Тёмный
GAMBA TV
GAMBA TV
GAMBA TV
Подписаться
KARIBU KWENYE CHANNEL YA GAMBA TV ONLINE,, KUPATA HABARI ZA WASANII MATUKIO MIKASA MAHUSIANO MICHEZO NA BURUDANI UNGANA NA SISI KILA SIKU
Комментарии
@MaryPonsiano
@MaryPonsiano 13 минут назад
Hata kwenye agano aliigiza Kama mama mzazi Wa manyanya.
@IssaMbembe-g8e
@IssaMbembe-g8e 49 минут назад
Penda sana❤
@andrewkasiga
@andrewkasiga 3 часа назад
Kumbe huyu ni mama wa kicheche.. yupo kwenye tamthilia ya DUNIA
@DamarisMutave-d2m
@DamarisMutave-d2m 6 часов назад
I really love you and your movie also,,you really touch my soul,,mpaka nasikia tew niact kama wewe
@Ramo081r1r-i4z
@Ramo081r1r-i4z 8 часов назад
Nikweli lavness iko namausiano na kelvin khan
@rosemaryrobert2230
@rosemaryrobert2230 8 часов назад
Jamaa anajua sana sana utafika mbali
@teddysananga
@teddysananga 9 часов назад
Mbona macho ya pombe
@Kazungustudio
@Kazungustudio 10 часов назад
Mudy muongo anakunywa bhn😂😂
@Inframe24
@Inframe24 17 часов назад
I can’t wait to be back in African I’m feature her in one of masterpieces
@EshaOmar-vp5uz
@EshaOmar-vp5uz 18 часов назад
Unajuwa kuwajibu sana hongera bonge
@WuEWF
@WuEWF 23 часа назад
kudadake f@cking food.
@jei_bi
@jei_bi День назад
Fimbo ya pili on playing live in the background
@Ellybeny
@Ellybeny День назад
🥰🥰🥰
@Af64N
@Af64N День назад
Kumbe hiyo sauti ndio yako basi uko na sauti nzuri sana loveness ww n mrembo sana tena ww nmsichana mwenye busara tena mwenye heshima zote ❤🎉🎉🎉
@aminamputa6695
@aminamputa6695 День назад
Mdg mdg atajua kujielezea mdg wang najma na kazi njema kwake🎉❤
@ElianaMahenge-s2w
@ElianaMahenge-s2w День назад
Tunawakubali san timu chado
@Omariy_Mnkhonje
@Omariy_Mnkhonje День назад
🎉🎉haaa
@ebuelaishiabwe9908
@ebuelaishiabwe9908 День назад
Gamba tv, please tafuta hule mama muhuza pombe pia , maana yule mama yuko makini sana
@EsperanceNzeyimana-wu8ks
@EsperanceNzeyimana-wu8ks День назад
Familia ya mzee kicheche
@EsperanceNzeyimana-wu8ks
@EsperanceNzeyimana-wu8ks День назад
Hii interview nimeipenda sana niya wa somi ❤
@EsperanceNzeyimana-wu8ks
@EsperanceNzeyimana-wu8ks День назад
Manyanya Big up
@LAZARUSLazarusthemotherschild
@LAZARUSLazarusthemotherschild День назад
𝐍𝐚𝐤𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚𝐣𝐦𝐚
@LAZARUSLazarusthemotherschild
@LAZARUSLazarusthemotherschild День назад
𝐍𝐚𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐬𝐭𝐚❤🎉🎉🎉🎉🎉
@FatumaLoddy-w4q
@FatumaLoddy-w4q День назад
Jamani nakupend sana dad ww
@youngsimple
@youngsimple День назад
Kazimuzir Manyanya
@mistahkeytvkenya4211
@mistahkeytvkenya4211 День назад
Shenzi weweee manyanya deploma ya fedha first learned RU-vidrs WA Tanzania not All you tube welcome in my country Kenya, where everyone is learned and everyone is RU-vidrs, also sleeping on top of p.h.ds, lawyers and they never talk of there education Tanzania mko nyuma sana, imagine Kenya mzima Mimi pekee ndie sijasoma na nimeishia kidato Cha nne😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AzamZubeir
@AzamZubeir День назад
Bro futa hicho kizungu chako watuchoresha ww mbongo wajifanya mkenya kutuharibia😅😅
@MwambaCristien-r2m
@MwambaCristien-r2m 14 часов назад
Social media isn't for battle dear. See Manyanya in-person if you have any dispute with him.
@PeterChengo
@PeterChengo День назад
Ila mudy wewe mkali kaka hongera sana
@KadzoZiro-z2c
@KadzoZiro-z2c День назад
Lisa nkupenda bure olewa n kelvin
@Juma-xo4xb
@Juma-xo4xb День назад
Hongera bonge unafanya vizuri
@dieudonnendayisaba4087
@dieudonnendayisaba4087 2 дня назад
𝐋𝐚𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐥𝐨𝐯𝐧𝐞𝐬𝐬 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐮𝐯𝐮𝐭𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚? 𝐌𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐢𝐩𝐚𝐭𝐞 𝐧𝐮𝐦𝐛𝐞𝐫 𝐲𝐚𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐭𝐮𝐰𝐞 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐦𝐳𝐚 . 𝐧𝐢𝐤𝐢𝐦𝐬𝐡𝐮𝐤𝐮𝐫𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐳𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐜𝐨𝐧𝐠𝐨.
@zulekhasogoi8122
@zulekhasogoi8122 2 дня назад
Tamthilia yenyew inachelew kweli yaan hiyo dunia😢
@HidayaHamisi-w5k
@HidayaHamisi-w5k 2 дня назад
Chado Kam chado Big tunampenda uhuninwako
@MbitsimanaBetuel
@MbitsimanaBetuel 2 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂
@ruqaiyiddy5534
@ruqaiyiddy5534 2 дня назад
Moudy kazaliwa Masele mpyaaaah kwenye Tasnia🥰🥰🥰🥰🥰
@JumaKindimu
@JumaKindimu 2 дня назад
brazz mbo vipande mnatoa vifup san kk
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 дня назад
Mbona hata kwe movie anaonekana ni mtu mwenye elimu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 дня назад
Mbona hata kwe movie anaonekana ni mtu mwenye elimu
@NodyOliva
@NodyOliva 2 дня назад
5 mwamba
@medaicetz
@medaicetz 2 дня назад
serious act ipi akat n comedy tu pia mzee wa mathematicaly geographically englishcally 😂😂😂😂
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 2 дня назад
Tina ww unaroho mbaya umeiba kampuni
@Shechambokhalid
@Shechambokhalid 2 дня назад
Manyanya🎉🎉🎉🎉
@MauridiCharlotte-k1p
@MauridiCharlotte-k1p 2 дня назад
Mundi ee kama wewe sio mlevi wa pombe basi unatumia bangi, kuwa mkweli ata sura inaonesha bana
@KhalphanMussa
@KhalphanMussa 2 дня назад
Kaz nzur sana kaka mungu awape afya njema wote mnao shiriki episode ya dunia kaz ni nzur na inamafunzo mazur sana hongeren sana
@LizzyBeb-m6s
@LizzyBeb-m6s 2 дня назад
Unaigiza poa Sana napenda kazi yako Ni nzuri lakn Dunia umecheza vzuri sanaaa endelea hivo kaka
@exsavermateus2670
@exsavermateus2670 2 дня назад
Dunia nakubali sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 2 дня назад
Mama hodari sana MashaAllah tunakupenda kila movie unaicheza vizuri
@ababelemobintu2278
@ababelemobintu2278 3 дня назад
Wakwanza Leo nakupenda sana kaka manyanya mungu akupe nguvu yakusonga mbele
@kenedyrespick7110
@kenedyrespick7110 3 дня назад
SIO ICLAM NI CLAM FALA WEWE😡
@Heiskmb
@Heiskmb 3 дня назад
Nice
@Heiskmb
@Heiskmb 3 дня назад
Unyama 😂😂