Тёмный
RAI TV
RAI TV
RAI TV
Подписаться

How are you My name is Raheem Rai but here on RU-vid I use RAI TV, This is for all my stakeholders almost on the RU-vid channel Of Rai tv which is mostly involved in uploading Content with values ​​related to DOCUMENTARY,POLITICS MATTER,NATIONAL MATTER,LONG FILMS, SHORT FILMS, ANIMATED, FUNNY FILMS, INTERVIEWS , SPORTS , ENTERTAINMENT AND EVERYDAY NEWS
Комментарии
@mwitajohn4882
@mwitajohn4882 9 часов назад
Ccm c hoja zero
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 9 часов назад
POYOYOOOOOOO
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 7 часов назад
Hili jamaa ni poyoyo kweli utajua tu hata ongea yake
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 10 часов назад
Ushindi upo kabsa maana kila mahali mama anafanya kaz Mashule, mahosptal barabara kila kona kwa nini tusishinde Na kaz zinafanywa na tunaona?
@danielbayyo9068
@danielbayyo9068 16 часов назад
Samia akitoka ngombea ww kura yangu nakupa ubarikiwe ❤❤❤
@danielbayyo9068
@danielbayyo9068 16 часов назад
Hapa kazi tu
@user13375
@user13375 22 часа назад
Tujenge Barbara zote ,kuondoa vumbi
@EmmanuelJembekali
@EmmanuelJembekali День назад
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c День назад
Kweli bado wabovu hakuna hata kiungo mlisha mipira mafowad
@husseinmgalula5864
@husseinmgalula5864 День назад
Fundi viatu
@ignatiomatimba3554
@ignatiomatimba3554 День назад
Rais hakukaushwa sauti na watu Bali ni vumbi kwenye Barbara alizokuwa anapitishwa ndilo lililompatia mafua na kikohozi.
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 День назад
Jamani hebu Mwacheni MAMA SAMIA Daaah
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 День назад
Ndio maana tunakataa serikali za majimbo. Nchi ni moja na Rais ni mmoja
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza День назад
Kodi ztu mnaenda kutumbuza na kula bata kizimkazi na wasanii mar kwnda kushoot korea na wasanii
@TegeteMwalonde
@TegeteMwalonde День назад
Daaaa makonda maisha malefu kwako kaka
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 День назад
Aliwapa ili .ccm mnajichanganya sana
@samwelclement8108
@samwelclement8108 День назад
Mavitenge. Na mauaj. Kipii. Boraaaaaasasaaàaaa
@samwelclement8108
@samwelclement8108 День назад
Chademaa. Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@samwelclement8108
@samwelclement8108 День назад
Mliwapa. Vya nn. Kwn mliombwa kama sio rushwaaaa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 День назад
HUYU MZEE ANAONGEA TU IRIMLAD ASIKIKE KWENYE SPIKA 😂😂😂😂 WATU KAMA HAWA MUWE MNAWAANDIKIA HUTUBA WASIWE WANAROPOKA OVYO
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 День назад
YAN NYIE NA SIASA ZA HIVI NDO MNATAKA TUWAPE DOLA SAS NYIE NA CCM MNAUTOFAUT GAN LABDA NIWAAMBIE TU NYIE KUHUSU KUSHIKA DOLA SAHAUN LABDA MIAKA YA HUKO MBELE BADO HAMJA KOMAA KUONGIZA DOLA NYIE
@maulidiabdalha
@maulidiabdalha 2 дня назад
Mnatuwekea matangazo ya nn sasa
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv День назад
Alafu wa Bongo bnh Sasa Bila matangazo sisi Tukapate hela wapi Ahh ukiona hutaki kuliona Peleka mbele ukiona hutaki kabisa Achana na sisi, Bored Hutaki matangazo wakati hutumia hata bundle la buku halifiki ukiangalia acha roho mbaya
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 2 дня назад
Tuna juwa pamba ni tawi la yanga
@jackswat
@jackswat 2 дня назад
😮😢 MBONA ANAONGEA HOVYO, KIONGOZI KWELI HUYU, MBONA PUMBA HIVO!!!!😮
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 2 дня назад
Kamanda Tuambie yule afande aliotuma kina nyundo imekaaje hii ?
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 2 дня назад
Ile ya Dodoma kaka au makao makuu huko ndio wanaweza kusema jambo huyu ni wa kanda maalum ya Dsm tu
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p День назад
Asante kwa kumpatia majibu mzr​@@Rai_online_tv
@LuluMeru-u8h
@LuluMeru-u8h 2 дня назад
Choyo kinawasumbuwa chandema
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 2 дня назад
Hapo pamba lazima afe sababu wote watoto wa gsm😂😂😂😂 lazima mdogo amwachie mkubwa wake😂😂😂😂😂
@SaimonMwashinga
@SaimonMwashinga 2 дня назад
Nakukubali
@PatrickKahindifundisha
@PatrickKahindifundisha 2 дня назад
Kwakuwa nimefunzwa kumueshimu kila mtu sizani kama huwa anamshukuru mungu kwa kila anachopata anaonekana anatamaa
@WaziriOmari-f3h
@WaziriOmari-f3h 2 дня назад
Hivi kwenye plate number za magari kuna herufi O yaani kama alivyotamka DOK 😂😂
@ObeidChamila
@ObeidChamila 2 дня назад
HUYO ndio Mzee WA chadema katumwa kusema hayo ya ubaguzi
@danielkanso
@danielkanso 2 дня назад
Vipi kuhusu utekaji nilifikiri mnalaani utekaji kumbe kuchoma vitenge nendeni mkanunue tena
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 дня назад
SACCOOS NA SERA ZAO HIZO MPAKA UCHAGUZI 😢😢😢😢😢
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 2 дня назад
Kumbe huyu mzee hajitambui. Ni mini, mbaguzi nk.
@moddysunshine6618
@moddysunshine6618 2 дня назад
muwe mnaangalia watu wa kuwapa uongozi au muwe mnawaaandikia hotuba. Huyu Babu kameza mvinyo wa madoriani?
@RICHARDMADEBE
@RICHARDMADEBE 2 дня назад
Bado kikokotoo madeni na sitahiki za watumishi hazilipwi tangu 2020 serikali imeziba masikio haioni maumivu ya watumishi wake kweli
@JacksonChacha-i4u
@JacksonChacha-i4u 2 дня назад
msiwe mnatutisha hapa na huyo mama yenu hata cc tuna mams
@josegambi7149
@josegambi7149 2 дня назад
Huyu mzee zimechomoka
@ElivasslukumyaiElivassluku-w1r
Musije kungawanyika mukue kama kongo watuawana amani usiku namushana wewe enda ukapimwea akili fujeni iyomungano mutaona dunia nihii mutateseka kulaungali yako naulale mwanangu tulia ashausebe
@ElivasslukumyaiElivassluku-w1r
Munaongea ujinga nasisi waTanzania bara tunawabeba kwamungongo shukurani yapunda niteketu
@ElivasslukumyaiElivassluku-w1r
Sasa siimufuje mungano iashe kutuletea ufalamingi
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 дня назад
CCM wajinga sana vaeni wenyewe vitenge vyenye picha ya mama enu
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 2 дня назад
Yupo radh awalipe wasanii pesa kbao kulko kukup mgonjwa wa hospital
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 2 дня назад
Hahahaha
@SanziNzige
@SanziNzige 2 дня назад
Hivi nyiee walichoma sammiaaa! au vitenge mbona mnaanza na neno vitenge ndo mnaenda na mengine.mbona hamaani watukuuawa?.jamanikuweninaaibu basi
@JeremiahKaliwa-h1w
@JeremiahKaliwa-h1w 2 дня назад
Wangelaani na utekaji ningeunga hoja
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 дня назад
Havina umuhimu wanakaa navyo vya nini mbona ni sw tuu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 дня назад
Picha tuu mbona si bora kuchoma kuliko kupangumzia mavi chooni na nyingine tunawashia moto jikoni na kufunika vyungu jikoni mmekosa point
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 2 дня назад
Kuchoma vitenge ni muongo wa mawazo makodi kibao kwa kwa mfumo huu wa kujaza makodi kwenye biashara moja ni unyanyasaji wa kibinadam umasikini ukizidi wa wananchi wanakata tamaa na kuwa na msongo wa mawazo ukifanya vizuri watoto watakupenda na hawatakuwa na msongo wa mawazo
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 2 дня назад
ujinga mtupu
@johnmworia1062
@johnmworia1062 2 дня назад
Nendeni mahospitalini mtaona yaliyopo.Kama Huna hela,jiandae kufa tuu.Hqmna lolote