Kweli William ana mtoto msichana ama tuseme ni mama ya watoto wawili anaishi mombasa mwimbaji mzuri sana anaimba kwa mahoteli anaitwa Magie ni mrembo sana mwenye kujiheshimu na amefanana na babake
Amenikumbusha sana habari za bombasi club pale Nairobi nilikuwepo pale mwaka 1998 hakika historia ni kitu kizuri sana .kama nikiwa hai nitakwenda Tena!!!!
Nilisahau kuambia uweke kitabu chako kwenye Amazon online iliwatu wanunue dunia nzima sababu nishida kidogo kupata nakala halisi. Itakua rahisi kununua na download 🙏
Niko arusha ntapataje kitabu hicho cha kiswahili na wewe uko wapi ? Kuna duka la vitabu hapa arusha linaitwa kase book shop ukituma hapa ntakipata . HONGERA SANA KAKA
Hongera sana Abuu, umenikumbusha mbali sana. Mimi ni mpenzi mkubwa wa Simba na less wanyika. naomba kitabu chako cha kiswahili, nielekeze namna ya kukipata haraka.