Nimemuelewa majani anafanya kazi kubwa kuna watu wanaamchukulia poa kumbukeni kila mtu ana maono yake kwenye huu ulimwengu big up to majani long forever legend
Huyu #icon #legendary majani, ukimcheck kwenye interview anaonekana very humble, ila naskiaga story zake kwamba ni mtata, alikuwa anapiga wasanii studio, alikuwa anafukuza watu studio na matusi juu, aisee unaeza usiamini
Watoto wake wa kiume wote wanaitwa prince, hilo BIGI ni la utani ambapo mwanzoni lilikua ni Blanket. So he just changed his Nick name hujafanunua vizuri