Тёмный
DTV
DTV
DTV
Подписаться
HII CHANNELI INAHUSIKA NA KUINUA MAISHA YA WATU YA HALI YA CHINI ILI KUWEZA KUSIMAMA TENA
PAMOJA NA WAGONJWA
NIMEPOTEZA KILAKITU NAANZA UPYA SASA
21:10
9 часов назад
UTACHEKA MANENO YA BIBI AKIONGEA KIINGEREZA
17:32
14 часов назад
SHIMO LA MAMA ZAWADI LAFUNIKIWA
7:51
16 часов назад
HALI YA HUSSEIN SIO NZURI
11:32
19 часов назад
TANZIA MAMA BRITON AFARIKI DUNIA
19:32
День назад
HATIMAYE BIBI NA BABU WAWEKEWA MAJI
8:24
Месяц назад
SHIMO LA MAMA ZAWADI LAANZA KUJENGWA
9:57
Месяц назад
HALI YA HABIBA YAZIDI KUIMARIKA
9:23
Месяц назад
Комментарии
@erinestangowi7785
@erinestangowi7785 6 часов назад
𝖬𝗎𝗇𝗀𝗎 𝗁𝖺𝗐𝖺𝗉𝖾 𝗎𝗏𝗎𝗆𝗂𝗅𝗂𝗏𝗎
@aishajuma7813
@aishajuma7813 8 часов назад
Mungu hawape subra
@Rahma-r1y
@Rahma-r1y День назад
😂😂😂😅Bibi kama bibi
@monicamaganga8681
@monicamaganga8681 День назад
Kwa kweli kumpa m2 fraha aliyekosa fraha ni swawabu kubwa sana Mungu awatunze
@FazilaAlly
@FazilaAlly День назад
Kaka fabi VP munira mtemberee to muone nae
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 дня назад
Mashaallah aliyetoa mungu akubariki amzidishie alikopunguza
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 дня назад
Mashaallah bro yangu fabi umependeza na hiyo kanzu :Kazi nzuri mnafanya kaka zangu nawapenda san❤❤❤❤❤Allah awabarik awape afya njema
@SabrinaKhamis-w2j
@SabrinaKhamis-w2j 2 дня назад
Pole sana muni
@ايتيتووينويو
@ايتيتووينويو 3 дня назад
Janja janja hii na Munira ilikuwa hivi hivii wa2 pesa hawaokoti wanazitafuta kwa jasho sio mshaona utam wakupata pesa za kupewa2 kila siku mnatangazwa nyie nyie2
@حميده-ر4ظ
@حميده-ر4ظ 3 дня назад
Tuletee Munira tumwone
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 дня назад
😢
@Thuhaila-n1g
@Thuhaila-n1g 4 дня назад
Jamani ukitaka kumsaidia mtu haitakiwi kutoa maneno mabovu kama kapoteza kama kala anaejua nimungu ukimsaidia mtu ukisha ukatoa maneno kunya basi faida yako nizambi tu kwaio wekama huwezi kuchangia tena nivyema ukae kimya muache tabia mbovuuuu
@chikujuma18
@chikujuma18 4 дня назад
❤❤❤ mashallah kanenepa na pole na majanga
@SibomanaSaida
@SibomanaSaida 4 дня назад
Tuleteye Bibi muuza mkaa nae tuone kama yuaendeleya aje na uyu mama haiko seriously kabisa fabi ndio yuamteteya
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 дня назад
Bibi nae sometimes anajichetua vibaya 😂
@HadiaAme-x5f
@HadiaAme-x5f 4 дня назад
Aweke na akiba watu wakigoma kuwasaidia kila mnapofilisika mtaanza upya
@fatmahaji7639
@fatmahaji7639 4 дня назад
Pole sn Mama 🙄🙄
@firdaus7428
@firdaus7428 4 дня назад
Huyu dada anajielewa sana
@janemusumba820
@janemusumba820 4 дня назад
Huyu mwongo tu
@asiasalim9323
@asiasalim9323 4 дня назад
Pole sana
@ashazuber6548
@ashazuber6548 4 дня назад
Kanenepa kwa sasa masha Allah
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 4 дня назад
Halikuwa kaisha nenepa mashallah ❤pole sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 4 дня назад
Hafu alikua kanenepa
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 дня назад
Hani mimi kupotea pesa Ndiyo zangu Kuna siku nilidondosha kanga doti moja mpya. Siku nyingine nikatundika kanga ya mtelezo kwenye kamba nikajisahau nikakuta kamba tupu. Siku nyingine ni kasahau pesa kibarazani wallah ile naingia ndani Kurudi nje nilikuta peupee. Yani ninaile kusahau. Hata km nipo barabarani nikixhika pesa lazma nidondoshe.
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 4 дня назад
Pole ndg
@keynasseib9999
@keynasseib9999 4 дня назад
Ila kiukweli jamani mnatuchosha kila kukicha michango mtu umeishaonyeshwa mangaza wa maisha umechangiwa mtaji Mara tena umeibiwa hii kuibiwa ndio staili ya wengi mnarudi nayo Jamani kumbukeni kuna wagonjwa tuchangie wagonjwa na wazee wasiojiweza Sandaka nzuri ni Yatima Wazee Wagonjwa walemavu Hawa wengine tunawachangia basi mjisimamie lakin wanajiendekeza kwa kujua wataomba tena watapewa kisha wanawapanga na watoto waombe mpaka walie jaman haifai Umeishapewa basi pambana dadaangu kuomba kila wakati hamuoni haya tupo Omani tunapambana tunataabika Msitutie dhambini jaman
@JokhaJoko
@JokhaJoko 4 дня назад
We wemuongo sana pesaumekula
@Suburo767
@Suburo767 4 дня назад
Anashindwa ata na yule bibi ana kiwanja
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 4 дня назад
Eti kanga ilipotea😂
@AminaAminjay-dv8tr
@AminaAminjay-dv8tr 4 дня назад
Jmn kupoteza ni bahati mbaya, pole mwanya allah atafungua milango
@omanoman2044
@omanoman2044 4 дня назад
Umejisahau mara hii nakilio mlcho lia na watt duuh binadam hachelew kusahau
@omanoman2044
@omanoman2044 4 дня назад
Vinaanza kutia hurum ten ndo vichangiw polen san w
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 4 дня назад
Maashallah tabarrak allah bibi hujapoa 😂😂
@AdaxcoeLubase
@AdaxcoeLubase 5 дней назад
Pole kipenz alah atakuafu. Utakuwa sawa inshallah akuna litakalokukuta 😢
@omanoman2044
@omanoman2044 5 дней назад
Watt tunawataka lakin kwa maisha haya acha wabaki wallah sifanyi ujinga huu
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 5 дней назад
FABI nakupendaga sana na huyu bibi yangu,Mungu akupe maisha marefu FABI
@MonaAlmona-c1n
@MonaAlmona-c1n 5 дней назад
Uzima basikeli sipana mkononi duh😂
@attyambaraka3756
@attyambaraka3756 5 дней назад
Zawadi anafurahisha amechangamka sana dada zake wapole
@attyambaraka3756
@attyambaraka3756 5 дней назад
1 2 3 4 5 6 7 8 9 40 mh dogo karahisisha kazi hhhhh
@attyambaraka3756
@attyambaraka3756 5 дней назад
Hahahaha jamani bibi huyo nikumuona nacheka tu
@bibahhadith
@bibahhadith 5 дней назад
Ila bibi hhhhhh mbavu zangu jmn
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 5 дней назад
😅😂😂😂
@fatmahaji7639
@fatmahaji7639 5 дней назад
Fabi yy unayaweza
@fatmahaji7639
@fatmahaji7639 5 дней назад
Bibi nampenda huyo 😅😅😅
@asiasalim9323
@asiasalim9323 5 дней назад
Kumekucha kumekuchaaaaa 😂😂😂😂
@shamsaadam6965
@shamsaadam6965 5 дней назад
Allah ampe shifaa na amsahilishie amin
@MohdMchezo
@MohdMchezo 5 дней назад
ALLAH awabariki FABI na timu yake yote. Pamoja na bibi nae awe na afya njema.
@AishaJuma-wd8xd
@AishaJuma-wd8xd 5 дней назад
Siku nikija lazima nikamuone huyu bb
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 5 дней назад
Bibi na Mjukuu wake Fabi 😂😂😂😂😂😂
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 5 дней назад
Mashaallah bibi anafuraha mda Allah akijalie afya njema Fabi na Adamu Allah atawalipa kwa upendo wenu na kazi kubwa mnayoifanya ktk jamii Allah atawalipa kher
@RisasiRisasi-uj8fk
@RisasiRisasi-uj8fk 5 дней назад
Fabi hongera sana,wewe ni mtu ambaye mungu amekupa moyo wa upendo,huyo bibi yetu anakuwa na furaha kubwa.hongera sana fabi
@hpmobilephone9951
@hpmobilephone9951 5 дней назад
Jamani bibi anafura japo kuwa masikini tunakupenda sana bibi 😂😂😂😂
@shamzone388
@shamzone388 5 дней назад
Daima furaha anayo maskini wewe hujui Tajiri hana raha kwa kutaka pesa zaidi