Тёмный
Msasa Media
Msasa Media
Msasa Media
Подписаться
KANUNI NA MUONGOZO

Msasa Media ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Burudani kama filamu muziki, michezo, elimu na masuala mbalimbali ya jamii kwa ujumla.

Dawati la Uhariri Msasa Online linazingatia haya.

1. Kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini.
2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu.
3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja.
4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki.
5. Kufanya kazi kwa nidhamu na weredi.

Muongozo kwa watazamaji wetu

1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
2. Msasa Online inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvunjifu wa amani au kusababisha taharuki.
3. Msasa Online inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu.
4. Lugha chafu na zisizo na maadili haziruhusiwi.

Комментарии
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 5 минут назад
Ni jambo la kawaida kamanda kwenye maisha kuna milima na mabonde lazma upitie ata anae flai hii changamoto yako bado mshahara wako auendi kwake
@MwajumaRajabu-f7n
@MwajumaRajabu-f7n 5 минут назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-sk9qr8jk7b
@user-sk9qr8jk7b 36 минут назад
Unarusha mate kwake mmmmmh 😂😂😂
@vinny.morales
@vinny.morales 53 минуты назад
Wote wamekula Nandy so ni waume wenza.
@user-st8ff2gq4n
@user-st8ff2gq4n Час назад
Safi sana mama yetu
@user-bl9jj8wm9g
@user-bl9jj8wm9g Час назад
❤❤❤❤❤❤
@rachenicolas
@rachenicolas Час назад
Mungu hawape maicha marefu Kaka Niko kongo tuna kulaka
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 Час назад
Mwenzie alikuwa aende Ghana kwenye mkutano
@RadiusDezdery
@RadiusDezdery Час назад
Royal family
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Час назад
Safiiii
@madarakaempire4744
@madarakaempire4744 2 часа назад
Simlaumu jux bhn wanaiger wazur na wanajua kudeka sana nlshakua na mmoja nl enjoy sana autok apo😅
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 47 минут назад
Ujinga mtupu kupoteza pesa bure tu kwa uzinifu aoe basi ache kuchezea watoto wa watu
@user-bl9jj8wm9g
@user-bl9jj8wm9g 2 часа назад
Kiukwer wamapendeza Sana jamani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-bl9jj8wm9g
@user-bl9jj8wm9g 2 часа назад
Mmependeza Sana jamani ❤❤❤
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 часа назад
Ujana huo 👍👍😭
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 3 часа назад
Yaan Shishi ana baby face ❤ hazeek
@RoseMadatta
@RoseMadatta 3 часа назад
Wenye doa zao wamebebana abao hawana wametumbua macho❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 3 часа назад
Kweli uwongozi usijisahau mkeka umetoka
@alialkiyumi9372
@alialkiyumi9372 3 часа назад
wacheni wivu na rohombaya mtakua wachawi kapendeza shangazi
@user-nj9hm6xd5u
@user-nj9hm6xd5u 3 часа назад
❤️🌹❤️🌹❤️🌹❤️🌹🤲🤲🤲🤲🤲🤲🔥🔥
@RoseMadatta
@RoseMadatta 3 часа назад
❤❤❤🎉🎉
@RoseMadatta
@RoseMadatta 3 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@RoseMadatta
@RoseMadatta 3 часа назад
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@annewambui4729
@annewambui4729 3 часа назад
Macho ya zari
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 4 часа назад
😊❤❤❤
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 4 часа назад
😊😊❤❤🇧🇮
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 4 часа назад
❤❤❤❤❤
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 4 часа назад
Safi sana😂
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 часа назад
Kiki hiyo Mama hawezi mtengua nape subirini uchaguzi upite atampa uwaziri kabambe
@meislive5234
@meislive5234 4 часа назад
Verry Nice vibes 😂😂😂😂❤❤❤
@felixsexyte6765
@felixsexyte6765 4 часа назад
Kwani izi suruali mbona uku wengi awazivai maofsini?Dah!Ni special kwawa saniii tu pindi wawapo nnje ya nnchi,Sio kwa bwanga ilo.😂😅❤
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 5 часов назад
Alikuwa Leo Alikuwa Zamazetu Tuliokuwa Nae Youth..????...
@kuzzionlinetv3149
@kuzzionlinetv3149 5 часов назад
Madevu anajua sana, mazao ya kanumba nilijua ipo siku atapewa tuzo, ANAJITUMA SANA KWENYE ACTING👏
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji 5 часов назад
Malio nae Paula, wapendeza mno
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 5 часов назад
Muobewa kacheka mpk bas😂😂 kakutana na vitu vyaajabu
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 5 часов назад
Mmmmh hayo mavazi 😮😮
@Inzaghi809
@Inzaghi809 6 часов назад
Mashoga yanaenda kutobowa nyuma
@xkingx8041
@xkingx8041 6 часов назад
Tunakijua. Toa wameanza na vannyboy. Nikitoto kabisa
@judynanyama6250
@judynanyama6250 7 часов назад
Love umependa dadangu, 👌👌👌
@user-ss9ct4cf1c
@user-ss9ct4cf1c 7 часов назад
Ahahahaaaaaa leo umejiongeza umepanda kwenye kochi ile iliyopita kdg akuangushe mana ulimpalamia gafla😂❤
@neemadavid7587
@neemadavid7587 3 часа назад
Jmaniii😂😂😂😂
@user-ss9ct4cf1c
@user-ss9ct4cf1c 50 минут назад
@@neemadavid7587 😀😀😀
@khamismbwana390
@khamismbwana390 9 часов назад
((GOD))bless you and your family
@aminaabubakare1973
@aminaabubakare1973 9 часов назад
Maria of the year hahahaha 😆
@halimayusuf5348
@halimayusuf5348 9 часов назад
adi raha jamani❤❤
@MwajumaAthumani-rq2dt
@MwajumaAthumani-rq2dt 10 часов назад
❤❤❤
@kaliedkaka5804
@kaliedkaka5804 10 часов назад
❤❤
@Aisha-o7p
@Aisha-o7p 10 часов назад
❤❤❤🎉
@ReverienHabonimana-eq5ew
@ReverienHabonimana-eq5ew 10 часов назад
Yani mwanamke anapenda sana kuzidi bwana
@DidaNahum
@DidaNahum 10 часов назад
nimwendo wa mapozi na mimi
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 10 часов назад
Hakika hii italy kbisaa sasa si msrme srhemu gani wwngine watz but nyumbani kwetu huku eti 😂😂😂
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 10 часов назад
Lazima kuvaa kwa heshima mji mtakatifu Nandy kashalijua hilo much love you Dada ❤❤
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 10 часов назад
Mashalaaa sehemu gani jmni nije kuwasalimu niko Roma mji mkuu wa kanisa katoliki
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 10 часов назад
Jmn niko Roma mko wapi nije niwasalimu tu ohhhh