Asagwile Mwasongwe simply known by his stage name Asagwile, is a Tanzanian born Gospel singer, Songwriter, Recording and Performing Artist. His career got its dive after competing in the Bongo Star Search 2018 (BSS Season 9) where he emerged 1st runners up.
Bongo Star Search is a Tanzanian Talent Search same as American Idol or America's got talent.
What to expect from Asagwile 's Music? A blend of the original deep African music vibes served with soulful vocals and of course a great sense of personality.
Ewe Mungu uishie milele,, Bwana wa majeshi alpha na Omega najua kuwa mm ni mwenye dhambi, na dhambi zangu ni nyingi kuliko mchanga wa bahari ila naamini katika ww na nakushukuru kwa neema ya utakaso unayonipa kila nikikupigia goti 🥺,, Mungu nakuomba Sasa kitu kimoja kwasasa nakuomba mke wa ubavu ulioniandalia kwasababu naamini kitokacho kwa baba ni kitakatifu🤲,, niondolee huu usingle unaonitatiza nakuomba mwaka huu usiishe bila kunipa mwanamke wa ubavu wangu ni katika jina lako lililotakatifu nami nikiamini Amen🙏🙏
Mashairi yameniyoa machozi. Mungu akubariki wewe Baba wa familia unae soma ujumbee huu, huku ukiwa unahangaika kuilea familia kwa maumivu makali lakini ukirudi nyumbani unatabasamu huku familia haijui kinacho endelea. Mungu ni mwema sanaa.🙏🙏🙏