Тёмный
Shy Online Media
Shy Online Media
Shy Online Media
Подписаться
Комментарии
@abuuzwiin1876
@abuuzwiin1876 7 дней назад
Hii mijitu ukiyaita majadida ina kasirika hapa yuwakwambia hizi kauli ni za zamaaani
@IssaAlli-y7o
@IssaAlli-y7o 20 дней назад
Kher Insha'Allah
@saidmatola8015
@saidmatola8015 25 дней назад
Huyu shekhe ni yahudi. Mtume kafundisha kila kitu. Kasema tumfuate yeye si vinginevyo.....
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 25 дней назад
Usijitoe ufahamu, sikiliza kwa umakini uelewe na kuifuata haqi
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 26 дней назад
Tena wala usitake kufananisha maibadhi na kundi la kisalafi fekii 😂 hamuna hoja nyinyi porojoo jingii hamuna jengine kama wewe kweli unapenda haki basii hizoo riwaya zenu za hadithi za kutungaa ziondosheni kwenye vitabu vyenu maana zinaenda kinyume na qur ani
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 23 дня назад
Anaongea hakii....turia ubainishwe wazi mweupe yaheee....
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 26 дней назад
Wewe mzee unaonekana hujielewii wewe kwa sababu unaposema maibadhi wanaitiqadi mbovu maana yake utakuw umeitukana qur ani kwa sababu kwenye mambo ya itiqadi maibadhi hufuata qur ani wala hawafuati riwaya za hadithi kama munavyo fanya nyinyi ndio maana mukawa munaitiqadi mbovuu kabisa wallahi ni aibu hasa ata kuzitajaa itiqadi zenu ety uwombezi wa mtume s.a.w siku ya kiama utakuwa kwa waliofanya madhambi makubwaa 😂😂😂 wallahi hii riwaya ya hadithi ni batili kabisa kwa sababu inaenda kinyume na qur ani na kwa taarifa yako kama haujui sisi maibadhi ikiwa riwaya inapingana na qur ani basi hiyoo riwayaa hatuikubali kwa sababu haiwezekani qur ani iseme vyengine halafu mutuletee riwaya za hadithi za kutungaa halafu tuzikubalii 😂😂 sasa kati ya sisi maibadhi ambao kwenye itiqadi tunafata maandishi ya qur ani na nyinyi masalafi feki ambao kwenye itiqadi munafuata riwayaa sasa nani aliekuwa mpotovuu ? 😂😂 Jibu unalo mwenyeee maana unaposema wanofata qur ani kwenye mambo ya itiqadi halafu mukawakufurisha basi mutakuwa wapumbavu ni nyinyi wala sio wao au qur ani nyinyi hamuiamini?? 😢 Maana huwezi kukufurisha mtu ambae anaefata qur ani
@ArafatDimwedo
@ArafatDimwedo 28 дней назад
Allah akuhifadh na azid kukuimarisha ktk hak
@abbuuarqam
@abbuuarqam Месяц назад
Allah awahifadhi Masheikh wetu wa Sunnah
@hydarkim4990
@hydarkim4990 Месяц назад
JAZAAKALLAHU KHAYRAN SHAYKH.... ALLAH AKUHIFADHI
@selemanfadhili5382
@selemanfadhili5382 2 месяца назад
حفظك الله يا شيخ
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 месяца назад
Hujamfahamu sheikh msabaha izo hadithi anazijua tatizo unamfahamu vibaya
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 2 месяца назад
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah
@SalehLofy
@SalehLofy 2 месяца назад
Waulize mashafi wenyewe kama Ibadh hawaswali nyuma yao yaani unasema mambo ambayo hayapo hasa muogope ALLAH
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 26 дней назад
Huyuu Mzee ni mvuta bangii hajielewii ila ndio sifa zao mawahabii uwongoo mwingii hawana jengine😂
@SalehLofy
@SalehLofy 2 месяца назад
Duh yaani huyu jamaa mambo waliyokuwa nayo ndio anawaambia maibadhi
@SalehLofy
@SalehLofy 2 месяца назад
Huyu akiwa na watu wake anasema anachotaka kama wewe mkweli kwa unayosema Basi Omba mjadala na sheikh khalfan tiwany, au Juma Mazrui
@SalehLofy
@SalehLofy 2 месяца назад
Ushawahi kusikia IBADH akamtukana Swahaba huu ni uongo na fitna dhidi ya waislam na UISLAM muogope Allah usione haya mambo yanapita hivi hivi ujue ewe kibaraka wa Magharibi na MAREKANI na SaudiArabia
@salimmasoud1253
@salimmasoud1253 3 месяца назад
Kasim mafuta namfananisha na mteja wa unga ata uyo mla unga ukimpa maneno haya ayaseme bs atasema hawezi
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 3 месяца назад
Poule fanya uadilifu katika kuhukumundugu yangu
@salimmasoud1253
@salimmasoud1253 3 месяца назад
Huyu dogo mafuta ana akili ajui kuishi na watu ata ao mateja na wala unga wenzake sasa hao mmaibadhi anawaambia hivyo atakua na macho gn Kwa Tanzania hii atakapopita
@SalehLofy
@SalehLofy 3 месяца назад
Huko Tanga huyu ndio Mufti wao hii ni hatari njoo ZANZIBAR tukupime
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 месяца назад
Fitna za mawahabi
@DaniDani-v3w
@DaniDani-v3w 3 месяца назад
Mh sasa lengo lao nini kubainisha haki watu hawataki, watu wanapenda dunia ndomana mnawaona Salafi wabaya kwasababu wanamambo ya mtume na maswahaba maswahaba walokua hawapendi dunia nyinyi saivi mnatamani uwezo wa kifeza sio malipo ya akhera
@SalehLofy
@SalehLofy 3 месяца назад
Mawahabi baadhi ya mambo wapo vizuri lakn lengo lao ni mabaya
@omarmohammed2697
@omarmohammed2697 3 месяца назад
Soma utajua
@jafarimpawa8237
@jafarimpawa8237 3 месяца назад
Soma ndugu
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 месяца назад
Unayajua yalipo nyoyoni mwa watu Malengo=makusudio=nia mahali pake ni moyoni. Mwezetu umejuaje? Anyway, kwani hayo malengo yao mabaya ni yapi? Funguka uwapatie faida Ummah je una hoja au viroja?
@AbdullaHaji-y9k
@AbdullaHaji-y9k 3 месяца назад
Nasaha nzuri za Sh. Abdulla. Lakini tunakuhitaji pia umjibu huyu shia golo Shafi anavyokufurisha masahaba na maulamaa.
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 3 месяца назад
Kuna watu wana masikio ila kama kwamba kuna vizibo vya kuwazuilia wasiisikie haqi
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 3 месяца назад
Wewe unaesema msabaha twampeda bas unamenda peke yko sio sisi na vp usimpede wakati hali zenu huwenda ikawa ni zenye kufananaa?
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 месяца назад
Ama chuki n mbaya sn, yan ww mtu kusema anampenda Msabaha ww limekuuma hilo? Haya tunakupenda ww basi😂
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 2 месяца назад
We kwani ni Dini gani?
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 3 месяца назад
Hajavuta bangi kweli.....huyu msamaha
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 2 месяца назад
Acha tabia za Kijahil...tabia za kiislam haziko hivyo
@amirharoon941
@amirharoon941 4 месяца назад
Mbora wetu katika imani niyule anae zungumza kwa Dalila za maneno ya mtume muhammad صلى الله عليه وسلم yaliyo thibiti sheikh abdullah humaid yuko sahihi allah amuhifadh na am amkinde na makhawariji na watu wa bidhaa pia watu washiriki n.k
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
Uko sahihi wapi ww wacha urongo wapi mtume alifundisha kutukana wanazuoni wapi mtume alifundisha kukejeli watu huyu ni mpotoshaji huyu humeid na anachuki na hana ajuwalo
@amirharoon941
@amirharoon941 3 месяца назад
@@saba-gv3mj yeye ni sheikh ambaye anachunga ulimi wake anatamka kwa hadithi za mtume zilizo thibiti na aya za quran tafakari..ndugu dini ya kiislam ni sahali nyepesi sana ila watu wasio soma wanaona kakosea..fuatilia alicho kisema kwa vitabu kama kadanganya ummah..
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
@@amirharoon941 ww wacha urongo mtume s a w alisema musitusi wanazuoni tena hadithi sahih ww unasema ati anatoa kwenye aya aya hazielewi huyo quran yuwaisoma makosa huyo humeid usimtete sisi twamfuata mtume na alisema kutakuja watu wakiwatusi wanazuoni wakijiona wanailimu kumbe wanapotosha ummah moja wao ni huyu yani mawahabi wapotoshaji mashekhe wao karibu wote huyu huyu waenza mfananisha na wanazuoni kua na akili yakuzaliwa na ilimu ukiongea mambo ya dini
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s 2 месяца назад
𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡𝐮𝐦𝐦𝐚 𝐚𝐦𝐢𝐧 𝐚𝐤𝐡𝐲 𝐛𝐚𝐫𝐚𝐤𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡𝐮 𝐟𝐢𝐢𝐤𝐮𝐦
@salmafaraj6544
@salmafaraj6544 4 месяца назад
Dalili ingine ya wachawi jambo lakwanza watakuuliza jina lako na la mama hao pia ni wachawi
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 4 месяца назад
Msabahaa bad twampenda San elimu IPO kubw tu ila hamumpend nyiny tu ila maashallah😢😢😮😮
@omaar5693
@omaar5693 4 месяца назад
shekhe msabbah anaongea sana.lakini hana SHOBO..
@abukassim5645
@abukassim5645 4 месяца назад
ALAAH akuhifathi Sheikh Abdallah nafitna za maghrafe
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 4 месяца назад
Unatuletea hàbari za ulipokua CCM au CAF safisha kwanza pombe za Democracy
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 4 месяца назад
Jiepushe na kuhukumu watu pili wajuwa kama katubu kwa MOLLA wake ?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
Tunatizama yupo vipi sio alikuwa VIPI. KWAHIO Kama mtu alikuwa kafiri, akisilimu hafai kusomesha Dini Hali anaijua?. Walifanya maswahaba Hayo
@user-xt4mc2ff8b
@user-xt4mc2ff8b 4 месяца назад
Mche Allaah
@abukassim5645
@abukassim5645 4 месяца назад
Shubhana ALAAH
@BasesTunu
@BasesTunu 4 месяца назад
🎉
@AsasAllykwasalafivitavyamasaha
@AsasAllykwasalafivitavyamasaha 4 месяца назад
Jambo la kuzingatia ni kuwa muislam halazimiki kufuata kila kitu cha maulamaa hata kama kajinasibisha na dhehebu lake.Hiyo ni amri ya Mungu.itkadi ya kiibadhi ni kuchukua jema kwa ulamaa yeyote na kuachana na baya la yeyote''.Hayo mengine ya kina Tiwani na wengine ni tafsiri yao na wana uhuru wa kuzngumza..KIMSINGI tafauti ni katika kuwawekea darja masahaba.HUWEZI kulazimisha kuwa Ibadhi lazima utukane baadhi ya masahaba.
@abukassim5645
@abukassim5645 4 месяца назад
Alhamdulillah mwenye kufahamu atafahamu
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 4 месяца назад
ikiwa msimamo wako ni kuwa maswahaba wote ni waadilifu je muawia amemfanyia haki na amefanya uadilifu kwa sayidna Aliy kumpokonya madaraka
@UstadhAboubakar
@UstadhAboubakar 4 месяца назад
أطال الله بقائك وثبتك على الهدى والنور وأحسن الله ختامنا أجمعين وصلى الله وسلم على محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
@hasanshekighenda-jl9ee
@hasanshekighenda-jl9ee 4 месяца назад
Niwakat fan mtu atatofautisha uchwi na kuumwa kwa kawaida
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 4 месяца назад
Duuh masufi mna madudu kweli katika manhaj yenu
@abuurayyan9171
@abuurayyan9171 5 месяцев назад
شكرا
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 5 месяцев назад
Taja tarehe yako ya kuzaliwa kwa kalenda ya kiislamu
@alfanihasani2628
@alfanihasani2628 5 месяцев назад
Baarakallaahu fiyka sheikh
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 5 месяцев назад
اللَّهم آمين
@BakariBinuri
@BakariBinuri 4 месяца назад
Allah akuhifadhi shekhe wetu
@othmanhaji862
@othmanhaji862 5 месяцев назад
Shukran Allah akupe umri wa barka
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 5 месяцев назад
اللَّهم آمين
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 3 месяца назад
اللهم آمين
@AbuuHudairaa
@AbuuHudairaa 5 месяцев назад
Shukran
@YudraUrughu
@YudraUrughu 5 месяцев назад
Allah ambaarik shekhe
@SalehLofy
@SalehLofy 5 месяцев назад
Mawahabi ni waongo kuliko Iblisi
@IbrahimuHusein
@IbrahimuHusein 5 месяцев назад
Umewasoma hao mawahabi au wazungumz kwa kusikia maneno ya watu
@abdillahsaid710
@abdillahsaid710 5 месяцев назад
Piga hao maibadhi hamna kitu
@abukassim5645
@abukassim5645 5 месяцев назад
Asante Sheikh Kassim Allah akuhifadhi ume fikisha ujumbe wazi kabisa mwenye kuelewa ata elewa
@abukassim5645
@abukassim5645 5 месяцев назад
ALAAH AKABAR mambo mazito yatu ongoja
@HajiDibwa
@HajiDibwa 5 месяцев назад
Allah akuhifadhi