Mpaka nakosa lakusema juu ya msiba wa sheikh all in all tuendelee kumwombea dua ALLAH ampe kauli thabeet ampe kitabu chake kwa mkono wakulia na kaburi lake liwe miongoni mwa bustani ya peponi insha'Allah
asalam alykum habb mimi naitwa ally muhammad au mwono shauq nina omba nihudhurie darsa live au unisomeshe kwanamna yeyote au uniunga nishe na mwanafunz wako yeyote atae nsomesh mimi ni mwimbij apa chuoni kwetu lakin saut sii riziki nakutaraj sana
A aleykum warahmatullah wabarakaatuh Alhabib sheikh Muhammad muhiya, ww ni mwalimu wangu wa kwanza katika fani hii! Pale masjid istiqaama ilala 2010 kama unakumbukumbj uliwahi kutupata kwenye darasa letu lile!! Mashallah Kwa hakika ulitufunua vichwa !! Nikudokeze jambo!! Wakati unaletwa kwetu na ust saleh Omar ...na ulipoanza kuzungumza tukawa tunajiuliza Kwa uzito wa sauti ya uzungumzaji wako😆 , VP utaweza kughani!!?? Mashallah Allah akupe kheri na barka