Тёмный
Bella Tv Online
Bella Tv Online
Bella Tv Online
Подписаться
Karibu Bella Tv Kwa Habari Zenye Ubora Na Uhakika, Tunapokea Simulizi Za Watu Mbalimbali Kuhusu Maisha Yao.
MBOWE AWATAJA WATEKAJI HADHARANI.
5:38
10 часов назад
JAMAA AMWAGA CHECHE KWA WAZIRI
13:30
День назад
Комментарии
@MilamboKatenga
@MilamboKatenga 11 часов назад
Akila ganja tu .mange anakuja na polojo
@NathanKanick
@NathanKanick 11 часов назад
Mi sipendi kuwa mwanasiasa kwakuwa haujui atakaekuteka ni Nani. Unaweza kutekwa na Chama twawala na pia unaweza kutekwa na Chama chako ili utumike Kama mtaji.
@PeaceGao
@PeaceGao 22 часа назад
Jmn hyo camera vp usoni wenzenu mbn km wazee😢😢😢
@GodfreyMsangawale
@GodfreyMsangawale День назад
2toleeni maneno yenu ya ajabu Kila mtu anajua maisha yake
@mkJoachim92
@mkJoachim92 День назад
Kaka Eliya you are a blessing
@evodianziku6201
@evodianziku6201 День назад
Ukiona watu wanasema jambo lipo Hawa watu ni hatar mno.wsmeua na ndio kawaida yao
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md День назад
Mimi nilikuwa madhani ni mtoto wa nyelele he kumbe sio jamani
@arkammalik461
@arkammalik461 2 дня назад
mama mitano tena Rais wetu kipenz
@wanimzur5597
@wanimzur5597 2 дня назад
Usojijua. Tafuta kazi ufanye.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 2 дня назад
Mungu Baba Mtumishi wa Mungu uyu. Poleni sana Waamini wote. Poleni familia.
@RehemaLutambi-k4l
@RehemaLutambi-k4l 3 дня назад
Inanyanyasa sana wakopaji wajinga hao
@kessysenga8700
@kessysenga8700 3 дня назад
Yaan mmepoteza kabisa nyinyi den halimfungu mtu lkn nyny mmevuka mipaka mpaka mnaamua kutoa uhai wa mtu kweli imani sasa imekwisha bora mfutwe tu hamfai ktk jamii
@kimlolakimlolanelly6330
@kimlolakimlolanelly6330 3 дня назад
Very nice
@amirjuma9395
@amirjuma9395 3 дня назад
Katiba haieshimiki Tena yaani inachoongea katiba ni kingine na wanaoisimamia wanatenda kingine kwaiyo askari anavyojisikia kufanya na afanye tu afanye tu kweli?
@PaschalCharlesLunemhya
@PaschalCharlesLunemhya 3 дня назад
Viongozi wetu muwe mnajiandaa mnapokwenda kuzungumza na halaiki ! Mnawapa masswali magumu wananchi juu yenu
@johnathanrichard4688
@johnathanrichard4688 3 дня назад
Mungu jitukuze kwa kumponya Adam Haji.
@dennissamora729
@dennissamora729 3 дня назад
Hili chawa limelewa madaraka
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 3 дня назад
Mburulaaaaa,laaaana
@ReubenMwanyasi-h6k
@ReubenMwanyasi-h6k 3 дня назад
Chalamila akipewa nchi huenda akabaki peke yake na watu wa ukoo wake manake ataua raia wote
@ClaudeBulambo-s7q
@ClaudeBulambo-s7q 3 дня назад
MUNGU ni mwema kila wakati ,mshukuruni MUNGU kwa matendo Makuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 3 дня назад
Viongozi wetu mnaipeleka wapi nchi hii!!askari ana ruhusa gani ya kuua Raia!!acheni kuwatumia askari vibaya kwa ajili ya manufaa yenu binafsi ya kisiasa.
@BahatiMartinMwash
@BahatiMartinMwash 3 дня назад
Pole Sana Mtumishi 😢
@AdamOman-n2s
@AdamOman-n2s 3 дня назад
Aisee poleni sana uyo dada akafungwe kabsa aupeni yy anywe
@issa-z6c8m
@issa-z6c8m 4 дня назад
Jifunze kiswahili fasaha kwanza ndio utangaze.
@johngerald4677
@johngerald4677 4 дня назад
Roho bado inamuuma kutimuliwa
@HawaOman
@HawaOman 4 дня назад
Jenga baba nyumba ya ibada tunakupenda san
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 дня назад
Mange hasemagi uongo ni Kwa sababu hamjui kinachoendelea nchini nyie kataeni Kila kitu yaani mange japo simjui hanaga tofauti na kigogo alikuwa anaongea kitu na kinakuwa yaani alieko mbali mbali ulaya huko anajua na hapa tumekaa tuu hatujui watanzania bhana ni shida ok subirieni
@ZainabIssa-z1e
@ZainabIssa-z1e День назад
Mengi watu wanayafahamu ila ulinzi na usalama ni mdogo ukizungumza...mange na Roma wako huru na salama😢
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 дня назад
Km wanakataa kwanini waliotoa milioni moja ya pole. Wauaji hao
@MugeniClaudine-y8l
@MugeniClaudine-y8l 4 дня назад
Niatari kabisa ngo vyeti roo wamungu anaga masomo
@MugeniClaudine-y8l
@MugeniClaudine-y8l 4 дня назад
Yesu weee watu wamungu Yesuwe munatutia ayibu
@Joyce-lf1cv
@Joyce-lf1cv 4 дня назад
pole sana mungu wabiguni azidikukulida
@adahsamson234
@adahsamson234 4 дня назад
Kwendaaaa
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 5 дней назад
Huyu anaambiwa na watanzania wenyewe maana hawezi kujuwa mambo ya huku Tanzania bila kuwa na mawasiliano na watu wahuku.Vita siyo silaha tu za kivita,bali hata maneno ni vita Siku zote usimzarau mtu yazingatieni hayo Nchi huko ndiko inakokwenda msifikiriye watu wamelala.
@ernestkanyala
@ernestkanyala 5 дней назад
Hii kampuni ifungwe tu
@goromamussatvonline
@goromamussatvonline 4 дня назад
unahisi kufungiwa kampuni nvirahisi kama unavyofuga mrango wako🤔
@ernestkanyala
@ernestkanyala 4 дня назад
@@goromamussatvonline ndio no rahisi Sana Kama nivyokufanyaga nalyuu , acha shobo na comments za watu
@Onestakulanga
@Onestakulanga 5 дней назад
Kwan mke wa kiboko ni yupi sasa make kila Mtu anasema nimkewe hii imekaaje.
@johnsengerema4258
@johnsengerema4258 5 дней назад
Jamani ameshaokoka mbona hamelewi
@yegelamaligisa2095
@yegelamaligisa2095 5 дней назад
Kuua mtu ni kutimiza wajibu mtu asiye na silaha kwamba waliwahi ili asiiwazuru viongozi wetu mmefika kubaya misuli ya kulewa madaraka
@IssaNdelwa-pz3zl
@IssaNdelwa-pz3zl 5 дней назад
Mama anaupiga mwingi mitano tena
@swahililifetz9056
@swahililifetz9056 5 дней назад
Kaka mtangazaji ushauri wa Bure kiswahili hujui na ni lugh yako una tumia L R una zichanganya
@MursalJuma
@MursalJuma 5 дней назад
Watapeli ndug zako hp tz yap matahir umeyapiga
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 5 дней назад
Thank you for your advice
@Ronald95Lopez-r3v
@Ronald95Lopez-r3v 5 дней назад
Veum Shore
@HappyGondola-gs8cg
@HappyGondola-gs8cg 6 дней назад
Mimi sio muumini wa abiudi ila anaupako
@HappyGondola-gs8cg
@HappyGondola-gs8cg 6 дней назад
abiudi hamsemi mtu yuko kimya mtumishi wa kweli unamuona tu
@HappyGondola-gs8cg
@HappyGondola-gs8cg 6 дней назад
abiudi ndiye mtumishi wa mungu namba moja sio mtumishi mtafuta pesa kama wengine
@aasd3040
@aasd3040 6 дней назад
😢😢😢😢
@NajmaRajabu-q8e
@NajmaRajabu-q8e 6 дней назад
Acha ushangingi bibi yetu Dunia tunapita
@Neemakotei
@Neemakotei 6 дней назад
Unaweza ukaondoka ukamuacha na umri wake acha mambo hayo
@leutnatmisana5164
@leutnatmisana5164 6 дней назад
Jambo jema ❤
@rizikimwambusi4041
@rizikimwambusi4041 6 дней назад
Tujitahd kurudi kwa mwenyezimungu hatujui saa wa muda,tutubu kwa Mola wetu.mola masamehe makosa yake