Тёмный
Sufi Muhammad Adam
Sufi Muhammad Adam
Sufi Muhammad Adam
Подписаться
ILI KUPATA FAIDA YA DINI KUPITIA HII CHANNEL UNGANA NA SISI KATIKA HII CHANNEL KWA KUSUBSCRIBE
TARAWEHA NI RAKA 20 SI RAKA 11
5:44
Месяц назад
USTADH ISMAIL AKI WAHISHIMU  AHLUL BEIT
13:29
3 месяца назад
Комментарии
@MuhammadKurtuby-c5k
@MuhammadKurtuby-c5k День назад
Mabrook habib
@UmmyMuhammad-c3q
@UmmyMuhammad-c3q День назад
❤❤❤❤❤❤
@ahmadnoorsheikh
@ahmadnoorsheikh 11 дней назад
Maa shaa Allah Allah Aijaalie iwe ndoa ya kheyr ya Baraka kwao
@IbrahimOrma
@IbrahimOrma 11 дней назад
Mabrouk Habiib
@suleimankoja481
@suleimankoja481 11 дней назад
ماشاء الله
@jumaayub5028
@jumaayub5028 15 дней назад
Masha Allah ❤
@jumaayub5028
@jumaayub5028 15 дней назад
❤❤❤❤❤
@jumaayub5028
@jumaayub5028 15 дней назад
Masha Allah
@UB40X1
@UB40X1 24 дня назад
Atawadanganya wajinga
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 29 дней назад
ma sufi hawa ridiani na bidaa zao bali wanasaida na kutetea u khurafi zao
@JumaSalim-bd1ff
@JumaSalim-bd1ff 29 дней назад
Mashallah
@UmmyMuhammad-c3q
@UmmyMuhammad-c3q Месяц назад
❤❤❤❤❤
@CROSYJWENTY
@CROSYJWENTY Месяц назад
Nakupenda yaa sheykh
@Alrisaalaturrahmahislamiccente
@Alrisaalaturrahmahislamiccente Месяц назад
halafu kichwa Cha hi clip yenu kinasema eti kukosekana dalili ya kuzuia mawlid ndio dalili ya kusoma mawlid. jee kukosekana dalili ya kula MUGUKA ndio dalili ya kula muguka??????? na ukesema silazima muguka utajwe Kila kinacholewesha ni haraam. basi ujue silazima mawlid yatajwe kwani Kila bid a ni upotevu na upotevu mwisho wake ni motoni 0:29
@Alrisaalaturrahmahislamiccente
@Alrisaalaturrahmahislamiccente Месяц назад
kama ni kweli Abdul wahab alikataza watu kukusanyika na kusoma mawlid basi hakuanza yeye Rudi nyuma tangu maswahaba tabiin maimam wanne wote Hawa walikuja kumpinga mtume??????? iweje mashia wanzilishi wa mawlid wanaotukana maswahaba ndio waje wamlinde mtume???????
@UmmyMuhammad-c3q
@UmmyMuhammad-c3q Месяц назад
Masha Allah
@HusseinSalimu-cm3vs
@HusseinSalimu-cm3vs Месяц назад
Kenya
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Mm nikidhani ww ni shekhe kumbe duh! Kuongea mitandaini kama kujiabisha
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Kaja kukataza shirki na bidaa na nyinyi mwayapenda hao mwaabudu mizimu mwaomba makaburi kwa kutaka tonge
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Someni kitabu الموجز في تاريخ المملكة mutaona ukweli na mutamjua huo muhammad ibni abdi Alwahhabi Allah amrehemu
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Waislamu tahadharini na wajinga kama hao walovaa vazi la ushekhe watakutieni motoni noporojo tu hana elimu huo
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Kwaio tangu alipokuja huyo muhammad ibn abdil wahab Muhammad kafutwa saudia ?na jee saudia wanamtume gani ?na jee Kuna nchi gani Watu walio hifadhi Qur'ani kushinda saudia ,na ww umehifadhi juzuu ngapi?
@isaack100
@isaack100 29 дней назад
Je kunanchi gani Ambazo watu weusi wanauliwa kuliko suudia
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Hio historia ya wengereza na muhammad ibn adul wahab na mfale wake umeitoa wapi ?twaomba kitabu ulicho soma
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Wewe ni muongo
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Muhammad bin abdil wahabi ashafanya kazi yake yuko mbele ya mola wake Allah amrehemu wee baki kporoja tu
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Nyie musiache hata makafiri hawaachi kumsifu yesu
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Muongo wewe sisi mm ninaswali kila siku msitini kwa mtume hawajawahi kuswali tarawehe juzuu nzima
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Unaporoja tu hakuna hoja hata moja ya kielimu hijazako ni zaakili iliojengewa na ujaahil
@jumajuma1324
@jumajuma1324 Месяц назад
Kutosoma maulidi saudia pekeake sio hoja hata kama nao watasoma itabaki ni uzushi tu munachuki tu na hao saudia kwasababu wameshika tauhidi na sunnah nyie bakini na upotevu wenu
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
جزاك الله خيرا
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Swadakta
@IbrahimOrma
@IbrahimOrma Месяц назад
😂😂😂😂😂
@bilalikaoneka5080
@bilalikaoneka5080 Месяц назад
huyu sheikh anaishi TANZANIA au kenya
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 Месяц назад
KENYA Mji wa mamburui
@bilalikaoneka5080
@bilalikaoneka5080 Месяц назад
@@sufimuhammadadam6814 sio TANZANIA...hakuwahi kuishi TANZANIA???
@abdulkarimmavuo645
@abdulkarimmavuo645 Месяц назад
Mwapenda wali sio mtume
@muhseinmohamed5319
@muhseinmohamed5319 Месяц назад
we huli au upendi wali😅...
@NMJAsaid
@NMJAsaid Месяц назад
Fuateni sunna kama mwampenda Rasulullah.
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Месяц назад
Hakuna dalili juu ya makatazo ya kupiga adhana katika swala ya janaza pia swala ya idi mbili pia Sunnah za kabla ya swala na baada ya ya swala Je itakua dalili ya kufanya hayo Mfano mimi nimeswali swalatul fajr rakaa nne kisha nikataka ushahidi wa kukataza ukikosekana je itakua yafaa kwangu?
@swalehali9760
@swalehali9760 Месяц назад
Kusoma ndio muhimu hizo ulizo zitaja mtume ashafundisha kwahio huwezi engeza ww yaonekana hujasoma
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Месяц назад
@@swalehali9760 Wamaanisha kwamba mtume hajafundisha watu namna ya kumsherehekea na kumfurahikia yeye? Ikiwa jibu lako ni NDIO je kafundishaje dalili iko wapi? Ikiwa jibu ni HAPANA je hayo mafunzo unayo fanya katika ibada hiyo ya maulidi nani kakufundisha?
@abuuayman4737
@abuuayman4737 Месяц назад
Mnampenda mtume na ndevu mumenyowa
@UmmyMuhammad-c3q
@UmmyMuhammad-c3q Месяц назад
Masha Allah
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Месяц назад
hahahhah hiv ndio vituko wacheni jamani. yaani huyo Mtu wenu hata Al aqiidatu waasitwiya hajawah someshwa.
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Месяц назад
Sina mengi ya kusema Zaid ya kusema nlikupenda nakupenda na ntakupenda na inshaallah tutaonana❤❤❤❤❤❤❤
@abdulrashid8488
@abdulrashid8488 Месяц назад
Kwani tusipofanya maulidi twapata dhambi
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg Месяц назад
Tunapenda na hakika tuna lipwa kumsifia rassul sws
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Месяц назад
​@@NassorroButcher-cu3pg Kwa kukata mauno na kuimba amapiano
@medimisi6930
@medimisi6930 Месяц назад
​@@NassorroButcher-cu3pgmada ni maulid sio kumsifu wala kumswalia mtume,
@muhseinmohamed5319
@muhseinmohamed5319 Месяц назад
hupati kaka... chagua ibada zingine akhui
@abdulrashid8488
@abdulrashid8488 Месяц назад
Yaani hapo ni kula tu wanasubiria lkn hakuna lolote
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Месяц назад
Wow maashaAllah hii imeendaaa
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 Месяц назад
ما شاءالله والحمد لله ولا إله إلا الله والله أكبر
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Месяц назад
Jiulize kwann suudia peke ake ndo hafanyi maulid wapo chini wa mayahud kumfuta mtume wetu
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo Месяц назад
Nenda ukasome kijana
@nassibuissa5783
@nassibuissa5783 Месяц назад
Ungesema kwa nini hawaswali au kwa nini hawasomi qur'ani hapo sawa ila kufany mawlid ambayo mtume hajafany
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Месяц назад
yani wewe pimbi kweli hata hujitambui maskini
@UB40X1
@UB40X1 24 дня назад
Jinga jengine
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Месяц назад
Mawahabi ni mayahud wao pepon moja kwa moja😂😂
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 Месяц назад
Hhhhhhh
@SHOMARYHIMIRY
@SHOMARYHIMIRY Месяц назад
Basi jamani msiingizane moton hlo ni la Mungu pekee
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 Месяц назад
Ni kweli kabisaaaaaa
@yussufyussuf6742
@yussufyussuf6742 Месяц назад
shekh unabwabwaja na kupotosha waislamu ongea kwa ushahidi wa maandiko usibwabwaje
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg Месяц назад
Wewe mbona huna hoja yenye maana sana
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg Месяц назад
Kubwabwaja muna bwabwaja nyie wasomi mso soma vizur
@hamadali3231
@hamadali3231 Месяц назад
sheikh Allah atakuadhib kama ume msingizia Sheikh Muhammad
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Месяц назад
Nan asiemjua abdulwahab katili na kubadilisha maneno na kuua masharifu au nkuletee pic akipiga pic na wazungu
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 Месяц назад
Soma historia ya Abdulwahab ....alitumika na wazungu...tafuta historia yake​@@islamseyffden7723
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Месяц назад
​@@islamseyffden7723 Duh hivyo ndivyo mashia waliwakaririsha
@NMJAsaid
@NMJAsaid Месяц назад
Sio kama, amemsingizia hakika
@abdalahhasani6855
@abdalahhasani6855 Месяц назад
nikweli mwalim allah akulipe