The Number One Influencing Media House Channel in providing Education, Get to know what is happening in Tanzania especially Zanzibar through RIYADH TV ONLINE ZNZ.
Uislamu hauongizwi na . maneno ya watu, uislamu unaongozwa kkwa Qur'an na Mwenendo wa Mtume (hadithi) Maulidi haimo ndani ya QUR'AN wala hadithi (mwenendo wa Mtume)
@@shamepandu8422 H ata kama si kwelli tunyamaze? Uislamu ni wakila MTU ameushika Mwenyezi Mungu na mwenye kuutaka. Anyway utakuja nijuwa tu muda ukifika. Wala usiww na shaka.
*Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana 5:116 coran