Тёмный
Breez Online Tv
Breez Online Tv
Breez Online Tv
Подписаться
Is an online television registered with the Tanzania Communications Regulatory Authority -TCRA for reporting Religious news, information, social events, our registration number is

In addition Breeze Tv reserves the right to delete any comments that violate the laws, policies and guidelines of the Catholic Church or RU-vid.

Ni runinga ya mtandaoni iliyosajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA kwa ajili ya kuripoti habari za kanisa, taarifa, na matukio ya kijamii, namba yetu ya usajili ni

Aidha Breeze Tv ina haki ya kufuta maoni ya mtu yoyote/Watu yanayokiuka sheria, sera na miongozo ya Nchi, Kanisa katoliki na youtube yenyewe.

Contacts
Email: izackbreez11@gmail.com
phone: +255756494796
WhatsApp: +255756494796
Комментарии
@K-go1qj
@K-go1qj 33 минуты назад
Wengi watahangaishwa na kuiacha imani ya kweli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 21 час назад
Amina baba asante kwa mafundisho mazuri yenye kuimarisha.Mungu atuzidishie Imani zaidi kupitia kanisa Katoliki
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 День назад
Yeah nisahihi na atafanya kitubio then atakili imani kwa ile sala ya nasadiki,,nazani niivyo km cjakosea
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 День назад
YESU KRISTO REHEMA WATU WAKO
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 День назад
HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUJIANDAYE KUMLAKI
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 День назад
Ni kweli MUNGU akurehemu Mama rudi kwa YESU KRISTO kwa maombi ya Toba
@gabapentin8070
@gabapentin8070 День назад
Catholic for life ♥️🫶🏽
@josephlango5591
@josephlango5591 День назад
Ni ujinga kufikiri na kudhani kuwa karama za Roho Mtakatifu huuzwa kama pipi. Hiyo ndiyo dhambi ya "Simonia". Kasomeni habari za Simoni mchawi na Mtume Petro kwenye Biblia na ufafanuzi kwenye KKK
@vitusmdegela5356
@vitusmdegela5356 День назад
C kila aneneye kwa lugha ngeni ni roho mtakatifu, watuwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, siwalaumu sana, Bwana awaonekanie katika kuomba kwenu kwenye imani iliyo IMARA Ifundishwayo kanisa katoliki.
@josepherjosephpaul1138
@josepherjosephpaul1138 2 дня назад
Utaratibu wa kikatoliki ni sa hihi kabisa. Tunamfuata Yesu Kristo wa kweli. Hatubabaishi
@user-fm3ew9tu9y
@user-fm3ew9tu9y 2 дня назад
Tutulie Nyumbani Yesu Kristo anatusikia
@mussamabula-zt8zf
@mussamabula-zt8zf 2 дня назад
Fr ww ni intellectual kabisa, mimi nimepona kwa mahubiri yako
@Aminaobed
@Aminaobed 2 дня назад
Sekali inatakiwa kuchunguza sana haya makanisa mapya yanayoibuka Kila siku ni halali kufungiwa huyo nabii bado wapo wengi
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 2 дня назад
Hongera sana mama umefanya jambo jema
@consolatamushi7735
@consolatamushi7735 2 дня назад
Wakristu tumezidi kupenda mambo mepesi mepesi, kumfuata KRISTU hakuna urahisi. Mkristu beba msalaba wako mfuate KRISTU. Achana na manabii wa uwongo wanaorubuni kwa maneno matamu mdomoni! Usikubali kupeperushwa huku na huko. Mkatoliki baki njia kuu. Aksante baba Rwa'ichi kwa neno la uzima.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 2 дня назад
Mkome nakiherehere cha imani... mara kula keki ya upako... hawa manabii watawalisha hadi mavi yao : m naonywa hamsikii hayo ndio matokeo ya ukaidi
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 2 дня назад
Hahahaa... ulitoka kimyakimya unataka kurudi kimyakimya
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 23 часа назад
😂😂😂😂wewe umenifanya nicheke.Mungu atusaidie nakutunusuru jamni.
@cyprianmwageni701
@cyprianmwageni701 2 дня назад
Rc iko sawa kwa malipizi hayo, pia kufungwa kwa kanisa hilo ni sawa pia serikali ingefanya mchujo na makanisa mengine
@janethtarimo7415
@janethtarimo7415 2 дня назад
😢😢😢mmmmmm
@OlivoKisembeke
@OlivoKisembeke 2 дня назад
Yote yafungiwe kwasababu watu waataabika sana
@doriceswai1854
@doriceswai1854 4 дня назад
Amina fr nimebarikiwa sana .Mungu akubariki
@ChrispinMwigan
@ChrispinMwigan 4 дня назад
Aswali na majibu
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 5 дней назад
Asante baba kwa mahubiri Yako tumepokea.
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 6 дней назад
Kweli wwanadam ni watu wa kuhangaika msahau kabisa kama maandimo yanavyosema ni kweli kabisa katoliki nawapa shavu
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 6 дней назад
Asante yesu wa ekaristi 10:28
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 6 дней назад
Achen matamshi ya kasfa kwa kabisa katoliki mtalaaniwa. Hilo ni kabisa mama.
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 6 дней назад
Kama unaimani amini ulipobatizwa sio kutangatanga hutaiona pepo.
@jeromejames-cu7hv
@jeromejames-cu7hv 8 дней назад
Mungu atukuzwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Laswaididas
@Laswaididas 10 дней назад
Nimepata faraja sana. Mungu akupiganie, na kukuza talanta yako Father wetu
@user-fw9vv8wi7m
@user-fw9vv8wi7m 10 дней назад
Tumekukumbuka sana baba njoo kugoma utuone
@MagingaJoseph-iw9nk
@MagingaJoseph-iw9nk 12 дней назад
Kanisa katoliki halilei waamini maana miujiza haileti baraka
@VICTORIAKIHAGA
@VICTORIAKIHAGA 13 дней назад
Asante baba napata baraka sana .
@MushiVicent
@MushiVicent 14 дней назад
MUNGU AENDELEE KUKUONGOZA,DAVOO WA LORI CONGO,
@MelkioryDigha-ry8nu
@MelkioryDigha-ry8nu 14 дней назад
Dah nzuri sichoki kuitizama
@Joyce-p6w
@Joyce-p6w 14 дней назад
❤❤❤❤
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 15 дней назад
Pole baba kwa kutoa homilia ya watoto wachanga
@siliviakokubanza-dz6qf
@siliviakokubanza-dz6qf 15 дней назад
Baba Likoko, Mungu akubriki na akudumishe ktk wito wako. Amina.
@johaneshaule4378
@johaneshaule4378 15 дней назад
Very nice
@emmanuelmwambiaji8515
@emmanuelmwambiaji8515 15 дней назад
Mungu azidi kuwatunza katika Utume wake aliowaitia,
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 16 дней назад
Amina
@bethwinfred4400
@bethwinfred4400 16 дней назад
Amen
@RichardAlfred-s1c
@RichardAlfred-s1c 16 дней назад
Hunibaliki pikipiki yangu Richard Alfredy nombo boxser
@bethwinfred4400
@bethwinfred4400 16 дней назад
Barikiwa sana
@RichardAlfred-s1c
@RichardAlfred-s1c 16 дней назад
Nahomba hunibaliki sasahivi Richard Alfredy nombo
@RichardAlfred-s1c
@RichardAlfred-s1c 16 дней назад
Kunamtu nihibia basi msahada
@bethwinfred4400
@bethwinfred4400 16 дней назад
Amen
@josephlorri431
@josephlorri431 18 дней назад
Tuache siasa Kanisani...
@ReginaKulwa-zp7wp
@ReginaKulwa-zp7wp 19 дней назад
Hongera baba, Mungu akubariki.
@FrutunatusMuyango
@FrutunatusMuyango 23 дня назад
Amina baba
@fridaupendomushi1081
@fridaupendomushi1081 26 дней назад
Proffessor Kabudi huwa unanikosha kwa hotuba zako.❤