@@AlexandeeDaniel muhimu sana kujifunza meditation, nitaleta video . Kwa ufupi zaidi, lazima fikra ziendelee kuwa nyingi, lakini hupungua kila ufanyapo meditation
@@swahiliyogasaw mkuu samhn sasa kwa siku inatakiwa ata marangp labd make nimejaribu lakn najikuta katika hail ile ile kiukweli napenda sana make nimesoma faida zake ni nyingi na labda na namna ya kusikiliza mtu wa ndani