Тёмный
UBEMBE TV
UBEMBE TV
UBEMBE TV
Подписаться
RDC/FIZI
TARIFA YA HABARI
10:06
19 часов назад
TARIFA YA HABARI KUTOKA INCHINI RDCONGO
15:41
14 дней назад
TARIFA YA HABARI KUTOKA JIMBONI ITURI
17:36
21 день назад
HABARI ZAMOTO KUTOKA JIMBONI TANGANYIKA
13:14
21 день назад
Комментарии
@ahongomlumbajoseph
@ahongomlumbajoseph 9 часов назад
Félicitations à l'ex honorable msambya abwe Freddy Ku site alijenga fizi baraka
@ahongomlumbajoseph
@ahongomlumbajoseph 9 часов назад
Napenda sana huyu mzee anavyo hongeya Huyu anapaswa kuwa maire de la ville wa baraka
@saidiarashidi345
@saidiarashidi345 18 часов назад
Bara Bara ya Bukavu mpaka kamanyola aijaweza kumalizika kisha mnakuwa bya courant
@bushiridems
@bushiridems 18 часов назад
Ndo kichwa hiyo 😂😂
@ManenoMmbucwa
@ManenoMmbucwa 18 часов назад
Wabembe niatari kweli
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 19 часов назад
Good idea
@ahongomlumbajoseph
@ahongomlumbajoseph День назад
Umeme ni nzuri sana Barabara hipo tayari
@ahongomlumbajoseph
@ahongomlumbajoseph День назад
Cool Thomson
@lukungyaamosi2255
@lukungyaamosi2255 День назад
Uyu ndo Conseillé privé en matière de communication wa muheshimiwa Jean-Jacques Elakano. Tunashukuru kuona hivyo.
@lukungyaamosi2255
@lukungyaamosi2255 День назад
Ndugu Thomson Induit, naona kabisa mambo Yako Sawa na UBEMBE TV, hapo ni poa sana kabisa.
@albertmkangya8195
@albertmkangya8195 День назад
Priorité des priorités ya territoire ya Fizi ni barabara lakini tunashukuru pia Kwa umeme ambao tumeahidiwa
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 День назад
Moto bila barabara nini mbona ni uongo; marndeleo bila barabara akuna musidanganye watu.
@lewiselengabo9695
@lewiselengabo9695 2 дня назад
Maendeleo yawe Fizi mzima barabara umeme Hopitali maji pia sisi diasporas ya Fizi tunataka kujenga lakini wajue watumpuzie bbey ya kujenga
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 2 дня назад
Akuna ni uhongo
@kibukilasongolo2358
@kibukilasongolo2358 2 дня назад
Sisi atuna cha kuona hayo anayo sema yanahishiya kinywani, ndio wa congo hao
@OlengoBokonga
@OlengoBokonga 3 дня назад
Tika Makelele,ho nioso boza ba rwandais
@Adolphine-if
@Adolphine-if 4 дня назад
Hakuna makubaliano ya mazungumzo na M23. Siyo kweli.
@Adolphine-if
@Adolphine-if 4 дня назад
Huo ni uongo, hakuna mazungumzo yoyote,ispokuwa ni Kagame ndio bado anaishauri Congo kufanya mazungumzo na M23.
@Brand_music45
@Brand_music45 4 дня назад
akukuwagi rahisi wa mashavu vile
@ByamunguLusambo
@ByamunguLusambo 4 дня назад
Sasa sisi wa bembe tupo na nafasi ngani ya president wetu wa congo
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Úshièle hao tataa mmbembe acibya matúú
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Babembe baúnda bokyo bakúca mbúka baúnda hiya búcaaa huuuu msèmbo wa mmú manga
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Na ndomana mwenyezi Mungu muumba anawaficha mengi hivo iweni na hekma na busara kutowa maneno yote angani ila ni vyema utowa ujimbe na hii yote ni kwasababu ya wabembe ni wapuuzi wa kusikia ndo mana mnaanza kutowa azarani maneno ila ni vema kusema na unaongea vyema kwa hilo la ulaya wabembe wametereza kabisaaa akili azimo tena wameshafinikwa na ukaaba ulevi magomvi kusalitiana mashtaka yaani ni huruma tu watoto wao wanaanza kuwa mashoga huku wakiita ni mambo ya kisasa huruma sana
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Huyu baba yuko wapi?ninaweza kumpata?
@nyotaramadhani66
@nyotaramadhani66 5 дней назад
Sasa iyo M23 sio groupe d'arme.?
@nyotaramadhani66
@nyotaramadhani66 5 дней назад
Ongeleya wacongo wote kwahujumla.
@nyotaramadhani66
@nyotaramadhani66 5 дней назад
Sasa weye asambo iyo congo niyetu tu sisi wabembe?
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Wewe nyota akili ya kiukimbizi zimeisha kuitawala kabisa hivi jiulize kwanza wabembe na makabila mengine kongo wanani ndo wakimbizi wengi?hivi nikuulize wabembe na makabila mengine wakinanani wakosefu wa amani?na kwanini wabembe tu ndo wakimbizi?au munakimbia njaa?
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Mmbembe akakya walènake mmbondo mmèno èkyanga bashikala iba batúmwa ba bilongo byose m’mèsè úlúmbaka babembe bamúlyana hebohebo tabalèèmo bahikabanu'ya
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Kutaka kuishi kwa pamoja ndo kuombe kupiga wabembe vita?😢😢😢😢😢😢
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Ohoo pole pole sana watoto wetu jamani jamani vita lini vitakoma?kwani wabembe waliiba vya nani?mbona wabembe wameundiwa njama kubwa sana duniani kote?ehee mwenyezi Mungu muumba saidia wazalendo nguvu na uwezo wakushinda vita
@PeterBaininwa
@PeterBaininwa 8 дней назад
Mjomba umesema kweli japo unaweza huma
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 8 дней назад
Watu wa fizi wanajua kujenga maombi tu;ukiwahambiya marndeleo watakwambia ni zambi
@PeterBaininwa
@PeterBaininwa 9 дней назад
Umenipotezea furaa yangu kabisa
@PeterBaininwa
@PeterBaininwa 9 дней назад
Nikweli kabisa
@KalengaFamily-tt4wt
@KalengaFamily-tt4wt 10 дней назад
Nitafutie namba ya huyu mtu
@olomweneelama1240
@olomweneelama1240 10 дней назад
Majina yako kwanza ni ya mpombav sana
@JosephBilombelejosbimtungwa
@JosephBilombelejosbimtungwa 10 дней назад
Ila Matusi yanahusiana nini na akili yako
@RizikiVincent
@RizikiVincent 5 дней назад
Majina yako wewe ndo ya kipumbavu kwamaana ayaombi ushirikiano na asili yako umetawaliwa na ukimbizi hivo umejisahau na kukosa mwelekeo umekiwa popo si ndege si mnyama kwanza ikiwa uko ukimbizini wewe ni mkosa mwelekeo maana umeogopa wanaume wenzako umekiwa mtu mwa na ombaomba kwenye inchi za watu na kuishi chini ya Sheria zao
@FreddyAmelia
@FreddyAmelia 13 дней назад
Kweli kabisa Mzee asambwa siye ba bembe hatuoni mbele
@SIMEON_PALUKUKASEKWAPHILIP
@SIMEON_PALUKUKASEKWAPHILIP 13 дней назад
Caméra 📷 haikuoneshe muzuri baba 1:30
@ByamunguLusambo
@ByamunguLusambo 13 дней назад
Na nch yetu ya congo kuendelea ni mungu tu,na wa congomani tusimame
@ByamunguLusambo
@ByamunguLusambo 13 дней назад
Mungu tu na maombi kwaajili ya congo yetu
@AugustinXkabuya
@AugustinXkabuya 14 дней назад
Kwetu kwatoku pere🎉
@bitangaabwe3441
@bitangaabwe3441 14 дней назад
Uko mwongo wewe
@BernardIlungaamisiBernard
@BernardIlungaamisiBernard 15 дней назад
Uko mlevi wa kanyanga tunajuwa ya kwamba uko n'a esprit faible .
@KIBUKILAGabriel
@KIBUKILAGabriel 15 дней назад
Kama uko mulevi ulewe sawa usipande tena TVhaujue kitu nauombe kila mukongomani musamaha fasi mingi mukongo tuko n'a visima ya mayi ya moto acha acha. Acha uongo
@KIBUKILAGabriel
@KIBUKILAGabriel 15 дней назад
Kwanza uko mwongo sana. Dieu haiko kati-kati yacongo fizi iko kumashariki ya Congo tena pembeni sana
@KIBUKILAGabriel
@KIBUKILAGabriel 15 дней назад
Wewe uko mwongo sana n'a njo maana munazidi kupokea-pokea n'a kupana inchi juu ya tumafaida twa ubinafsi
@rashidikindu5434
@rashidikindu5434 15 дней назад
Toka kule uko unalongovya
@rashidikindu5434
@rashidikindu5434 15 дней назад
Bakwangaliye vizuri umepewa pesa na Kabila.
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 17 дней назад
Itakuawa vizuri;ni myiaka ngapi fizi akuna barabara;akukuwagi miradi ya serekali;niserekali gani tunayo mpaka sasa???;nivizuri inchi wagawe
@DeodateMulindwa
@DeodateMulindwa 17 дней назад
Courage