Official RU-vid Channel Of PASTOR DANIEL MGOGO,Connect With Me By Subscribe My RU-vid Channel For Word Of Salvation,Prayer Support and Inspirational Words From Above.May The Lord God Bless You.
Bwana yesu asifiwe Pastor mgogo..naomba unitatulie ndoto.ya kila siku.....ya kwamba...nimepata mume mwenye pesa ananijali na mwanangu...ilhali niliolewa!!!!...nimepanda.jukwaani nawaimbia watu...(mimi.ni Mwimbaji lakini.sijajulikana sana)...nifafanulie
Mungu akubariki baba sababu congo sisi ni watumwa kwenda mbele ila dunia imetufuza sana wachache njo watabaki utumwani sasa kama mimi nilisha jikomboa tayari asant baba
Kwa kweli ubarikiwe sana pastor ! Mafundisho yako yanaongeza virutubisho vitamu kwenye ndoa yangu na mme wangu. Huwa nakufuatilia nikiwa huku Rwanda -Gisenyi town!