Hallow Dunia yetu saivi wanawake ndomana Kasi inapungua ya kuolewa wanaume wenyewe mpaka wanaogopa mwanaume anaweza akawa anatamani kumwambia mwanamke kua nakuitaji uwe mke wafamilia ila Sasa wanashikwa na loho yauoga wanaogopa mtu anaweza kukupenda akajitokeza kumbe wewe una mlilia mtu mungu atusamehe makosa yetu Dunia nindogo tuwaachie wanaume watupende wenyewe wafunguke
Wewe mdada unajizalilisha sana Ali kamwe Ana mtu wake. Acha ujinga wako. Mwache kijana wawatu afanye kazi. ACHANA KABISA NA HUYU KIJANA. PAMELANI KICHAA CY BURE. WEWE NI KICHAA UKAPIMWE