Тёмный
Swahili Network
Swahili Network
Swahili Network
Подписаться
Ni channel ambayo huwa inazungumzia mambo mbalimbali ya kijamii kwa kutumia lugha ya kiswahili katika miji mbalimbali duniani
Комментарии
@AbdulrazaqMadenge
@AbdulrazaqMadenge День назад
Tofauti na umalaya alikua na tamaa na wanaume wanaojiweza!
@ElizabethFumbuka
@ElizabethFumbuka День назад
@@AbdulrazaqMadenge ndio nilichotaka kusema Mimi,alkuwa anadangia wanenei
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork День назад
Kama rahisi tafuteni na nyinyi basi
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 дня назад
Nadhani huo ndo ulikuwa udhaifu wa Mzee Mandela kwa mara ya kwanza. Mzee angetafuta mwanamke mwingine nchini mwake na siyo kurithi mjane!?
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 2 дня назад
🤣🤣🤣🤣
@SheikhAly-v9f
@SheikhAly-v9f 2 дня назад
Wewe ndo malaya uyu si malaya kwa kuolewa na wanaume wawili ni umalaya
@SheikhAly-v9f
@SheikhAly-v9f 2 дня назад
Hongera mama
@mtegamelkior5193
@mtegamelkior5193 2 дня назад
Ni mwanamke mwenye upendo na mnyenyekevu na ni mzuri wa sura, maumbile na moyo safi. Mungu amlinde kwa maisha yame yote.
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 2 дня назад
Ana mkosi wote wamekufa,,bado umemsaha Edward mondulane aliyekuwa Rais wa frelimo, ya msumbiji kabla ya samora
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 2 дня назад
Alikuwa mume wake pia ?
@ElizabethFumbuka
@ElizabethFumbuka День назад
@@MurunguwetoshaDeheaven nasikia alikuwa side chick wa Savimbi pia
@ce-08
@ce-08 10 часов назад
​@@ElizabethFumbuka😂😂😂 we Elizabeth
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 дня назад
Yuko bomba huko chini,
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 4 дня назад
Mpaka sasa anapambania Uchumi wa Wanawake na Tasisi ya Gracia Machel Trust
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 4 дня назад
Mungu amutunze
@Lfcswahili
@Lfcswahili 4 дня назад
Ana bahati sana huyu mwanamke ❤❤❤❤❤❤
@ElizabethFumbuka
@ElizabethFumbuka 2 дня назад
Bahati ya nini Sasa hapo ndoa ni ndoa tu,maana unachoenda kukifanya ndoani hakina tofauti
@Lfcswahili
@Lfcswahili День назад
@@ElizabethFumbuka ni kweli, lakini mbali na yeye unamjua mwanamke mwengine yoyote ambaye ameshaolewa na marais wawili wa nchi tofauti duniani? Hii ndio bahati niisemayo mimi hayo mengine ni kawaida tu
@tomsijohni
@tomsijohni 4 дня назад
huyo alikua malaya sana mwanamuke gani anaweza kuolewa wa wanaume wawili tena lnchi tofauti ni ujinga tu
@Lfcswahili
@Lfcswahili 4 дня назад
Hakuna sheria ya kuwa mwanamke asiolewe na mwanamme mwengine wa nchi tofauti
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 4 дня назад
Kwani aliolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja!!!? Au kuna sheria inakataza mwanamke kuolewa zaidi ya mara moja????
@tomsijohni
@tomsijohni 4 дня назад
@@swahilimedianetwork kwa hiyo ukubali wewe 😀
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 4 дня назад
Hongera🎉🎉!
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 2 дня назад
Ivi kuolewa ni umalaya unajielewa kweli?
@Simulizizafilamu
@Simulizizafilamu 4 дня назад
Historia nzuri. Sema hekima yake na uhodari wake wa kupambania haki ndivyo vilompa waume marais
@YouthSupportEducationHub
@YouthSupportEducationHub 5 дней назад
Graca Machel ni mmoja wa wapambaniaji wa wanawake duniani
@annoorcommunitytv4762
@annoorcommunitytv4762 5 дней назад
Amepata pigo la kupoteza waume mara mbili 😢
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 2 дня назад
Mara tatu hiyo inahusu Marais Mme wake wa Kwanza ni Edward mondline ,aliyekuwa mwenyekiti wa frelimo alipokufa ndio Machel akamchukua
@hamidamussa593
@hamidamussa593 5 дней назад
Handsome boy from PBA....
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 5 дней назад
😀😀😀
@SaidOthman-n5l
@SaidOthman-n5l 5 дней назад
Znz kwa elimu ilikua hatari
@SaidOthman-n5l
@SaidOthman-n5l 5 дней назад
Chuma hicho,huyu ni mwanazuoni,hana majibizano
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 6 дней назад
Allah Marehemu Sheikh wetu Huyu na ndugu zetu WAISLAM wote ambao wameshatangulia mbele yahaki,nasisi WAISLAM tuliopo hai utupe KHATMA NJEMA Inshaallah
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 6 дней назад
Aamin 🤲
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 6 дней назад
Hiyo ndio swadakatul jaarya
@IssaAli-s8y
@IssaAli-s8y 7 дней назад
رحمه الله تعال
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 7 дней назад
Mashallah ❤
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 7 дней назад
Si mnatangaza Zanzibar hatukusoma ilikuwaje huyu wakati wabara walikuwa washamba siku zote wabara na mahasidi kwa wazanzibari
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 7 дней назад
Unless uwe hujui kuwa kuna waliokuwa wakitoka Misri pia kuja kusoma dini.
@JokhaSaid-e1c
@JokhaSaid-e1c 6 дней назад
Acheni mane no ya chuki
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 20 часов назад
Wenye chuki nyinyi wakiristo
@abdallaayobu
@abdallaayobu 7 дней назад
maasha allah allah akurehem amine
@Manyanyatv8551
@Manyanyatv8551 7 дней назад
Hivi watu wa maulidi hii historia wanaijua au wanajipa upofu Allah atuongoze pamoja nao.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 8 дней назад
Huyu ndio Mwanasiasa Nguli mwenye Mapenzi ya Chama na Nchi yake katika kuleta MAENDELEO na sio kutaka Cheo ili kushibisha TUMBO zao. Sio Kina MwaFudodo wakikosa Cheo basi inakuwa Tabu, kuhama Chama kutukana n.k. Allah Akulinde na Akujaalie mwisho MWEMA. Ameen Ameen.
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 8 дней назад
Allah akupe nuru ya Milele Akhera ulipo,wewe na sisi sote pia tukawe PAMOJA na Mtume wetu Muhammad (S.A.W)
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 8 дней назад
Aamin 🤲
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 8 дней назад
Yarrabi Masheikh wetu na sisi WAISLAM wote utupe mwisho mwema,Uwajaalie wasiokuwa WAISLAM wabadilik nakuingia kwe Uislam WAPATE nusra yko.....
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 8 дней назад
Aamin 🤲
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 8 дней назад
Maashallah
@mohamedsheha-jz6hn
@mohamedsheha-jz6hn 9 дней назад
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 9 дней назад
Hawa hawampi Urais hata siku moja wakati anatokea Pemba wanaubaguzi sana hataki mtu mwema kabisa
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 9 дней назад
Kwa sasa nae keshaachana na siasa. Kafanya makubwa kwa bara la Afrika
@Jal210
@Jal210 9 дней назад
Acha ukabila wewe
@feisalboy6702
@feisalboy6702 7 дней назад
Ukabila gn kwn uongo
@hamidamussa593
@hamidamussa593 5 дней назад
Madhali ni mpemba ata awe na elimu ya kutia roho hapewi uraisi 🥺
@mirajinassoro7661
@mirajinassoro7661 9 дней назад
Kuna taarifa zinasema Sheikh alifia Comoro.
@annoorcommunitytv4762
@annoorcommunitytv4762 10 дней назад
Shukran sana
@YouthSupportEducationHub
@YouthSupportEducationHub 10 дней назад
Alikuwa mtu wa ukweli
@Simulizizafilamu
@Simulizizafilamu 10 дней назад
Ni mtu pekee kutoka Afrika Mashariki kuhudumu Umoja wa Mataifa na Umoja wa nchi huru za Afrika. Ndie mtanzania mdogo kwa umri kuiwakilisha nchi kama balozi wa nchi ❤
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 дней назад
Ukisema ni mtu pekee sio kweli akina Acha Migiro, ni miongoni
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 10 дней назад
Sheikh mkubwa duniani kote anaheshimika anasema MAULID HAYAFAI NA YANAUSHIRIKINA LAKINI mashehe wa Tanzania hawataki kuyaacha ,mtoto wa narehemu bachu anafanya bidii kubwa kuwaelimisha waislamu yakwamba maulidi kwamba hayafai lakini baadhi ya waislamu wanampinga ,,
@AbrahmanAli-q4v
@AbrahmanAli-q4v День назад
Akiongolewa Shekh Farsie uwe na Kheshima wee Jahil
@yunusothmannofel244
@yunusothmannofel244 10 дней назад
Wanafunzi wake ??
@abrahamizzy2081
@abrahamizzy2081 10 дней назад
Jamaa kaanza siasa tangu akiwa dent shuleni. Nyerere kakutana nae bado akiwa shule, kisha Babu akamchukua chamani kisha mzee Karume akampa ubalozi akiwa mdogo tu. 🎉🎉🎉🎉
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 10 дней назад
Alikuwa smart sana
@Lfcswahili
@Lfcswahili 10 дней назад
Salim Ahmed Salim alikuwa msomi aliyependa kupigania haki za Afrika
@HusseinRajab-v7h
@HusseinRajab-v7h 10 дней назад
Sasa huyo sheikh wetu wa Mombasa mbna mumemuweka Zanzibar.. Othman maalim wa Mombasa
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 10 дней назад
Arudi tu kwao Mombasa basi
@SaidOthman-n5l
@SaidOthman-n5l 5 дней назад
Hapataki Mombasa, anapenda maisha ya zanzibar
@ustadhjuma599
@ustadhjuma599 11 дней назад
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 11 дней назад
Kwa ufahamu wangu Africa Mashariki hatujawahi kuwa na mwnachuoni(Ulamaa)Tangia uislam uingie au kama nimekosea naomba kurekebishwa badala yake tumewahi kuwa na tunao twalabatil-ilm Almustaafiiduun.
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 11 дней назад
Shukran. Tunaomba utufafanulie ili nasi tuelimike
@kckc8178
@kckc8178 11 дней назад
Hakuwa kadhi ya nchi mbili ,bali ni nchi moja, kwa sababu pwani yote ya kenya na pwani yote Tanzania na zanzibar na Comoros na upande wa somali ya pwani yaani south somali, hii yote ilikuwa ni nchi moja zamani
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 11 дней назад
Kahudumu Zanzibar kama KADHI mkuu na kisha alipohamia Kenya tena kwenye miaka ya 60s akahudumu kwenye hicho hiyo kama KADHI mkuu. Kumbuka hakuwa kadhi wa Mombasa bali alikuwa kadhi mkuu wa Kenya
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 11 дней назад
Alla amsamehe madhambi yake na aziinue amali zake
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 11 дней назад
Amin 🤲
@khamisothman1154
@khamisothman1154 11 дней назад
Historia inasemwa alifukuzwa Zanzibar tena alipewa masaa 24
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 11 дней назад
Tunaomba source ya hiyo historia ili nasi turekebishe
@modricseif1018
@modricseif1018 11 дней назад
Inasemekana alikimbia madhalimu Zanzibar na kuhamia kenya, Allah amuhifadhi.
@HasnuuMakame
@HasnuuMakame 6 дней назад
Ndio ni kweli hasa unavosema
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 12 дней назад
Mimi nashauri bora haya mashindano yaondolewe kwa 7bu yanaondoa haiba ya mwanamke
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 11 дней назад
Kuna mashindano kama ya netball na basketball naona ndio zaidi ya kuondolewa
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 11 дней назад
Kama ulikuepo ndugu yangu mzuri kwa 7bu watu wa zanzibar hasa kusema ukweli silka zao ni njema na za kujistiri hata ukutoka nje kidogo watu wanaiona ni nchi ya dini sana ya kiislam
@SaeedAli-kj8zn
@SaeedAli-kj8zn 12 дней назад
Allah amrehemu amueke pema peponi yaa rabb
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 12 дней назад
Amin 🤲
@TwalaaTaib
@TwalaaTaib 12 дней назад
Mashallah Mashallah
@aminashekuwe670
@aminashekuwe670 13 дней назад
Mmungu amrehemu amuweke pema penye wema
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 13 дней назад
Amin 🤲
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 13 дней назад
Hakuhama kwenda kenya hapo huijui histirya ilosababishwa kwenda kenyA
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 13 дней назад
Ilikuaje akenda Kenya?