Тёмный
WATETEZI TV
WATETEZI TV
WATETEZI TV
Подписаться
WATETEZI TV is a Not-For-Profit online Television established in June 2018 by the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) to produce online content related to human rights and the specific work done by the Human Rights Defenders in Tanzania and beyond.

Watetezi Tv operates in lieu of all applicable laws. It will not be responsible to any subscriber who will post anything contrary to the applicable laws.
Комментарии
@Zaburi-
@Zaburi- 33 минуты назад
Yani kashakutumia halafu mumrudishie mahali?!!!!amaa kweli
@YohanaMussa-y5h
@YohanaMussa-y5h Час назад
JESHI LA POLICE:- fanyeni uchunguzi/upelelezi mkishirikiana na wananchi kutafuta watu wanaoteka watu na kuwa wapatikane
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 часа назад
Ujinga wenu kwanini mnakubali kuolewa kisa ngombe kisa wazazi wenu wanapenda ngombe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 часа назад
Wakulya hiyo ni kawaida yao hata kumi kisa kutolewa ngombe
@AstalikoMulishi-gu3sp
@AstalikoMulishi-gu3sp 2 часа назад
huyo jamaa jail inamuita
@ramadhansoud2582
@ramadhansoud2582 4 часа назад
Huyu jamaa ana wake wazuri mimi kama atawaacha nawataka nitawatunza mbona mbona bado wazuri
@ombatiSarah
@ombatiSarah 8 часов назад
Kwani huyu mwanaume awakate wake zake kivipi kwani aliwaoa wakiwa wamekatwa au vipi,tumia akili wewe baba we vipi
@barakaamos3538
@barakaamos3538 9 часов назад
Kamata weka ndani
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 10 часов назад
Maturu unazarau wewe mbwaaa
@ThomasKeya-z1p
@ThomasKeya-z1p 11 часов назад
Kwa. Watoto wana makosa gani kwako
@ThomasKeya-z1p
@ThomasKeya-z1p 11 часов назад
Pumbavu zako wewe baba huna hakili
@fatumashehe361
@fatumashehe361 11 часов назад
Wewe mzee unalana kabisa
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 13 часов назад
Wewe mtu kama huijui dunia subiri watoto wakue halafu wewe Mungu akupe umri mrefu utakuja kujuta
@FatmaSuleiman-v5z
@FatmaSuleiman-v5z 14 часов назад
Wanaume kama Hawa hawafai ktk jamii
@FatmaSuleiman-v5z
@FatmaSuleiman-v5z 14 часов назад
Ulinzi wahitajika kwenye hio familia
@FatmaSuleiman-v5z
@FatmaSuleiman-v5z 14 часов назад
Huyu mwanaume Ana kiburi sana maelezo yake yanatosha kuwa anawadhalilisha wake na watoto
@FatmaSuleiman-v5z
@FatmaSuleiman-v5z 14 часов назад
Mtangaazaji hakikisha haki imepatikana Kwa hiyo familia
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 16 часов назад
Ustawi wa jamii au nyie kinamama watetez wajamii nawote mlio guswa na wanawake Hawa mkawaokoe kwenye ndoa kandamizi jitokezeni mana mama ndokikakitu inumiza sana
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 16 часов назад
mi nimecheka tu hapo anaposema nimeoa ili nkiona huyu anasumbua napita hku duu hatar, wee mim habar ya mapanga siitak kabisa nitaondoka mapema sana huwa spend kuweka roho yang juu juu
@b.3940
@b.3940 17 часов назад
Hii ni kali
@samwelngoina8310
@samwelngoina8310 20 часов назад
Duhh brother ishi na family Yako kwa amani hayo yote potelea mbali kivumbi
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 22 часа назад
Subiri kumamayo huyo ulie owa ngoja akuchezeshe msewe au sindimba utamkamatia baa kilaleo mbwa wewe umeona nywelezake alivyokata ukaona umepata subiei akutembeze uchi baa moja baada ya moja kumsaka pumbu zitakushuka kenge rubeta tunataka muendelezo na dada mapanki
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw День назад
Toa taraka wakaolewe wew si unasema kazeeka why kwa nin hutaki kutoa taraka jinga xnaaaa
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw День назад
Ukimchoka mtu muache kwa amani sio umkatr mapanga
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw День назад
Mjinga xnaaaa huyo mwanaume unapenda kuoa kutunza hujui mbwaa wew ingekuwa mim suwezi kurundisha mahali tena ningekupinga uhakika bila kujua wew ni Nani ety kazeeka mbwa wew kipindi ulienda kumuoa ulikuwa hijui kama ni mzeeh nyoko wew
@mariamomar1735
@mariamomar1735 День назад
Yani huyu mnamuhoji bila kimpa kofi anauliza mali gani eti wamezeeka eti nna roho nzuri yani muongo mkubwa eti nimemkamata mara mbili we si umesema kazeeka nani atamtaka?
@JeremiahKavakule
@JeremiahKavakule День назад
Wewe maneno mengi yanini wape ushauli nini wafanye siyo maneno mengi
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz День назад
Huwezi kurudisha chochote serikali hilo ndo jukumu lenu
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe День назад
Mchawi huyo Lijanaume hakuna kingine
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe День назад
Wee bi mkubwa usirudishe mali kwa huyo mumeo Zeen wee ukirudisha mali zake je yeye hatakulipa nini jinsi Halivyo Kutumia na kukuzalisha nyie Ondokeni mkatafute maisha mbele Ya safri ndoa mwachie mwenyewe
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe День назад
Wewe Mwanaume Acha zarau na ujinga Hao hawajazeka bado sana Hao sema wewe ujui Kutuza wake zao nyoko weee Hao wakitoka Kwako utawatamani Hao
@evarichard4866
@evarichard4866 День назад
Na mkome maana kutafuta kazi za kufanya amtaki kazi kuwa tegemezi mama wa nyumbani
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc День назад
Hakika kama mzazi ama wazazi waliwafundisha watoto wao kujitafutia vyahaki na washukuriwe na MUNGU awape wazazi hao maisha marefu ili waishi siku nyingi wawaone wajukuu wao wansvyo pambaniwa na watoto walio wafunza kujisimamia kwani wanaume wengi wa sasa wanahepa majukumu mama nae akiwa tegemezi kwa mumewe anakuwa mzigo usio na faida ila kama mwanamke atajitafutia unga kwanjia ya halali mbona huyo mwanaume hushindwa kukutumia apendavyo juu anaelewa kuwa hata ukitoka uende zako bado maisha yatasonga mbele kwanjia safi hata yakuzidi kwake
@HappynesNickson
@HappynesNickson День назад
Mkurya huyo yan hadi lafudhi inasikika Yani hawa watu wa huku wanaunyanyasaji Sana Yani hawana hata huluma na msipo angalia vzur atawachinja hao wanawake maan wanarooo mby San
@JacobMutiso-t9p
@JacobMutiso-t9p День назад
Mke wa Kwanza ndo wa halali wa pili nikisirani wakuharibu ndoa but watu NI hatari bin danger,.. conclusion never marry more than one wife if you don't want to die of stress pressure and hyperglycaemia..a sorry and sad state of affairs 😢😢.. this man is a looser..
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw День назад
hivi huko mna mila gani? eti mwanamke akirudi kwao urudishiwe mahali 😂😂😂😂!!!!! yaani Wewe umemtumia mwanamke kwa muda afu urudishiwe mahali? tena unaonge kumuua!! mimi kama mzazi ukinipa mahali natumia usitegemee kukurudishia kitu kwakuwa wakulya na wasukuma nimeshawajua nawasainisha mkataba kipindi nakuozesha tunakubali usje kudai
@edinahkerubo6628
@edinahkerubo6628 День назад
I blame women who accept polygamy 😢If a man is not satisfied with her wife who are you to satisfy him?????🤔
@godfreybeatus8396
@godfreybeatus8396 День назад
Kamata weka ndani ashughulikiwe
@marymanoni5536
@marymanoni5536 День назад
Ss yy ni mzuri wanaume wa kwetu uko siwapendi wanaroho mbaya sn
@marymanoni5536
@marymanoni5536 День назад
Huna akiri udumia familia ,njooni mjini huku mfanye biashara achanani na kibaka uyo
@EmmaKirua
@EmmaKirua День назад
Huyo ni mbwa
@EmmaKirua
@EmmaKirua День назад
Alomzeesha siwewe apo
@muzneali4747
@muzneali4747 2 дня назад
Kwahiyo Serikali mnasubiri MPAKA Hilo Panga lifanye kazi
@muzneali4747
@muzneali4747 2 дня назад
HIVI Huyu hachukuliwi hatua
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 дня назад
Hivi unawaza kuludisha ngo'mbe jamani mnachekesha sasa huyo mwanaume ataludisha uloda aliokula mpaka akakuzeesha kwa kukula uloda ataludisha ? Hapo jiongezeni wenyewe wanawake msipojiongeza utumwa juu yenu milele
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 дня назад
Aludiishe kwanza uloda aliokula ndipo ng'ombe ziludishwe
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 дня назад
Wewe mwanaume nishetani mbwa kabisa hufai kabisa kuishi
@mamakayla6697
@mamakayla6697 2 дня назад
Umrudishie vyake ili iweje? Kakuzeesha na kukuchosha halafu umpe chake kipi? Usimpe hata mia rafiki yangu.Huyo baba wa hovyo sanaa.Anatamka kabisa kuwa mmezeeka mtaolewa na nani.Tokeni hapo atawauwa huyooo.
@AugasterMartha
@AugasterMartha 2 дня назад
Sasa hili jitu halina sura.watoto ya watu mlifuata nini,
@AugasterMartha
@AugasterMartha 2 дня назад
Mungu niwezeshe,kujitafutia,bora swezi tegemea wanaume kama hawa..