Тёмный
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
Подписаться
Hii ni kwaya ya Kwaviumbe Vyote kwaya barabara ya 13 Ulyankulu Tabora Tanzania; Kwaya hii ilianza mwaka 1987 tukihudumu na kueneza neno la Mungu kwanjia ya uimbaji, kuanzia mwaka huo mpaka sasa.

Natumefanikiwa kurekodi nyimbo za sauti (audio) Album saba;-
1. Kwaviumbe Vyote
2. Tufanyeje ili tupone.
3. Heri mtu yule.
4. Dunia ya shida.
5. Upendo wa Mungu
6.Habari za furaha.
7. Alipozaliwa Mwokozi.

Nakutoka katika Album hizo tuliweza kurekodi album mbili za video zenye nyimbo mbalimbali kutoka katika album hizo saba za nyimbo zetu za sauti (audio).
1. Kwa Viumbe vyote.
2. Samsoni na Delila
Комментарии