inasikika in door
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 года назад
Nikajua rami
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Maendeleo ni hatua hiyo Rami itafika muda tu itakuja
@eliudmkondo4290
@eliudmkondo4290 2 года назад
Nikatafute uwanja kasulu naona kumenoga
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Kabisa njoo uwekeze mambo ni 🔥
@wakaki1990
@wakaki1990 2 года назад
Watukamilishie tuwashukuru,walau naul ya kwenda nyumbani ipungue maana inatuvuruga mno ukilinganisha na umbali wa safar
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Kabisa hizi barabara zikikamilika kutachamka zaidi na kutakuwa na ahueni ya maisha
@asteriazacharia2835
@asteriazacharia2835 2 года назад
Mbarikiwe Sana , utumishi ndio unaanzaga hivyo
@afragafiseki8745
@afragafiseki8745 2 года назад
Uragenda muhir
@afragafiseki8745
@afragafiseki8745 2 года назад
Urakomeye mugabo
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Tulakomeye
@afragafiseki8745
@afragafiseki8745 2 года назад
Kigoma moja hiyo
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Kabisa hujakosea
@abdulijumaa7791
@abdulijumaa7791 2 года назад
Ila ww jamaa nakukubali
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 года назад
Yes
@yohanajoseph8985
@yohanajoseph8985 2 года назад
Hongereni
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Asante kwa niaba yao
@joneslulamaze746
@joneslulamaze746 2 года назад
Soko linavutia
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 7 месяцев назад
1:48 mbona ni kadogo, ni utani, muyama huwa kuna watu wengi, watu wa taarifa yake tu vijiji 12 hawaenei humo kwa soko la jumamosi. Hapo ndipo serikali inafeli sasa badala ya kujenga kubwa kabisa walau litakalojaa baada ya miaka 25, wanajenga kisoko ambacho kitatosha robo ya watu malipo. Kabla hakijaanza kutumika kimeshajaa
@boazisamwel9714
@boazisamwel9714 2 года назад
Huo msitu upo chin ya secondary ya muyama
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Ndiyo
@josephshaban2071
@josephshaban2071 2 года назад
ukovizur sio mbaya
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Nashukuru 👏👏👏
@meckngenzi1690
@meckngenzi1690 2 года назад
Piga kazi baba Askofu wetu 🙌
@meckngenzi1690
@meckngenzi1690 2 года назад
Kzi njema
@rizikidijango5757
@rizikidijango5757 2 года назад
Tunaiman nawe baba piga kazi mungu akupatie mafunuo zaid ktk utumishi Wako
@benatusrupili9521
@benatusrupili9521 2 года назад
Vp ile yakimataifa yakupitia katkat kabanga kigambon imefikia wap
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Hiyo Bado sijafanya ufuatiliaji lakini wakati ukifika taarifa tutapeana kupitia channel hii hii stay tune kwa kusubscribe na kushea kwa wengine Ili wapate taarifa on time
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 2 года назад
Ndio hiyo hiyo unayoiona hapo ni makutano
@benatusrupili9521
@benatusrupili9521 2 года назад
SAWA nimeipenda hyo hongera hilo kaka
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Asante Munyegera pia tutafika kuona vivutio vilivyopo Dunia itambie
@awadhimrisho9538
@awadhimrisho9538 2 года назад
kazi nzur kaz nzur
@iwachutztv8319
@iwachutztv8319 2 года назад
Pamoja sana tutaendelea kufanya Kila jitihada kuwaletea vitu vizuri
@gladysgasherishow
@gladysgasherishow 2 года назад
Safi