Тёмный
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться
Karibu sana kwenye ukurasa huu maalumu wa Pastor.Dominic Kiboko ya wachawi,
Unaweza sasa kufuatilia mafundisho yangu kupitia chaneli hii, Pia ukapokea uponyaji kwa fuatilia mafundisho ninayo kuwa nayatoa humu,
Nikuombe sana Mwanangu unaye fuatilia ukurasa huu uweze ku subscribe na kubofya alama ya kengere ili kila mafundisho ninayo kuletea uyapate kwa wakati ulio sahihi...Umebarikiwa sana.
Комментарии
@husengabwa
@husengabwa Час назад
Kuna watanzania washenzi tu wewe unamuonea w
@tamashasembuli115
@tamashasembuli115 4 часа назад
Mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua, kwasabababu unatenda kazi ya Mungu kwa moyo wako wooote ulio msafi.
@gladnessmboya2171
@gladnessmboya2171 5 часов назад
MUNGU NIPE KAZI YA NDOTO YANGU
@gladnessmboya2171
@gladnessmboya2171 5 часов назад
MUNGU NIPE KAZI YA NDOTO YANGU KUPATA NAFASI YA KUFANYA KAZI UN
@MutambaRitah
@MutambaRitah 6 часов назад
Mungu nipe ushindi.
@MutambaRitah
@MutambaRitah 6 часов назад
Nakataa kifo.
@HawaOman
@HawaOman 6 часов назад
Pole baba yetu
@BaturiMussa-j1h
@BaturiMussa-j1h 13 часов назад
Mimi sulema sio mtumwa naomba uniombee nipate mtoto mapacha wanne nimeteseka sana katika ndoa
@safinasuleiman3989
@safinasuleiman3989 13 часов назад
Kiboko ya wschawi nitendee msisha ya uzima na msfanikio
@safinasuleiman3989
@safinasuleiman3989 13 часов назад
Mungu niinulie mtu mimi safhina nipo arusha tanzania
@safinasuleiman3989
@safinasuleiman3989 13 часов назад
Mimi na familia yangu hatuna maisha yakueleweka . Mungu nilete mtu atakae badilisha maisha yangu
@safinasuleiman3989
@safinasuleiman3989 14 часов назад
Mungu nipe kazi ya malengo yangu ya ndoto yangu
@safinasuleiman3989
@safinasuleiman3989 14 часов назад
Shalom kiboko ya wachawi nipo tanzania arusha
@jonassulletluway3828
@jonassulletluway3828 14 часов назад
Mungu nipe kazi ya Naoto yangu kwa Jina la yesu
@LevinaModesti
@LevinaModesti 15 часов назад
Shalom Pastor Dominique kiboko ya wachawi🇹🇿
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 15 часов назад
Promotion🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ElizaCharles-qj4he
@ElizaCharles-qj4he 16 часов назад
Mungu niletee mtu wakubadisha maisha yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 7 часов назад
Muombe MUNGU mwenyewe husuhamini kila mtu wewe
@ElizaCharles-qj4he
@ElizaCharles-qj4he 16 часов назад
Mungu niletee mtu akaweka ala kwe maisha yangu
@ElizaCharles-qj4he
@ElizaCharles-qj4he 16 часов назад
Shalom🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@LebronJane-k7r
@LebronJane-k7r 16 часов назад
Aniondosheeye WACHAWI
@husengabwa
@husengabwa 16 часов назад
Sharni kiboko ya wachawi
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 16 часов назад
Mungu niletee mtu atakayenisaidia kufika kwenye hatima yangu, kazi yangu, unifite machozi, anivushe, Mungu niinulie mtu
@husengabwa
@husengabwa 16 часов назад
Mimi Hussein gabwaniombeeee baba
@JonasBaratekeza-m7r
@JonasBaratekeza-m7r 16 часов назад
Mungu kiboko ya Wachawi niinulie mtu. From Tanzania
@husengabwa
@husengabwa 16 часов назад
Hussein gabwa buguruni Tanzania babaniombee marazi mwilini yananipa tabu vifungo vinanisumbuwa
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 16 часов назад
MUNGU NIPE KAZI YA MAONO NA MALENGO YANGU🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 16 часов назад
MUNGU NIPE KAZI YA NDOTO YANFU🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@JonasBaratekeza-m7r
@JonasBaratekeza-m7r 16 часов назад
Mungu kiboko ya Wachawi nipe KAZI ya malengo yangu. Jonas Elias Baratekeza from Tanzania
@JonasBaratekeza-m7r
@JonasBaratekeza-m7r 16 часов назад
Sharon nabii kiboko ya Wachawi. Jonas Elias Baratekeza from Tanzania
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 18 часов назад
UNANENA UPUMBAVU NYOOOOKO WEWE MAMA AKO MAMA AKO UNANENA FREEMASON AU NYOKO
@MwahijaJuma-f9j
@MwahijaJuma-f9j 18 часов назад
Kiboko ya wachawi naomba utabiri
@MwahijaJuma-f9j
@MwahijaJuma-f9j 19 часов назад
Mungu niletee katika maisha yamwanagu samira apate mume
@MwahijaJuma-f9j
@MwahijaJuma-f9j 19 часов назад
Mungu nileteee mtu atakae nishika mkono
@MwahijaJuma-f9j
@MwahijaJuma-f9j 19 часов назад
Mungu nipe kazi ya ndoto yangu
@MwahijaJuma-f9j
@MwahijaJuma-f9j 19 часов назад
Myngu nope kazi ya ndoto yangu
@SambaiPoul
@SambaiPoul 19 часов назад
Amen.baba
@SambaiPoul
@SambaiPoul 19 часов назад
Mm.sofia.niombee
@SambaiPoul
@SambaiPoul 19 часов назад
Amen
@ZakariaMwamburi
@ZakariaMwamburi 19 часов назад
Nimepona. Baba
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 20 часов назад
We ngi ni ndugu mtumishi
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 20 часов назад
Eh ndio home umenona mtu,kwao, niombee nabii wangu
@Barakakidava-z4l
@Barakakidava-z4l 20 часов назад
Amina nataka mungu nitendee nipate pesa nyingi nilime shamba la viazi na mahindi na nimalize kujenga nyumba kilaisi sana na kuhamia
@MwahijaJuma-f9j
@MwahijaJuma-f9j 20 часов назад
Shalom kiboko ya wachawi niombeee. Mwanangu anashida
@ghhvfffhhv6462
@ghhvfffhhv6462 21 час назад
Mungu nipe kanzi ya ndoto yangu
@ghhvfffhhv6462
@ghhvfffhhv6462 21 час назад
Mungu nipe kazi yangu naitaji mabadiliko mungu nililete nibadilshe maisha yangu ninulie mitu
@LuhagaKayemba
@LuhagaKayemba 21 час назад
Shalom shalom
@FredinaEzekiel
@FredinaEzekiel 21 час назад
Mungu ni inulie mtu
@FredinaEzekiel
@FredinaEzekiel 22 часа назад
Mungu ninulie mtu
@aminaramadhani1005
@aminaramadhani1005 23 часа назад
Sharoom nabii kiboko ya wacuawi,🇧🇳🇹🇿
@HawaOman
@HawaOman 23 часа назад
Baba yetu wewe nihatari kwakweli ahsante mungu
@HawaOman
@HawaOman 23 часа назад
Mungu wa kiboko ya wachawi umefufua huyo baba kupitia na mume wangu atapona kirahisi sana mume wangu pokea uponyaji kwa Jina layesu napokea wafahzili kirahisi sana