Тёмный
MAHUBIRI TV
MAHUBIRI TV
MAHUBIRI TV
Подписаться 211 тыс.
Комментарии
@eunicenasimiyu4256
@eunicenasimiyu4256 Час назад
Hiii muhimu sana, Amina 🙏🙏🙏
@WilliamWilliam-k4q
@WilliamWilliam-k4q Час назад
Kama kuna watu wameletwa dunian kuniabriki. Nakunionyesha njia za kukutana na Mungu USO Kwa USO niww pr Mungu akubarik Sana. .. hata kama hutafanikiwa kuona hii sms lakin. Mungu nakubariki Zaid ya yote SKU moja tuonane mbingun nkushuru Kwa kunionyesha njia ya kufika mbinguni😢
@LinahRwambali
@LinahRwambali 2 часа назад
Sisi tuliotazama kwa RU-vid tumeshindwa kuelewa ilo suala la matawi yaliopepea na kuacha jamani, ila si mbaya tumepata kakitu Fulani, ubarikiwe pastor
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 2 часа назад
Amen hakika mungu ni mzuri utukufu umurudie yeye na mungu akubariki pastor
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 3 часа назад
Amen mungu akubariki wewe na familia yako na kupe Maisha marefu mtumshi hakika mafundisho haya yananiongeza kiimani
@MariamBusele
@MariamBusele 3 часа назад
Ubalikiwe sana mchungaji hakika MUNGU azidi kukutua nguvu nauhai mrefu uzidi kuwabaliki wengine🙏🙏
@MariamBusele
@MariamBusele 3 часа назад
Aimen😂😂
@MariamBusele
@MariamBusele 4 часа назад
Niukwer kabisaa mchungaji hilo nalo nitatizo
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa 5 часов назад
Huo wakati labda unapitia wewe mimi nira yangu ni nyepesi kabisa nalala nakula nakunwa sasa hapo ugumu huko wapi unajipangia ya kwako kichwani. Baba sipendi mahubili yako mimi sio msabato
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa 5 часов назад
Mpinga Kristu ameingia makanisani ni shida.
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa 5 часов назад
Vitani ya Bwana si yangu
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa 6 часов назад
Si nyie mmeiharibu?
@user-zm8cu6ow2q
@user-zm8cu6ow2q 6 часов назад
Amen 🙏 nilikuwa na hofu but nimekuwa na imani kwa kuyasikiliza mafunzo yako
@purity134
@purity134 8 часов назад
Amina,Mungu na atusaidie
@EstherKibiego
@EstherKibiego 12 часов назад
Asante mchungaji kwa ushauri nasaha, Mungu atusaidie kwa mambo yote.
@DanchiboMnyama
@DanchiboMnyama 15 часов назад
❤❤❤❤
@user-ew6tr5jk2o
@user-ew6tr5jk2o 15 часов назад
Amen asante kwa neno tamu be blessed pastor ❤❤
@wairanyanoel
@wairanyanoel 17 часов назад
Mchungaji tunaomba upost upya masomo ya kaya na familia yakiwa separate kama hili,,Tunabarikiwa sana🙏🙏
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 17 часов назад
Amen May God bless you abundantly
@pmgpmg7717
@pmgpmg7717 18 часов назад
Swala hili la ndoa ni gumu sana nataka ushauri wa ana kwa ana na wewe mchungaji.
@mussamaduka2828
@mussamaduka2828 17 часов назад
Nitumie email address nitakuunganisha na mhusika mchungaji Mmbaga
@DieumeKasereka-z4u
@DieumeKasereka-z4u 18 часов назад
barikiwa muchungaji
@zenasmjema4050
@zenasmjema4050 18 часов назад
Wengi hawasomi kabisaa.nauza bidhaa kutoka UK mteja atabakia kuuliza jinsi ya kutumia badala ya kusoma kitabu
@SarahNamwila-ec7el
@SarahNamwila-ec7el 20 часов назад
Amen amen amen
@dennisevarist
@dennisevarist 20 часов назад
Napenda sana mafundisho ya Mchungaji Mmbaga japo mimi sio muadventista. Kwenye kutotaka sherehe tuko pamoja 😅😅
@AnnaMathias-sy2iu
@AnnaMathias-sy2iu 4 часа назад
Amina mwaya mahubiri yetu hayabagui watu karibu usikilize tu wala usijali
@AmaniIkomoelo
@AmaniIkomoelo 22 часа назад
Asante sana Mwenyezi Mungu Kwaku nibadilisha tabia zangu
@magretmwinukafarijala
@magretmwinukafarijala День назад
Mungu akubariki sana Mtumishi wa mungu
@leahmose1808
@leahmose1808 День назад
Asante nimebarkiwa❤❤ Mungu azidi kuklinda mchungaji uzudi ktuelimisha amina
@MshigilaKarume
@MshigilaKarume День назад
Amina
@MIKAELAMWALUKA
@MIKAELAMWALUKA День назад
ameen🙏
@AgapeandGlorySingersTz
@AgapeandGlorySingersTz День назад
Barikiwa sana pr kwa masomo yako mazuri nayaelewa sana
@KendiLydia-tf2ii
@KendiLydia-tf2ii День назад
🙏🙏🙌
@lucymwegoha7400
@lucymwegoha7400 День назад
Samuel
@jeikary8767
@jeikary8767 День назад
So mm ni msabato sifai kuoleka na dini nyingine?
@BeatriceMathew-qy5lw
@BeatriceMathew-qy5lw День назад
Kupitia wewe mtumishi mmbaga naomba naomba mungu anisaidie niweze kuajiriwa jeshini napenda sana kuwa mwanajeshi ili siku nije nitoe ushuhuda kupitia wewe naomba uniombee pastor mmbaga maana kupitia mahubiri yako nafungulia kiimani
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 День назад
Amen
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 День назад
Amen
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa День назад
Hata wewe unatisha watu
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa День назад
Wee umefanikiwa mangapi nunua ndege basi tujue umefanikiwa hata wewe hujafanikiwa
@georgembeche9669
@georgembeche9669 День назад
Maubiri mufti ninakutazama kutoka Nairobi Kenya
@hildaaboki8552
@hildaaboki8552 День назад
Asante kwa mahubiri haya mchungaji,,nimebarikiwa pamoja na familia yangu kutoka Kenya.Barikiwa 🙏
@PhilipoFabian-d8h
@PhilipoFabian-d8h День назад
Amina
@lucianyerembe5691
@lucianyerembe5691 День назад
Itoshe kusema ubarikiwe Pr.
@newiceubson
@newiceubson День назад
amina mtumishi kumbuka maisha yangu
@MercyKinya-c5r
@MercyKinya-c5r День назад
Mungu akubaliki
@MercyKinya-c5r
@MercyKinya-c5r День назад
Amen
@GrinaSanga
@GrinaSanga 2 дня назад
Mungu akubariki utokapo na uingiapo Mchungaji
@kinsman-mx6qh
@kinsman-mx6qh 2 дня назад
amina mtumishi wa MUNGU
@eunicenasimiyu4256
@eunicenasimiyu4256 2 дня назад
Muhimu sana,Amina👏👏👏🙏🙏🙏🙏
@mariammussa7654
@mariammussa7654 2 дня назад
Ninabarikiwa sana ❤
@GrinaSanga
@GrinaSanga 2 дня назад
Mungu atusaidie sana