Channel hii inahusiana na mambo ya urembo na fashion. Karibu kwa mishono mbalimbali ya Vitenge na vitambaa, magauni mafupi na magauni mafupi pia utaona mishono ya jinsia zote jinsia ya kiume na jinsia za kike mishono ya watoto jinsia zote pia utaona video mbalimbali za urembo asili zinazielezea jinsi ya kuwa mrembo kwa kutumia vitu asili.
Welcome to my channel to see the various stitches of all kinds and videos of natural beauty
SUBSCRIBE LIKE SHARE na COMMENT video zangu
INSTAGRAM veroneraurembonafashion TIKTOK veronera philipo FACEBOOK GROUP mishono pambe ya vitenge na vitambaa 2022