This is a digital content platform that is focused on offering tailor-made social media services, digital strategy planning, content creation, Graphics, analysis, and general entertainment.
Thanks For SUBSCRIBING ru-vid.com/show-UCjm7uDpo25Z9XhHXuHPl5uA
I love Apostle John Paul songs very much. Songs full of encouraging words spiritually. May Gods' grace be upon you throughout your life Apostle. God bless you so much na akwaramirie mihaka.
glory to God. blessings upon blessings to our very own Prophet Ezekiel and his whole house. blessings to the body of Christ. word of God is pure powerful everlasting and true.
Pastor anguka tu basi maybe ni wakati wa Kristo Yesu kumalizana na watu kama wewe wanao fanya bishara na injili na kuteka watu nyara na Kristo alithihirishwa tumwamini atuweke huru kutokana na minyororo ya shetani na kumbe amejigeuza huyo shetani na kua malaika wa nuru amewateka watu nyara in the name of pastry. Anguka tu uachilie watu wamwabudu Mungu wa mbinguni kwa roho na kweli sio kwa hizo sacrifices zako za pesa unadaisha 😭😭😭😭😭nilikufuatilia sana lakini uliposema at madhabahu yako yatanipa chochote ninacho itaji Roho ilikataana na mambo yako yote kabisa naombea sister yangu mzuri siku Roho wa Mungu wa mbinguni amjulishe ukweli wote iliawache kufuata watu afwate Mungu wa mbinguni katika jina la Yesu Kristo kwa neno lake kwenye bibilia ilituifikie medi ya dhawabu 🙏🙏🙏
Wewe ndo unajua hayo mambo umekuja nayo pia umemaliza nayo Mungu wako akisema jambo anaghairi na tena ulimfanyia nn akuuwe🤷😭😭 hivo uliendea huyo mungu wako kama vile Ezekiel alipoomba aongezewe miaka 🤷🤷😭😭 sasa wewe ulioongezewa miaka mingapi na alipokuambia utakufa alirudi kukuambia utaishi na alisema alikuongezea miaka mingapi🤷🤷😭😭😭 THERE'S IS REAL GOD IN HEAVEN watching 😭😭😭 Na watu wale wanaokuamini na kukufuatilia kama kamungu flani hivi including my sister 🤔🤔 imani yao itakufa na wewe juu hawakuamini Mungu wa mbinguni wakakutumainia wewe juu washa laaniwa kulingana na maandiko matakatofu yasemao hamtegemeaye mwanadamu na kumeaka kuanguzo yake amelaaniwa 😭😭😭 Mungu wa mbinguni tuokoe na manabii na watumishi waongo wanao tuchukua mateka na kuteka nyara akili zetu kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏
Am not Kenyans, but don't confess voice of God, but use your own belve of what man of God said, and me my self, Kenyans,fimbo yamungu itakujeni kwenu as soon as possible then fanyeji your own level business