Тёмный
Lokoma Tv
Lokoma Tv
Lokoma Tv
Подписаться
KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE RU-vid CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA

Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.


#EmpireLokoma #KaziMbele#Zuchu #Wizkid #Davido #FireBoy #Olamide #Nandy #Lilnass #Eminame #Wasafi, #diamondplatnumz, #Alikiba, #Harmonize, #Ushamba #Nandyftalikiba
,#Nibakishie, #Wasafitvlive, #instalive, #youtubelive #RU-vidlive, #Mboso, #Lavalava, #Beyonce #Rihanna #CardB #Mariacare #Mwijaku #BabaLevo #Hbaba #kondeBoy #Afrima #Notjustok #TooExclusive #Lokomatv
Комментарии
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 9 минут назад
Kasema kweli waislamu hatuaniki maiti hadharani
@RajabuSalumu-q5f
@RajabuSalumu-q5f 54 минуты назад
Haaaaa ndomaisha
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Час назад
Yani umeongea sana kakusikiliza alafu akajibu Ah sijakuelewa...nimecheka.
@MissAnfield-op2jr
@MissAnfield-op2jr 2 часа назад
@ludovickbenjamin6104
@ludovickbenjamin6104 4 часа назад
Watangazaji andaeni maswali unapoenda kufanya interview na mtu sio dhambi kujiandaaa nyie mnaonekana mnakurupukaa ndo maana unaongea sentensi ndefu ambayo halina swalii.
@CastroKassoga-up3ei
@CastroKassoga-up3ei 5 часов назад
Wanawake hawampeleki yeye ndio anawapeleka mjini
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 5 часов назад
Wandishi wa mchongo hata maswali hawajui nkt
@jamaryribson3165
@jamaryribson3165 6 часов назад
I hate this guy I swear and I don’t why I hate him
@ShamsaZamda
@ShamsaZamda 7 часов назад
🎉🎉🎉❤❤❤
@godlema6104
@godlema6104 7 часов назад
Ahahahahaa mtangazaji nikimeo sana amelewa au mbona simwelewi kabisa anasema nini mtangazaji mbona kama anatumia madawa maana 0
@andrealuambano6245
@andrealuambano6245 7 часов назад
Johari unaajir watangazaj hata kuuliza maswali hajui
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 7 часов назад
Mtangazah too many stories…achia mic muhoji mtu tunahitaji mahojiano sio story😂😂😂😂…sasa mara chid benz wasanii wa kike mara dudu baya anaongea ukwel dah hadi dudu baya kashachoka tyr n intrvw
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 8 часов назад
Huyu mtangazaji ni kimeo kwisha😢 mpeni dela avae
@queenmilan2024
@queenmilan2024 8 часов назад
watangazaji zero brain🧠
@elianchimbi
@elianchimbi 9 часов назад
😂😂 kumbe watangazaji kuna Mda wanapoteaga
@elianchimbi
@elianchimbi 9 часов назад
😂😂 kumbe watangazaji kuna Mda wanapoteaga
@PatricePatrice-ue4yl
@PatricePatrice-ue4yl 13 часов назад
Acha upumbavu wako wewe ivyovyote kajenga MAGUFULI ndomana DIAMOND kakutimua ngulue wewe
@Lilmbunah
@Lilmbunah 16 часов назад
Daah huyu mtangazaji anyang’anywe mic 😂😂 0 kabisa aisee
@herimwijonge954
@herimwijonge954 17 часов назад
Mtangazaji kimeo kabisa huyu
@jamesjefwa7233
@jamesjefwa7233 19 часов назад
Huyu Dudu baya ana akili kubwa sana mpaka mtangazaji anaonekana punguani uliza maswali ya maana upate majibu apo kwa konki unahoji msanii mkubwa then hujui kuulizwa maswali
@svt3
@svt3 18 часов назад
Mtangazaji hajuwi haana thaaluma yoyote kwenye kazi Dudu baya naye amebakilia kupayuka payuka tu ni kama mziki ulimutema sababu angekuwa studio kuliko ma interview kila siku na hali inaonekana duni
@ablahameliud3333
@ablahameliud3333 19 часов назад
Asante mchungaji hao wandishi wanauliza ujinga Kila kitu diamondi na diamondi ni mtu mzuri ni kioo Cha jamii wao wanamuongelea vibaya. Lakini wewe mchungaji unajibu vizuri kuhusu diamondi mungu akubariki
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 20 часов назад
Hongera sana umeongea ukweli
@OfficialA83640
@OfficialA83640 23 часа назад
Watangazaji wengi hawapo Wasafi sijui wapo wapi kuna Sekioni nae
@reganjames-io7hn
@reganjames-io7hn День назад
Ukachora mkataba na Salam utuimbue utumbo wako nakupenda tuuh!sura kama chura 😅😅😅😅 amna kitu babuuu
@McT-q6i
@McT-q6i День назад
Doto magari mzee wa kutupia doto magari anafaa kuwa mtangazaji wa habari wa michezo , chanel ya wasafi
@agapeemmanuel
@agapeemmanuel День назад
Hawa watu nawapenda sana
@Malangalusaede
@Malangalusaede День назад
❤❤
@petermbwei1347
@petermbwei1347 День назад
😂😂😂 eti mgonga kokoto 😂😂😂
@JfourHumbi
@JfourHumbi День назад
Nyadundo hana akili mshamba mbaya Zaidi amerudia matapishi yake mbaya Zaidi yule ni Bibi kwasasa haoni Mario amechukua kinda amepata faida ya mtoto na anauwezo wakuogeza tena BBY ndiyo fulaha sasa hao vibibi wanamfilisi TU 😅😅😅
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 День назад
Ungeacha vileo dudu ungedum na ungeshine kaa ujitafali unaweza
@GraceMwakyusa-i4y
@GraceMwakyusa-i4y День назад
Pole sana ancle mungu akulinde
@chizashungu8364
@chizashungu8364 День назад
YAANI UNAONEKANA KABISA UNA MATATIZO UPSTAIRS.WAMEENDA WENGI KULE KWA SHUGHULI ZA MUSIC AKIWEMO JAY Z, SWITZ Beats,Busta rhymes,burna boy,davido,wizkid.Acheni ushamba.
@IssaBacar-i2i
@IssaBacar-i2i 7 часов назад
Mshamba ndo mbwa wewe sasa basi hao wote washaa liwa kiboga acheni kumwabudia binadamu kinawakera nini wakati ameshajizalilisha mwenyewe si yeye binafsi hataki kujiamini ndo maana atachezewa matako hadi nyumba anayopanga inuke kinyesi
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 часа назад
@@IssaBacar-i2i We we mbwa tu.ukisema were ndiyo watu.Waamini acha bangi.Diamond platnumz kwa shughuli za muziki na ataendelea kukutana mastaa wakubwa duniani yeye siyo kazi yake kuwachunguza.Mbona were in mwehu kwahiyo rafiki zako ni wehu.Kavute bangi tena ukalale....DIAMOND PLATNUMZ NUMBER ONE ARTIST IN AFRICA.
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk День назад
Harmonize akizengua nafasi yake atachukua chino wan man gang
@Lucynyokabi-i6u
@Lucynyokabi-i6u День назад
9:07 9:11
@Lucynyokabi-i6u
@Lucynyokabi-i6u День назад
🎉❤kweli dada
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 День назад
Ubaya tulionao.... Tunajisifu kuwa waislam lkn hatuna imani ya dhati na dini .... Matendo mengi yakikafiri....
@herijaphet
@herijaphet День назад
Ukweli mtupu. Hii ya kucopy nishaiona kitambo. Jamaa anaiga hadi kuongea. Ni mbaya mn unakosa PERSONAL IDENTITY
@AgiraIunusso
@AgiraIunusso День назад
Nikweli kabisa
@Dula640
@Dula640 День назад
Nikweli kaka
@Raya-cb2lr
@Raya-cb2lr День назад
Heeeeeee baba angu mdg ndio kaozesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Raya-cb2lr
@Raya-cb2lr День назад
Mashllh
@AshaKagonji
@AshaKagonji 2 дня назад
Polen sana
@kissmanbashimeofficial
@kissmanbashimeofficial 2 дня назад
Ana fanana na aka wa afrique du sud na mr nana
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 2 дня назад
Ila cawina acha mkorogo😅😅😅
@McT-m1m
@McT-m1m 2 дня назад
Dahh wanafanana sana utadhani ni yeye
@amoskatana702
@amoskatana702 2 дня назад
Huyu mdada kamsaidia sana Diamond kutoka alivyokuwa ndo wachipuka, kwa nyimbobya Mbaghala ambayo ilifanya vizuri sana. Diamond yuko na jukumu la kuhakikisha huyu mdada yuko sawa kimaisha pia. Ubinadamu tu
@MariamOmary-s9k
@MariamOmary-s9k 2 дня назад
We dada mkono utakuuma inatoshaa khaa
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 2 дня назад
Mbona kama wamefanana kwa mbali na yule mzee wa mwanzo
@magrethkapinga1811
@magrethkapinga1811 2 дня назад
Mr Nana ndio
@minnahloveiove1074
@minnahloveiove1074 2 дня назад
Sio yeye
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 дня назад
Huyu anafanana na Mr nana😅