Kama una ndugu au rafiki mwana riaza mstue awe makini na hili shirika , kupitia Amsterdam ni kama kuvuka mto wami kipindi hichi, Kuna Kiongozi wao mpya amechaguliwa basi wananyima watu board pass kwa wanao elekea Nchi zingine, hili shirika na Oman air , kuweni nalo makini mno and thank me later
Fantastic TAKE-OFF. The aircraft is now referred to as a A220-300. It is actually a CS-300, designed by BOMBARDIER AEROSPACE in Canada. An excellent example of Canadian engineering.
Super nice video!!!💯 Much appreciated! If you added a little voice commentary on the details you I believe your clips could be even greater👍👍 But anyhows, thanks for the video!
Hii ni B737 Max-9 ya Ethiopia ilikuwa B737 Max-8 tofauti ni kwamba ya kwetu ni more fuel efficient, long range na inachukua abiria wengi zaidi, ni ya kwanza kwa Afrika.
Pia baada ya kupigwa STOP duniani kote, imefaniywa mabadiliko mengi ya uhandisi kwa mfano ktk mfumo wa kielektroniki n.k. Bila shaka ukifanya kutafuta taarifa hizi online utaona.
Think of "budget" airlines - - - - you know who they are - - - - as a bus service, you get zero legroom, zero entertainment, not exactly the best equipment, pretty much poorly paid (mostly ignorant and rude) employees, and if you're lucky a clean space to sit......... they're budget because they don't have any "frills", like soap, water, decent standards and so on. I flew with this airline once, and that will be the last time, I'm 6ft 4 tall, was shoehorned in, got no food or drinks........... awful experience, and all was doing was Edinburgh to Luton, so I'll drive it next time - - that way I won't be annoyed with a bunch of twats sitting around me