Adi Wadada Wenzie Wanakoment kwa Furaha tu inaonesha Aya Mambo Ya Kijinga Kwa Sasa Yameisha Onekana Ya kawaida Kwenye Watu, Adi Wale Wenye Nyuso Za Aibu Nao Wanaona Kawaida tu, Sasa Aibu Mkikosa Nyie Wanawake Dunia inaelekea Wapi?????Ata Amsikitiki Ndio Kwanza Mnaongoza Kwa Jumbe Za Shangwe Apa
Be Bless Irene. Siku uliongea juu ya Maumivu ya kuondokewa na mtu ambaye mnatofauti na akaondok Bado hamjatengeneza inavyoumiza moyo... I notice this. Be blessed
Watanzwnia wenzangu, niwasihi sana hizi ni dalili za Gasi au kuwa na soutce ya mafuta au mnaita crude oil, laiti ingekua volcano ungeona ule uji uji unaoitwa magma na ule huwa una eruption unalipuka 🌋 na tungoena moshi mkubwa sana kuliko
Yan uyu dada sijui lin atacha kudoea waume za watu. Iv pamoja na uzur wote uo na mshepu pia lkn bado awez kuwa na mume wako wa halali. Simunaona anavyo mficha sura ili asije ona mkewe