Kipenzi jifunze kutangaza vizuri my dear punguza matangazo ya pia kumfahamu mpenzi wako haidaidii wenzako huwa wanawaficha una kuwa kama unatowa simulizi ya mahusiano yako#wachaga bhn😂
Huyo ni mrundi na wala haja wai kufika umarekani jina lake hakisi ni yusufu . Kazi yake ana watapeli watu wa inje ya afrika akidanganya kusaidia kuleta ndugu zao umarekani mwisho anaiba passeport zao .
Diamond unatafuta nini jameni kifo undanganye zari wife material watoto sawa mchapa kazi nyota kali kupenda family yoko vigezo viote anavio sasa tanasha okeck kulea mtoto hana wakati kukutukana wewe na family yako na mamayako ndio sanaaa simchapa kazi ni mtu wa raha na kujifanya lakini nyoka tena family yake ukiangalia utashangaa tanasha ni kutaka pesa tuu siku moja utakumbuka maneno yangu
Kando ya zari kukufanyia yale yote Asante ndio hiyo utavuna usimuuwe zari tafathali Diamond hamisa ukamufanyia vituko mujaluo okeck ni vituko na kutaka kumuuwa na tukisema ukweli mwanamke mwema tuu ni zari basi
Diamond alienda uganda akasema atamuoa zari sasa ni matukio kwa zari usimuue zari utalaniwa wewe diamond utavuna tulikuona ujue sasa nimatukio kwa zari haki ni uchungu sanaaa 😭😭😭😭
A set of jealous people can you try to mind your business and live Zuchu and his man alone.Is Diamond the only man in Tanzania. Go and look for your own man.