kwa hiyo siku hizi ndio tunaita tarabu , uhakika hamjakosea kwa sababu mwanzo mukiambia hizo kasweeda ni taarabu hamkuwmini ila sasa mumekubali wenyewe heri hiyo kwa hiyo wasila wetu ni staa wa taarabu namba moja zaanzibar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kapendeza saana mashallah.maana kashaolewa wangapi wapo mitaani wanatafuta kama hivi.huyu bint bc tuu ila mm mwenyewe nimemfatilia saana sikufanikiwa tuu.