Тёмный
BAB SEIF
BAB SEIF
BAB SEIF
Подписаться
FUATILIA SIMULIZI YA MAISHA YA UGHAIBUNI
Pia kama umeguswa na simulizi zetu tafadhali tuchangie kupitia namba za simu hapo chini kwa ajili ya kununua vifaa ikiwemo CAMERA, LAPTOP, MIC pamoja na CAMERA STAND
For more info: +255 756 212 435

Maisha ya ughaibuni ni hadithi ya maisha ya Waafrika wanao Ishi nje ya bara lao. Tunachunguza changamoto wanazokutana nazo, mafanikio wanayopata, na jinsi wanavyokabiliana na tofauti za kitamaduni. Katika video hii, utaona hadithi za kweli za watu wakijitahidi kutimiza ndoto zao huku wakihifadhi urithi wao wa Kiafrika. Usikose kujifunza kutoka kwa uzoefu wao na kugundua jinsi wanavyofaulu katika mazingira mageni. Tazama sasa na upate kujifunza msukumo!


EP YA 312  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
14:03
17 часов назад
EP YA 311 MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
14:03
2 часа назад
EP YA 310  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:12
2 часа назад
EP YA 308 MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:00
4 часа назад
EP YA 20MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
14:50
4 часа назад
EP YA 307  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:00
7 часов назад
EP YA 306  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:12
7 часов назад
EP YA 18  MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
16:34
9 часов назад
EP YA 17  MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
15:56
9 часов назад
EP YA 305  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:00
9 часов назад
EP YA 16  MAIHA YA  UGHAIBUNI NA MUSTAFA
14:54
12 часов назад
EP YA 304  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:12
12 часов назад
EP YA 301  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:00
14 часов назад
EP YA 302. MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:12
14 часов назад
EP YA 303. MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:00
14 часов назад
EP YA 15  MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
14:42
14 часов назад
EP YA 10  MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
13:50
14 часов назад
EP YA 300  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
15:06
16 часов назад
EP YA 14. MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
11:59
19 часов назад
EP YA 13  MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAFA
12:06
19 часов назад
October 17, 2024
1:01
19 часов назад
EP YA 12  MAISHA YA UGHAIBUNI NA MUSTAF
14:53
19 часов назад
EP YA 299  MAISHA YA UGHAIBUNI NA TYRESE
13:17
19 часов назад
Комментарии
@agachamsakazali6473
@agachamsakazali6473 Час назад
Sema taylise miyayusho sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u 2 часа назад
Uche okochoko
@psitetgilbert7185
@psitetgilbert7185 2 часа назад
Bado twangojea rasa kadjole
@nickbrown8350
@nickbrown8350 4 часа назад
Acra ni Ghana sio senagal
@dyangwe
@dyangwe 4 часа назад
Kweli Ww wa Ilala..
@sirajitingisha3726
@sirajitingisha3726 7 часов назад
😅😅😅 Leo baba umepatikana hapo hata umwwleshe vip jayakielewa
@sirajitingisha3726
@sirajitingisha3726 7 часов назад
😅😅😅 Leo baba umepatikana hapo hata umwwleshe vip jayakielewa
@rasjamal9854
@rasjamal9854 7 часов назад
Ulikuwa na passport maana muda waote ulikuwa mzee wa kubinjuka ma bonder sasa Ktk hiyo meli ulikuwa unatumia nini?
@rasjamal9854
@rasjamal9854 8 часов назад
Hiyo simu imekaa mdagani hapo chini ya Reli ina maana chaji aijaisha Tu?
@Aishaswedy
@Aishaswedy 7 часов назад
Bwana..we sikiliza tu😂😂
@rasjamal9854
@rasjamal9854 7 часов назад
@@Aishaswedy tuna sikiliza na maswali tuna rusiwa kuhuliza?
@rasjamal9854
@rasjamal9854 8 часов назад
Kituo chochote cha polis utakiwi ukae zaidi 24 kisheria,Hila Bongo wanaweza kukuweka hata mwezi kituoni ni uwonevu?
@HilalAmbusaidi
@HilalAmbusaidi 10 часов назад
Tyrese ulikua unasafiri vipi bila passport?
@mbisedickson1792
@mbisedickson1792 10 часов назад
Duh
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 14 часов назад
Kesi wakati ndio mtuhumiwa wewe😂😂
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 14 часов назад
BAB SEIF MAN KADIOLE AJAMALIZA STORY
@HilalAmbusaidi
@HilalAmbusaidi 10 часов назад
Ras kadjole kamwaga vumbi kama kwa Mr.Lee
@sixberttindwa9622
@sixberttindwa9622 14 часов назад
80000 mwaza daa
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 14 часов назад
BAB SEIF HUYU JAMAA BADO TUNAMUITAJI SANAAA
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 14 часов назад
BABA SEIF TUPE ATA TATU KWA SIKU ANGALAU
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 14 часов назад
HIII NI STORY PENDWA SANAAA
@emmanuelsanga4836
@emmanuelsanga4836 16 часов назад
Lilikua bado na charge?
@Aishaswedy
@Aishaswedy 17 часов назад
Mwaga moto 🎉🎉
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 17 часов назад
Wataalam wa simu wangetoa password sema hamkupata
@sixberttindwa9622
@sixberttindwa9622 17 часов назад
Sitori nzuri
@Aishaswedy
@Aishaswedy 19 часов назад
Daah hawa jamaa hata hawakukumbuka walivyopoteza kazi Nigeria bandarini kwa ajili hiyohiyo ya madawa na hata hawakujifunza wakarudia tena ujinga ule ule kweli madawa nuksii😢😢😢
@NaurasAlmadina
@NaurasAlmadina 20 часов назад
Bab seif unazinguwa sio unataka story km kwenye ktabu bwana
@fredadam7692
@fredadam7692 21 час назад
kwel jina la mzungu vpi muulze uje amekaa bongo miaka mingap je kiswahili anakiua kuongea au kuelewa
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 22 часа назад
USIMKATishe
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 22 часа назад
BAB SEIF TULIA BHN
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r 22 часа назад
MWACHE TYRESE AMWAGE MOTOOO
@hayonycredit
@hayonycredit День назад
Bab seif muacha amwage moto tunamuelewa
@MariaNtanga-o6b
@MariaNtanga-o6b День назад
Mtu si anawekastory vzr asirudie mara mbili ndio nn unaharaka ww sie ndio tunatumia mb zetu tulia ww
@areafifty-i2x
@areafifty-i2x 4 часа назад
sema bab seif ni mbabe sana hajui kumueleza mtu vzr anamfokea mtu mbele ya kamera 😂😂
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk День назад
Unalalamika wakati ww ndio mtuumiwa 😂😂😂 kama uneonewa
@dyangwe
@dyangwe День назад
Tyrese, kwa tori tu, nakuaminia😅
@moseschaliga5018
@moseschaliga5018 День назад
Bab Seif muulize Tyrese jina la mzungu kama tunavyomjua Candice.
@bab_seif
@bab_seif День назад
@@moseschaliga5018 nitamuliza akija hizo video zazamani bado hatujarekodi bado
@gungumukamasunga1269
@gungumukamasunga1269 День назад
❤❤
@geraldmnyema
@geraldmnyema День назад
Tsh 27milion
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r День назад
BAB SEIF HIIII KALI
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana День назад
Kaka saldhana bay unajuwa nani???mtanzania????wapo watuu toka 1995
@williammwalusamba7551
@williammwalusamba7551 День назад
😂 bab sef mbona una guna guna au unakulaga ugoro
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana День назад
Saldhana bay unajuwa Nani????ww kuna mtuu toka 1995
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk День назад
Mtihani mkubwa sana mnakuja kustuka muda umeshaenda 😂😂
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk День назад
GPS hiyo waliitrack ndio maana hata siku jizi simu ni hatari inaweza kuua tu😂😂
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk День назад
Maisha ya hovyo kama hayo huwezi fanikiwa hata dah mlikosea sana kufanya uhalifu kama huo 😅😅
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 2 дня назад
Apo km n mm nairudisha tu
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 2 дня назад
Laaana tu ilikuw inakufuatilia
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 2 дня назад
Apo ndo naona marafiki n wa nkuangalia sana . Mana uche alipata rafiki mbaya sanaaa
@chensigns6748
@chensigns6748 2 дня назад
Geti za wapi babu sauzi????
@agachamsakazali6473
@agachamsakazali6473 2 дня назад
Baba seifu jaribu kutuwekea zakutosha mzee usituweke sana sasa
@bab_seif
@bab_seif 2 дня назад
@@agachamsakazali6473 tumeni pesa za bando na kumpa tyrese
@AnveraliAnveralishivji
@AnveraliAnveralishivji 2 дня назад
Tyres hiyo ni elfu mbili na ngapi uwe unasema mwaka na mwaka gani umerudi bongo?
@Ibrahim-v3m8r
@Ibrahim-v3m8r День назад
TULIZA SKIZA STORY
@wiliammathayo8577
@wiliammathayo8577 2 дня назад
Mustafa anakatisha story mwanzoni alianza vizuri nikajua story itakuwa nzuri anazingua ajui kusimulia
@hubbihubbi869
@hubbihubbi869 2 дня назад
Huyu ni Mustafa