Baadhi ya sisi mashekhe Alhamdulilaah tuna 'ilmu; ila kutumia hikma katika mawaidha yetu kwa waja wa Allah ('azza-wa-jal-la) ndiyo bado kidogo inatutatiza,ama tuseme tuna upungufu wa hikma pindi tukitumia lugha isiyofaa kama kutamka neno la kutusi au la kudunisha mja yeyote yule kwa sababu hafuati mafundisho flani katika wa'adhi wetu juu ya dini!! InshaAllah Allah atatuja'alia kujiepusha na maneno ambayo tukiyatamka hayatatufanya kusikika ni kama tuko na kibri (wana'udhu-bil-laahi min dhalik).
Acheni scholarship zisizokua na mashiko ukifanyiwa ubaya Mwenyezi Mungu yeye ndio mwenye elimu ya kujua either kukupata au usikupate na sio eti mpaka Mwenyezi Mungu aruhusu ndio ukupate na kuwa mitihani kwako bila ya shaka mitihani kwa Mungu ni yeye akitaka atakupa kwa hali yoyote iwe maradhi utajiri nk
does any know where Sheikh Shafi Abdulaziz is working from now, I would like to get in touch with him he helped me and my husband before in I could use his advice now.
hakika we mungu ni wa kutegemewa haswa msiache kutukumbusha enyi mliopata elimu ya dini mungu wabariki watu hawa wenye kulainisha mioyo migumu iweze kumrejea mungu wetu amiini