Тёмный
Snashtz
Snashtz
Snashtz
Подписаться
Snashtz ni chaneli ya uchambuzi wa kina na hakiki katika upande wa teknolojia na filamu pamoja na "games".

Timu yetu yenye uzoefu ya wapenda teknolojia huzama katika simu mkononi, kompyuta, vifaa mahiri vya nyumbani, na mengineyo, ikitoa ukaguzi wa kina, mafunzo na ulinganisho ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu ununuzi wako wa kiteknolojia.

Ukaguzi wetu wa filamu hujikita katika ulimwengu wa sinema, ukijadili kila kitu kutoka kwa wasanii wakubwa wa Hollywood hadi filamu huru. Kujitolea kwetu kuwasilisha maudhui kwa Kiswahili kunaifanya iweze kufikiwa na hadhira pana zaidi ambayo huenda isijue Kiingereza vizuri.

Watangazaji wetu wa haiba huhakikisha kuwa video zetu sio za kuelimisha tu bali pia za kuburudisha, na hivyo kuhakikisha utazamaji wa kufurahisha kwa wote.

Kwa hivyo, iwe wewe ni shabiki wa teknolojia unayetafuta vifaa vya hivi punde zaidi au mdadisi wa filamu unayetafuta uhakiki wa maarifa, Subscribe kwa Snash Swahili Tech na ujiunge na jumuiya yetu mahiri.
Hard Home 2024 Movie Review
7:07
День назад
Unboxing OneKey Classic 1S
4:28
14 дней назад
Galaxy Unpacked Z FLIP/FOLD 6
6:47
14 дней назад
Furiosa Movie Review : ( in Swahili )
12:56
14 дней назад
Mazda CX5 2024 Review
8:54
Месяц назад
Youtube sio Mama Yetu!
17:13
Месяц назад
We Have A Ghost Movie Review
11:57
Месяц назад
5 Apps KILA MTU ATUMIE
7:04
Месяц назад
HDR vs HDMI Maelezo kwa kina!
2:48
Месяц назад
Exclusive: GTA ni Game Bora ya Muda wote!
10:42
2 месяца назад
Photomode ni nini kwenye GAME !
5:05
2 месяца назад
Kazi ya Audio Jack Kwenye ATM Machine!
3:31
2 месяца назад
Комментарии
@NuruShaban-p8e
@NuruShaban-p8e 14 часов назад
Muda mrefu ulitusahau
@KheyrMt-go1jw
@KheyrMt-go1jw 20 часов назад
hii muvi pindi naiangalia yakanijia mawazo kua kuanzia leo sito amini serekali niwaongo
@DanchiboMnyama
@DanchiboMnyama 22 часа назад
Unyama sana
@JoshuaDavid-gl7hv
@JoshuaDavid-gl7hv 23 часа назад
ERTENALS IS THE BEST IN EVERY WAY
@caizkd255
@caizkd255 День назад
I'm ur fan mzee ila next time uwe unaanza hata na SPOILER ALERT babu didn't know about cap na Wesley snipes 😂😂
@denis0n607
@denis0n607 День назад
Basi utamu kwisha hapo 😂😂
@SenetorSaid-qk1hl
@SenetorSaid-qk1hl День назад
Me nadhani hyo ni muendelezo wa Multuniverse ndomaan characters wa MCU wanabadilishiwa koo me naona huwo ni muendelezo wa multunivers
@mussalaurian
@mussalaurian День назад
Huna maajabu saiz yan story ninyingi lakin unapotea ukirud unaleta mambo ya kitoto
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 День назад
Babu unapoonekana unaboa video zinachunda babu weka video tuu kama mwanzo acha kuuza sura....ukiiweka video inakuwa na sauti nzur sass kuonekana unazingua babu
@kenoxxkiller
@kenoxxkiller День назад
Range extender naipataje
@IbrahimMbega-cq1eu
@IbrahimMbega-cq1eu День назад
Brother naomba review ya Oppenheimer ya 2023
@Ghostte_notte
@Ghostte_notte День назад
Sasa Itakuaje kwa yule Villain Kang the Conqueror. Tulie muona ktk Ant man and wasp Quantumania. Mana marvel ukienda ktk Site yao hata sahiv, ukiangalia mov inayo kuja ni Avengers Kang Dynasty. Mwaka 2026. Kwaio walivo weka Avengers Doom's Day mwaka huo huo ndo wame i Replace Kang Dynasty Ama. Mana itakua Multiverse saga Ya kang the Conqueror ndo imeishia hapa. Akati Loki season 1 and season 2. Inatuelekeza Tuangalie kitacho fata ktk Avengers Kang Dynasty ilio Canceliwa baada ya kumuua Who He Remain. Sijaelewa, Marvel wanachanganya sana
@MaverickMichael-jy9tn
@MaverickMichael-jy9tn День назад
Imekuwa replaced na hii mpya ya Avengers: Doomsday, baada ya actor Jonathan Majors kukutwa na kosa la kumpiga mkewe, akafutiwa mkataba na Marvel Studios, hivyo Avengers 6 ambayo ni Secret Wars ilitakiwa kufuata baada ya Kang Dynasty... lakini Marvel wameamua kuingiza villain ambaye atakuwa anagusa idea yao moja kwa moja ya Multiversal Saga, hakuna mwingine kwa wakati huu zaidi ya Dr. Doom
@Ghostte_notte
@Ghostte_notte 19 часов назад
@@MaverickMichael-jy9tn Duuu. Sawa kaka nimekuelewa sana
@RamadhaniMussa-u4k
@RamadhaniMussa-u4k День назад
Mcu watakua wamekosea sana kama watamrudisha Wesley snipes as a blade wamwache dogo mahershala ally dogo anafit kuwa blade wa mcu
@denis0n607
@denis0n607 День назад
Wesley hawezi kurudi labda kwenye multiverse huko aje kama variant ila Mahershala Ali ndio main cast wa Blade for upcoming Blade Movie 2025
@shaidanidecoration1007
@shaidanidecoration1007 День назад
Unayam san
@EzekielNuhu-n3v
@EzekielNuhu-n3v День назад
Naomba namb
@YunusHassan-dl2md
@YunusHassan-dl2md 2 дня назад
Asante sana kaka snash jambo nililo kuomba kama mshabiki wako umelifanyia kazi Asante kk 🫡
@LukawisehusseinAli
@LukawisehusseinAli 2 дня назад
😂😂😂😂ilike 🐈
@user-ju1vl3cg5y
@user-ju1vl3cg5y 2 дня назад
Ina bei gan
@tinchy-b1i
@tinchy-b1i 2 дня назад
Watakavyofanya ni kwamba iron man atarudi lakn akiwa wa altenate universe kisha atakutana reeds na irone man anaamin yeye ndio smart person alive so kukutana na reeds ambae n smart zaid yake na yeye alivy na ego ndio atajaribu kua smart zaid ya reeds ndipo dr doom atatokea apo
@yohanajoseph4554
@yohanajoseph4554 2 дня назад
Itakuwa LOKI asha rewrite story zote za mcu😂😂
@MaverickMichael-jy9tn
@MaverickMichael-jy9tn День назад
Ni kweli
@silamosted52
@silamosted52 2 дня назад
Mkuu tunaomba uchambuzi wa INTERSTELLAR 2014
@nathandouglas9517
@nathandouglas9517 2 дня назад
Ko kang dynasty vp Sasa
@MaverickMichael-jy9tn
@MaverickMichael-jy9tn День назад
Cancelled
@nathandouglas9517
@nathandouglas9517 2 дня назад
Oya Deadpool x wolverine bas Kaka snash
@joshuaburton6599
@joshuaburton6599 2 дня назад
@bonyfaceshiganza401
@bonyfaceshiganza401 2 дня назад
KANG DYNASTY NDIO BASI TENA😢
@hassanmussa4623
@hassanmussa4623 2 дня назад
We know 😌😌😌
@malakimoses6115
@malakimoses6115 2 дня назад
Deadpool alikuwepo kwenye blade trinity ya 3
@khamisssalumu
@khamisssalumu 2 дня назад
Review ya Deadpool and wolverine
@oqlovetext3782
@oqlovetext3782 2 дня назад
Snash Simulia kama zaman UKIWA unaonekan kwenye Vidio Hainogi Ukisimulia kama zaman sauti Huwa inakuwa nzuri zaidi
@jangabauertv8288
@jangabauertv8288 2 дня назад
Kurudi kwa iron man ni jambo zuri
@catalyst07
@catalyst07 2 дня назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-nhRm290GXDM.htmlsi=oSy0flSS_SxWC3Uh
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg 2 дня назад
Marvel hawana tena idea za superhero wapya duuh😢
@Vin_247
@Vin_247 2 дня назад
Sema jamaa🔥
@Vin_247
@Vin_247 2 дня назад
Naomba ya my spy ya David Bautista
@officialaronx
@officialaronx 2 дня назад
Huna baya my brother na ku appreciate san😂
@abubakariibrahim5375
@abubakariibrahim5375 2 дня назад
Tunaomba review ya A quite place seem ya 3
@Vin_247
@Vin_247 2 дня назад
Pitia video zake hii ashatoa
@richpaullzproductions
@richpaullzproductions 2 дня назад
Kwenye Deadpool & Wolverine cameo mwingine ni Henry Canvill alikuwa Wolverine kutoka multiverse tofauti na yule Wolverine (Hugh Jackman) pia kumbuka Henry Canvill ndio aliye Cast Super Man kule DC Comic
@calvincypriano2956
@calvincypriano2956 2 дня назад
Popcorns😂😂😂😂 huyu ni mimi kabisa popcorns niachie washua tu
@Debora-j2j
@Debora-j2j 2 дня назад
Tuletee dead pool Wolverhampton
@godfreymsemwa
@godfreymsemwa 2 дня назад
Dead pool and wolverine
@Debora-j2j
@Debora-j2j 2 дня назад
@@godfreymsemwa key bord ndo kinabadili maneno
@godfreymsemwa
@godfreymsemwa 2 дня назад
@@Debora-j2j we unaonekana una beti 😁😁😁
@Debora-j2j
@Debora-j2j 2 дня назад
@@godfreymsemwa sana
@godfreymsemwa
@godfreymsemwa 2 дня назад
@@Debora-j2j unyama sana
@bestoking
@bestoking 2 дня назад
Ujue marvel studios wapo kasi kwenye movies zao ndio maana unaweza kuelewa ila dc ndio changamoto movies zao nyingi ni zile zile kwa mfano joker inayo tarajiwa kutoka , Batman, superman mpka wanatuboa fansi zao kwa sababu hata sisi tunatamani tuone superheros wapya na wakiwa kwa pamoja kwenye justice league ila hapo slow sijui wana mpango gani
@richpaullzproductions
@richpaullzproductions 2 дня назад
Kaka hapo Una mix mafaili ya MCU Na DC COMICS ni makampuni mawili tofauti na kila kampuni Lina superheroes wao Sasa wewe unaongelea justice league ya kina superman wakati wao sio MCU Ni DC COMICS
@kilanjatv
@kilanjatv 2 дня назад
​@@richpaullzproductionshata marvel ni comics
@Eagles302
@Eagles302 2 дня назад
Hujamuelewa vizuri Anasema DC wanaboa hajamaanisha kumix mambo Anamaanisha anataman DC nao wangefanya mabadiliko kama marvel Yan DC wapi slowly sana
@Ghostte_notte
@Ghostte_notte День назад
Kweli mdau
@Ghostte_notte
@Ghostte_notte День назад
​@@richpaullzproductions mbona kaelezea vizuri kaka, Eb soma tena. Anajua kapatia. Soma vzur
@jumathabiti-dn6mq
@jumathabiti-dn6mq 2 дня назад
Unapotea sanaa
@charlestalented161
@charlestalented161 2 дня назад
Unakaa kimya sanaa snash
@YunusHassan-dl2md
@YunusHassan-dl2md 3 дня назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-KMNrVGuoYkc.htmlsi=-YdxuMftc0qRBMbT
@YunusHassan-dl2md
@YunusHassan-dl2md 3 дня назад
Dah kaka snash ivi umefikir kama Marvel Studio wanamrejesha IRON MAN katika AVENGERS DOOMSDAY NA AVENGERS SECRET WARS yani kaka snash skuamin kama Marvel Studio wanaweza kumrejesha IRON MAN na yeye kakaa nafasi ya kwanza katika picha dah yani saiv Marvel Studio wameamua kaka snash tz hee tufanye riviyu kama masha biki zako na movie ile ya DEADPOOL & WOLVERINE kaka 🫡
@benithoii2789
@benithoii2789 3 дня назад
ila venom si wa sony imekuaje kwenda marvel
@user-wz3kh7th7h
@user-wz3kh7th7h 4 дня назад
Hii gari inauzwa USD 875000 sawa na bilion 2,187,500,000
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg 4 дня назад
Ivi Chris Hemsworth na Luke Hemsworth ni mtu na mdogoake?
@jimmyjames3246
@jimmyjames3246 4 дня назад
Unatusahau sana bro
@nicholauselishakissikissi8311
@nicholauselishakissikissi8311 4 дня назад
No ya simu tafadhari
@Lyman001
@Lyman001 4 дня назад
👍👍👍
@sharifulupanda9461
@sharifulupanda9461 5 дней назад
Tupe review ya Atlas ya Jenifer lopez
@titusjairo6482
@titusjairo6482 5 дней назад
Kaka kuna kipqnde yule tom anaoneka mbona ujakisema ichoo