Тёмный
TPHPA HABARI TV
TPHPA HABARI TV
TPHPA HABARI TV
Подписаться
Chaneli Mahususi kwaajili ya kutoa Elimu na Habari kwa Wadau wa Afya ya Mimea, Viuatilifu na Wakulima kwa Ujumla.
Комментарии
@masawe_jr_2020
@masawe_jr_2020 11 дней назад
safii
@bakarimakomola
@bakarimakomola 27 дней назад
Hongereni sana TPHPA ni hatua kubwa sana mungu afanye wepesi zaidi
@jitusoni2576
@jitusoni2576 Месяц назад
Hongereni Sana Tphpa..
@nickmpanzi
@nickmpanzi Месяц назад
Parachichi, ndizi, nanasi, soya, pilipili, tumbaku, Mashudu ya alizeti kwa soko la China, India na Africa kusini.
@samsonkissa
@samsonkissa Месяц назад
👏👏👏👏👏 kazi nzuri kwa Tphpa
@muddynation1391
@muddynation1391 Месяц назад
Photographer with such a posture!😂😅😂
@pwanipwani6268
@pwanipwani6268 2 месяца назад
Best agriculture Minister
@faithford979
@faithford979 2 месяца назад
Good bro
@pwanipwani6268
@pwanipwani6268 2 месяца назад
Kazi nzuri
@KashashaTheboy
@KashashaTheboy 2 месяца назад
Good brain Sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@pwanipwani6268
@pwanipwani6268 2 месяца назад
Shukrani kwa elimu nzuri
@hawamaganga7248
@hawamaganga7248 3 месяца назад
Ni vitu Gani havitakiwi kuwekwa kwenye viuatilifu
@gloriusjohn9067
@gloriusjohn9067 3 месяца назад
Asante TPHPA
@antipasmgungusi1953
@antipasmgungusi1953 3 месяца назад
Asanteni kwa kutukaribisha, na kusikilizana. Zaidi hongereni kwa fikra pana, kuanzisha kongamano la namna hii na wadau
@KashashaTheboy
@KashashaTheboy 3 месяца назад
Hakika wewe ni brain
@christinanyika108
@christinanyika108 4 месяца назад
Congratulations team
@edlumala9428
@edlumala9428 4 месяца назад
Watu watakujua tu msimu huu!
@KashashaTheboy
@KashashaTheboy 4 месяца назад
The brain mungu akupe nguvu zaidi
@caritaskabyemela1530
@caritaskabyemela1530 4 месяца назад
Bravo
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 4 месяца назад
Mabadiliko, Mageuzi,Mapinduzi,Miujiza. Mnastahili pongezi nyingii.. kwa muujiza huu maana hii taasisi haiko maskioni na vinywani mwa watz. wengi kama taasisi nyingnezo mfano hiyo no 2 Utt.
@elizaswai332
@elizaswai332 4 месяца назад
Hongera TPHPA,tuendelee kuchapa kazi
@pqpskilimo1742
@pqpskilimo1742 4 месяца назад
Kazi iendelee
@KashashaTheboy
@KashashaTheboy 5 месяцев назад
Hongera Sana mzeey wety Wana ruvuma tuna haki ya kujivunia
@masawe_jr_2020
@masawe_jr_2020 5 месяцев назад
Safii
@Mr.Rubeny25_xv1bf
@Mr.Rubeny25_xv1bf 5 месяцев назад
Mimi ni Mwanafunzi wa chuo Nipo Mkoa wa Mbeya nina shida na mafunzo, Kila ninapotaka kulipia gharama ya mwanafunzi nazuiliwa naambiwa hayajaandaliwa kwaajili ya wanafunzi natakiwa nilipie laki nne kama wanufaika wengine nakwamia apo naomba mnisaidie Nina kile kiwango Cha wanafunzi nataka kujifunza
@mathiassimkoko787
@mathiassimkoko787 5 месяцев назад
Kofi moja kwa Mwl jumanne
@LucasKashinje
@LucasKashinje 5 месяцев назад
Hongereni sana kwa elimu mnayoitoaa TPHPA,, ( Tanzani plant heath pestcide authorities
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp 5 месяцев назад
Respect research technician
@ChristopherChacha-fb4oc
@ChristopherChacha-fb4oc 6 месяцев назад
Baadae mtawatafuta kwa tochi mfano saivi mkoa mara nyangenyange, rikong'ai, rimelanchoka hakuna hii kutokana na kuwateketeza, wenzatu wanawatunza lkn tunapewa tuwamaliza
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp 6 месяцев назад
So bliriant
@mbojetalaga2670
@mbojetalaga2670 6 месяцев назад
Hao ndege hawana sumu ukiwala?
@subimedia6559
@subimedia6559 6 месяцев назад
Jaman leo nkula kujigalagaza
@simbeyrugata8745
@simbeyrugata8745 6 месяцев назад
This approach, according to ecosystem services or balance , is prohibited. You need to think the right solution to run away that birds but not to apply birdcides . We depending to each other so, even the birds have the right to survive according to wildlife policy. Tutakosa hata viteweo kwa mfumo huo. There are lot of methods of disturbing birds not to kill them.
@masawe_jr_2020
@masawe_jr_2020 6 месяцев назад
Mpaka hapo tu inaonesha wewe si mkulima na huna machungu na athari tunazozipata, ebu tupe hiyo mbinu
@ezekielaloyce5917
@ezekielaloyce5917 6 месяцев назад
Eco system imeharibia kidogo tukifanya ESIA itakuwaje ?
@Bisengimana-ezekiele
@Bisengimana-ezekiele 6 месяцев назад
Kwanini! Munge wafukuza hapana kuwauwa wanakazi wakura vidudu Musirudi tena
@numaireivor5485
@numaireivor5485 6 месяцев назад
Inasikitisha sana kwa uamuz huu wa kuteketeza viumbe hawa , haukuwa njia sahihi . Kuna kitu kimoja hapo wanaohusika hawajakifahamu.. na inasikitisha sana kuuwa viumbe ambao ni sehemu ya pato la taifa 😢. Wizara ya Kilimo ikae na wizara ya Maliasili wajadili njia ya kufanya
@jesusbrother7684
@jesusbrother7684 6 месяцев назад
Halafu Mkoa wa Mbeya kwa uzuri wake wote huo, kwa nini hauja fanyiwa “MASTER PLAN” mpaka leo? TATIZO NINI?
@mathayomarco9172
@mathayomarco9172 6 месяцев назад
Hawa kwelea kwelea, hamkupaswa kuwaua kwa sumu. Mlipaswa mfanye utaratibu wa kuwanasa. Ili wawe vitoweo kwa wananchi. Napia hata kuwauza kwa wanao wahitaji.
@jesusbrother7684
@jesusbrother7684 6 месяцев назад
Kweli kabisa 👏🏾🙌🏾🙏🏾👍🏾
@annamwidete1334
@annamwidete1334 7 месяцев назад
Kofi moja 😂😂😂
@stelamusa2322
@stelamusa2322 7 месяцев назад
Kofi moja kwenu mungu awabariki sana
@Maulidism
@Maulidism 7 месяцев назад
Wao, imeenda hiyo,
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 7 месяцев назад
Hongereni sana TPHPA mnafanya kazi nzuri. Wakulima wa Dodoma pia tunawasubiri
@monicaessero
@monicaessero 8 месяцев назад
Mungu azidi kuwaongoza TPHPA Mzidi kuwapa watu Elimu wapate tija katika maisha yao kupitia Kilimo
@edlumala9428
@edlumala9428 8 месяцев назад
Hongera sana Prof Ndunguru! Mungu anaona kazi unayoifanya katika taifa lako
@raymondlembuseli9425
@raymondlembuseli9425 8 месяцев назад
Asante #TPHPA
@lembrislaboo7247
@lembrislaboo7247 8 месяцев назад
❤❤
@raymondlembuseli9425
@raymondlembuseli9425 9 месяцев назад
Ujumbe mzuri kwa taifa ahsante sana
@martinkatua1594
@martinkatua1594 10 месяцев назад
Great
@deogratiusjohn5943
@deogratiusjohn5943 10 месяцев назад
Safi sana TPHPA
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 10 месяцев назад
Asante