Тёмный
MWAMPOSA LIVE
MWAMPOSA LIVE
MWAMPOSA LIVE
Подписаться
This is the Official RU-vid Channel of Boniface Mwamposa Bulldozer Ministry. To reach millions of people around the world.
Our Ariseandshinetanzania for service was received from the LORD Himself.

This is what Boniface Mwamposa received from the Lord:
"The hour has come to free the world from all the oppression of the devil through the preaching of the word of faith, and I am sending you to do this work."

Today, the testimonies of deliverance through our messages, books, tapes, newspapers, and other magazines are more humbling. The word of faith works as a fire for the salvation of men in all nations.

We are on
Facebook - facebook.com/ariseandshinetanzania
Instagram - instagram.com/ariseandshinetanzania/
TikTok - www.tiktok.com/foryou?lang=en
WhatsApp - whatsapp.com/channel/0029VaP4xHS2ER6oXnZ2uU0E
AFUNGULIWA UCHUMI NA AFUNGA NDOA AADA YA UPAKO
5:07
5 месяцев назад
NIMETUMIA MILIONI STINI NA SIKUPONA .
19:22
8 месяцев назад
MSUMBIJI NDOA YA RUDIWA KUFUNGWA  UPYA .
7:53
9 месяцев назад
NAUZA ZAIDI YA MILIONI 20 BAADA YA MAOMBI .
5:21
9 месяцев назад
TULIKUWA HATU VAI MASHATI .
13:47
11 месяцев назад
ATAPIKA NYEMBE, KARATASI, VYUMA { MSUMBIJI } .
2:52
11 месяцев назад
MIUJIZA YA PAPO HAPO BAADA YA MAOMBI .
16:05
11 месяцев назад
WALIOANDIKA MAOMBI 12 WASHUHUDIA MBEYA  DAY 1
19:18
11 месяцев назад
NIMEPUSHI PANYA .
13:01
11 месяцев назад
HUKU MJINI WATU HAWALII .
12:42
11 месяцев назад
NILIFUKIWA CHINI YA KABURI .
10:13
Год назад
MTOTO AFUFUKA BAADA YA MAOMBI .
10:42
Год назад
NIMEZIDIWA MAVUNO YA VITUNGUU
4:50
Год назад
KAMATA MWIZI YATOA MAJIBU .
24:22
Год назад
SEHEMU ZANGU ZA SIRI ZILIPOTEA
5:37
Год назад
MWANANGU KAJISAIDIA JONGOO .
4:03
Год назад
KIZAZI KIMERUDI BAADA YA MAOMBI .
12:08
Год назад
NILINUKA MADENI .
4:02
Год назад
Комментарии
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 9 часов назад
Wasielewane tena moyo wake utazamie kwang kuanzia saiz Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 9 часов назад
Asimpende tena Amina kuanzia saiz Jastine James asimpigie hata simu Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 9 часов назад
Namuungamanixha Jastine James kwenye madhabah ya inuka na uangaze kamfungue ufaham wake arud kama alivyokuwa zaman na akanitoe blacklist tukaelewane kuanzia saiz Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 9 часов назад
Ameen napokea Kwa jina la YESU kristo
@MillyKhasoa
@MillyKhasoa 9 часов назад
Najiunganisha na mathabau ya mungu kufungua njia zangu za pesa utajiri uchumi ndoa watoto wangu katika jina la yesu cristo amen 🙏
@Sure-eq3mp
@Sure-eq3mp 11 часов назад
Emungu wa mazabau hii nikumbuke na haya magojwa ya presha nipone kwa jina la yesu
@CathJohn-h1j
@CathJohn-h1j 12 часов назад
Niinue kimaisha baba
@CathJohn-h1j
@CathJohn-h1j 12 часов назад
Mungu baba naomba unipe kibar cha kufikia malengo yangu
@CathJohn-h1j
@CathJohn-h1j 12 часов назад
Eee mungu baba komboa maisha yangu
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 12 часов назад
Aaameni 🇹🇿🇴🇲
@leoniaSabaga
@leoniaSabaga 13 часов назад
Nataka mwanangu Zita apone sikoseli
@chembejohn9605
@chembejohn9605 13 часов назад
Mungu ninadai urithi wangu urithi wa kuhudumia na kupewa hela nyingi Sana na mme wangu asitulie ahisi tu kunitumia hela
@chembejohn9605
@chembejohn9605 13 часов назад
Mungu nataka kitu kinacho zunguka ndani ya mwili wangu nataka kitoke na kamwe kisirudi Tena
@happyjuma9426
@happyjuma9426 13 часов назад
Naomba baba utuombee nyumba yangu hikawe ya hamani nabaraka
@AnnaAlphonse-h8o
@AnnaAlphonse-h8o 13 часов назад
Opareshenikomboafamilia10/9/2024
@NeyOmary-ln2cx
@NeyOmary-ln2cx 13 часов назад
✋🖐️
@PeterMwita837
@PeterMwita837 13 часов назад
Mungu naomba unifungulia wadogo zangu na familia yangu wasinilitea dharau ameeeeeeen ameeeeeeeen ameeeeeeen
@joycesamsonamini2725
@joycesamsonamini2725 13 часов назад
Help
@joycesamsonamini2725
@joycesamsonamini2725 13 часов назад
The service every is speaking too quick pease help
@FatumaKamuta
@FatumaKamuta 13 часов назад
Namini.mtumishi akingia.napokea.uzima
@chembejohn9605
@chembejohn9605 13 часов назад
Mungu wa madhabahu ya inuka uwangaze nataka kama Kuna jini yoyote au pepo lolote linalo ni fatilia Leo liage na kuondoka
@joycesamsonamini2725
@joycesamsonamini2725 13 часов назад
Amen
@BAHATISaviyo
@BAHATISaviyo 13 часов назад
Wewe Mwanamke uliyetutenganisha mimi na Mume wangu PIASON PASCHAL MALINZI Nakutumia Moto wa upako kwa jina la yesu Kupitia Upako huu Uunguzwe Na kuangamizwa kabisa Achia nafasi ya maisha yangu na uachie akili za huyo baba kwa jina la yesu
@ElizabethChristopher-or5hc
@ElizabethChristopher-or5hc 13 часов назад
Ee mungu nakuomba uwajaalie wanafunzi wote watakaofanya mtihani kesho drs la saba wafaulu hasa wanafunzi wa shule ya msingi vuluni
@prospersulle2563
@prospersulle2563 13 часов назад
Ameen naamini napokea kufunguliwa kwangu napokea uponyaji wa afya ya baba yangu kupitia kipindi cha operation komboa familia
@chembejohn9605
@chembejohn9605 13 часов назад
Nafunguliwa na mimi leo
@BAHATISaviyo
@BAHATISaviyo 13 часов назад
Najiungamanisha na Ibada Hii yoyote aliyemfunga Mwanaume wangu PIASON PASCHAL MALINZI amuachie kwanzia sasaivi Na furaha yetu itarudi kama kawaida
@user-nm6on3sw2t
@user-nm6on3sw2t 13 часов назад
Yuko mkoa gani sashivi jamani???😢
@user-td7ls1sh4l
@user-td7ls1sh4l 13 часов назад
Ameni
@majaliwansemwa7504
@majaliwansemwa7504 13 часов назад
Mungu Baba nikomboe nami na vifungo vya shetani leo
@prospersulle2563
@prospersulle2563 13 часов назад
Baba kupitia madhabahu ya inuka uangaze katika ibada na kipindi cha operation komboa familia nataka nifunguliwe kiimani kiafya kiuchumi kimaisha Kimafanikio kikazi kibiashara ameen amen napokea leo kibali changu
@prospersulle2563
@prospersulle2563 13 часов назад
Baba najiungamanisha katika madhabahu ya inuka uangaze katika kipindi cha operation komboa familia naomba Rehema na Neema mbele zako natubu makosa yangu yote naamini napokea kufunguliwa kwangu ameen amen napokea kufunguliwa 😊
@prospersulle2563
@prospersulle2563 13 часов назад
Baba najiungamanisha katika madhabahu ya inuka uangaze katika kipindi cha operation komboa familia naomba Rehema na Neema mbele zako natubu makosa yangu yote naamini napokea kufunguliwa kwangu ameen amen napokea kufunguliwa 😊
@prospersulle2563
@prospersulle2563 13 часов назад
Baba najiungamanisha katika madhabahu ya inuka uangaze katika kipindi cha operation komboa familia naomba Rehema na Neema mbele zako natubu makosa yangu yote naamini napokea kufunguliwa kwangu ameen amen napokea kufunguliwa 😊
@joycesamsonamini2725
@joycesamsonamini2725 13 часов назад
Please help
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Namweka mwangu namuunganisha na madhabau hya kev awe na afu bora awe kichwa shuln na sio mkia amn
@joycesamsonamini2725
@joycesamsonamini2725 13 часов назад
Kuna matatizo Katina hi service
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Funguwa ndowa yangu upnd utawale funguwa uchimi utuponye nama gonjwa katka jin la yes amin
@MaryamFaiza-d3d
@MaryamFaiza-d3d 13 часов назад
Nimilik biashara yangu na nipangiwe nyumba nzima na kila kitu ndani na mpenz wangu G
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Funguwa ndowa yangu upnd utawale funguwa uchimi utuponye nama gonjwa katka jin la yes amin
@IMAKULATAMWENGWA
@IMAKULATAMWENGWA 13 часов назад
Ee mwenyezi mungu unitendee miujiza yakufuliwa mambo yamekuwa magumu kwangu yakupata passport eee mungu unitendee nifunguliwe
@EdinaFesto-w4s
@EdinaFesto-w4s 13 часов назад
Ameeen kubwa
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Mungu funguwa tumbo lang funguwa uzao wangu mungu ni bebe mimba nijfunguwe watt mapacha wa kike na wakiume na wawe na afya njema katika jina la yesu amen
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Mungu naomba john alip ard haraka na ardi kwa magoti hayo yote anayoyafanya ashdwe katika jina la yes amin
@IMAKULATAMWENGWA
@IMAKULATAMWENGWA 13 часов назад
MUNGU unitendee nifunguliwe nipate passport yangu kiurahisi
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Naomba mungu familia yangu yote ipate unafuu wa maisha awadhalilishe maaduw wote
@IMAKULATAMWENGWA
@IMAKULATAMWENGWA 13 часов назад
Amina
@MariamKapinga-yl9dk
@MariamKapinga-yl9dk 13 часов назад
Napokea kwa jina la yesu
@Odeth-z6r
@Odeth-z6r 13 часов назад
N
@JanethGimbi
@JanethGimbi 13 часов назад
Naomba at kiun mgong unaeuma kwa jina la yesu napona