Тёмный
Weyani Tv
Weyani Tv
Weyani Tv
Подписаться
Siasa. Uchumi. Jamii. Utamaduni.
ACT Wazalendo waapa kushinda uchaguzi 2025
1:33:02
Месяц назад
OMO mzima mzima kisiwani Pemba
7:32
3 месяца назад
OMO ndani ya Kigoma
7:42
3 месяца назад
Huu Muungano una matatizo matupu asema OMO
3:13
5 месяцев назад
OMO asema ACT itashika dola Zanzibar
3:38
5 месяцев назад
Комментарии
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 16 часов назад
Yeye,naashindwe,kufaya,haki,,ataenda,itoa,mbele,m,mungu,haki,yetu,haipotei
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z День назад
Kama kashindwa kuchukua nchi marehemu maalim seif hadi kafariki ataweza kuchukua omo na maalim alikua na mvuto dunia nzima wanamuelewa ataweza uyo omo na mwenyewe omo analijua hilo ila hawezi tu kusema asitudanganye naongea hivi mie sii CCM wala chama chochote cha upenzani mana ni upuuzi th Wote ni waongo tu
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm День назад
Daaaa mwenyezi mungu azidi kuwangamiza Kila anayo tuzulimu
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z День назад
Hivi kama ww ukipewa hiyo nchi utafanya maajabu gani ya mussa ili iyo nchi iwe ya kitajiri usidanganye watu atakaechukua nchi yyte yule yatakua ni yale yale tu hayo ni maneno ya wana siasa tu hakuna lolote ww si umo humo
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z День назад
Kwanza hana mvuto kama marehem maalim seif ila huyu ni wivu tu mana chakushangaza huyu yupo serekalini kwanini asijiuzulu huyu anakijua anacho kifanya ni mnafki tu na kwenye umaskini kasema eti watu wanakimbia nchi sisi tupo huku ugaibuni hata na wa huku nilipo mbona na wao wanaenda nchi nyengine kutafuta maisha mie wala sikufahamu ili nikufahamu niskie umejiuzulu ndio naweza nikakuelewa lakini bado upo serekalini mie wala sikuelewi nakuona mnafki tu ni wale wale
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z День назад
Nyie mnamaifu anacho kiongea kuhusu serekalini lakini chakushangaza mbona yy bado yumo tu na yy huyu serekali wote lao ni moja tu asiongopee watu hizo ni siasa tu lazima wapenzani wakuwepo ila anajua wazi kua chama chake kuchukua nchi ni ngumu sana kwa hapo Zanzibar hilo analijua ila tu mazali anapata mshahara wake na posho basi mie siamini kama huyu hajuwi kama CCM kuachia nchi ni ngumu sana ameshindwa maalim na ana mashabik kila dunia ijekua yy huyu anaongopea watu tu
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z День назад
Huyu nae mnafki tu ww kama utaona wanachofanya serekali mambo ya ovyo si ujiuzulu bado upo tu hebu waachie uwongozi upambanenao kimaneno unapambana kimaneno na bado upo hujiuzulu Tanzania hakuna siasa asidanganye watu hii yote ni wivu tu kwa anacho kifanya mwinyi kwa sasa
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z День назад
Sasa huyu omo kule serekalini anafanya kazi gani na kwanini asijiuzulu akawa na chama chake tu akapambana na hao CCM
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 2 дня назад
Ss binafs wazanzibar hatutaki
@jumabonge8577
@jumabonge8577 3 дня назад
ttzo lipo hamlijui
@user-ue1df8kw7i
@user-ue1df8kw7i 3 дня назад
Basi jambo halipo kama mamlaka hayo yote hatuna allah atujalie turejeshee mamlaka yetu
@husseinmohd6338
@husseinmohd6338 3 дня назад
Mauhty wana adhirika
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 3 дня назад
Ww umeckia wp mbunge anaweza kufny maendeleo kz ya mbunge ni kuwasemea wnanchi
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 3 дня назад
Weyani mujipange uzuri picha zina katakata uko mbele musitusumbuwe shukran
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 3 дня назад
Tunazima kijani tunawasha zambarauuu iyoo inataraddad
@FathiyaSalim-q7g
@FathiyaSalim-q7g 3 дня назад
Hongera kamanda Nahoda
@user-yx3ex4vy7o
@user-yx3ex4vy7o 4 дня назад
Weyan mnazingua inakatakata
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 4 дня назад
Ni kutokana na suala la kiufundi na Tunaomba Radhi kwa Hilo
@MachanoMohdmachano-mo6xe
@MachanoMohdmachano-mo6xe 4 дня назад
Hizi ndo hutuba za kutowa kuwaambia wananchi kwani ccm wamepoteza dira wasubiri tuu kuuwa lakini Mwinyi ndo atupishe hatumtaki Mwinyi hatukutakiii
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 4 дня назад
Tunafuatilia sana sana lakini Ahmed Omar maneno yake yasipuuzwe ni lazima Mya crash kwani yale wengine wagonjwa wa moyo yametuumiza sana sanaaaa ni jambo la kushangaza kuona amertad inaonesha tokea alipokuwa na marehemu kama msaidizi wake alikuwa anatumika na ccm 😂😂😂
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 4 дня назад
nikujuze tu ahmed omar aliwahi kuandika barua ya kujiuzulu kipindi cha maalim mzee akamwambia unashindwa kuvumilia tumefika mwisho wa mapambano? kwa hiyo huyu mtu ni mtu wa kuyumba tu act tunasafisha takataka
@FathiyaSalim-q7g
@FathiyaSalim-q7g 3 дня назад
Ahmed hana zaidi ya uongo tu. Mfano mzuri ni huo alosema hajasaidiwa wala hakuna alompitia viongozi. Mumeona mapicha yalosambazwa akikabidhiwa mabunda ya fedha milioni 15 tena mbali ya kila kiongozi aloenda alimpa fedha. Na mapicha mmeyaonà. Alitaka afanyweje? Waloumizwa ni wengi lakini Ahmed alipata kusaidiwa sana kwa vile Issue yake ilikua kubwa.
@FathiyaSalim-q7g
@FathiyaSalim-q7g 3 дня назад
Ahmed keshajibiwa kwa ushahidi wa picha. Tutakapo mjibu yule ni sawa na kumpa umuhimu au KK. Dawa yake ni kumpuuza tu. Kabla hajaritadi alikua akitoa maneno yasoeleweka kwenye group za ACT, mie binafsi alinitia mashaka lakini nilidhani huenda akili kidogo zimefyuzzz kwa kipigo kutoka vikosi ccm. Kumbe aliingia bei hatukujua.
@salyali7807
@salyali7807 2 дня назад
​​@@FathiyaSalim-q7gna mie nilikua na fikra hizo hizo ni kua apuuzwe tu hana umuhimu wowote .. wacha tusonge Mbele kwa rehma za Allah tutaipata nchi yetu.. one day yes!
@HassanAhmed-di9jq
@HassanAhmed-di9jq 4 дня назад
Sema wengine nivipofu hata kuona hawaoni tena nawapo hapa hapa duniani makomando wa udongo
@salyali7807
@salyali7807 4 дня назад
Excellent job weyani TV
@haydarabdallah7914
@haydarabdallah7914 4 дня назад
💜💜💜💜💜
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 5 дней назад
Kila la kheri Zanzibar
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 7 дней назад
Ccm yamebaki matahira matupu
@nassorseif404
@nassorseif404 8 дней назад
CCM oyeeee...
@alikidungura9419
@alikidungura9419 10 дней назад
Angetukana mpizan ungeona ridiozote zinge bwata ilajuzi wmani yulekijana kaonge maneno mazito sana kwampizani kisa kisha haambiwi chochote kwa kuwa CCMTu
@louisdavid8193
@louisdavid8193 10 дней назад
Pilipili hoho tena? 1:18
@yusramohd9972
@yusramohd9972 10 дней назад
😂😂😂😂KAPIGWA KAFANYA NINI KWANI ILIKUWA LINI HIII AU YA ZAMANI
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 11 дней назад
Jamani wanajipa matumaini hawa watu nawapa pole maana wamejazaa uwañja hongera zao na pole zao
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 8 дней назад
Kwani hayo maccm bila gari bure inakuaje
@Farida2020Ally
@Farida2020Ally 11 дней назад
Wacha watukane lakini ss msimamo wetu ule ule tunataka Mamlaka kamili Zanzibar
@Farida2020Ally
@Farida2020Ally 11 дней назад
Wacha watukane lakini ss msimamo wetu ule ule tunataka Mamlaka kamili Zanzibar
@Farida2020Ally
@Farida2020Ally 11 дней назад
Wacha watukane lakini ss sera yetu ile ile Tunataka Mamlaka kamili Zanzibar
@SuolFat
@SuolFat 11 дней назад
Kweli huyu ndio kiongozi mzalendo
@IbrahimJuma-w5z
@IbrahimJuma-w5z 12 дней назад
Uhakik umeongea sahih
@abuuhamza2612
@abuuhamza2612 12 дней назад
😊
@SalimLikindy
@SalimLikindy 12 дней назад
ACT mwendo mdundo.
@twalibmohd3774
@twalibmohd3774 12 дней назад
Mara hii mmeshiwa mapema sana
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 12 дней назад
Muhimu kuzijuwa sera zao na kuzitafakari kwa kuzipima uzito wa mashiko yake ili kujua namna ya kuwaziba midomo
@twalibmohd3774
@twalibmohd3774 12 дней назад
Angalia ccm vile katibu wa seif sharif kaingia mwenyew hatujachukuwa kipande chake
@twalibmohd3774
@twalibmohd3774 12 дней назад
Hamna mpango wowote kumbe watu wenyewe wezi mnalazimisha watu kutoka ccm wakati hawana hata habr na nyinyi mnawaibia vipande vyao
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 12 дней назад
hanisi mkubwa weee wameibiwa vipande wakati wanasema wenye wa wana vipande viwili viwili
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 12 дней назад
Ccm musiwabeze hata kidogo hawa Act
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 12 дней назад
URAISI WA ZANZIBAR NI KILEMBA CHA UKOKA✝️ Raisi wa Zanzibar hana Nchi, Taifa, Raia na hata Bendera. Klabu ya Mpira ina Raisi na Bendera.
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 12 дней назад
Yes unafaa kuwa Rais wa Zanzibar
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc 13 дней назад
Leo hii
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 14 дней назад
Pamoja mpaka ikulu 2025 tumewachoka mafisadi wa ccm
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 14 дней назад
Ila wasiojielewa wanaita mapinduzi matukufu
@fanaualmazrui733
@fanaualmazrui733 15 дней назад
Me piaa namsihi aondoke na nchi awaachiee wazanzibari wenyew ssi wazanzibari tunamjua yye km nikibaraka kutoka Tanganyika
@DadialiDadi
@DadialiDadi 15 дней назад
Home boy saf Sanaa Kwan taarifaa shehe Wang wa nyumban wingwii❤❤
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 15 дней назад
Ccm ndio mwisho wao na mazombii si nyuma zao zipo
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 15 дней назад
Kwan hamna mapanga
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 15 дней назад
Ccm hapa ndio mwisho wao