Тёмный
KALEJI TV
KALEJI TV
KALEJI TV
Подписаться
Sehemu pekee utakayopata habari za uhakika zenye uchambuzi wa kina, Historia, Michezo na Burudani kutoka kwa waandishi wenye umahili mkubwa.
"RUTO_AJIUZULU_NCHI_IMEMSHINDA"
8:17
Месяц назад
WATU_39_WAULIWA_KENYA_WAKIANDAMANA
5:15
Месяц назад
JUZI_NDIO_KANIAMBIA_ANA_UKIMWI 😭
6:02
Месяц назад
Комментарии
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 24 дня назад
Umekutana na muuwaji ndio tunahesabia wauwaji unao kutana nao huyo ni wapili Toka ulipo kutana na netanyau japo haikuwa kama putini ila wauwaji wake netanyau ulishikinao kikao ushauri hakuna sababu ya kukushusha Wala kuku pandisha ishot achana kabisa na mataifa ambayo yapo kwenya nyakati mbaya na mataifa mengine Kwan kwani yupo rafiki Yako hapatani na huyo wewe atakuona sinchi mkubwa na hata kushirikisha Tena kama rafiki wa kweli
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 24 дня назад
Eye contact ya Dr TA iko vizuri hasa unapokutana na Viongozi wakubwa kama Putin , natumai kikao kilikuwa cha faida kubwa na tunaomba majadiliano yao yasiwe wazi tunamwamini Putin na hawezi kuwa na nia hovu, na pia dunia imejigawa na sisi hatufungamani na upande
@KALEJITV
@KALEJITV 24 дня назад
🔥
@HARIFANMASAWILA
@HARIFANMASAWILA 25 дней назад
Luto pamoja nipo tanzania nakukubari upo sawa Huna baya
@salimomari150
@salimomari150 29 дней назад
U must go
@TatuOmar001
@TatuOmar001 Месяц назад
Kaoshe matakooo
@pamelanyagoha2618
@pamelanyagoha2618 Месяц назад
Wakufe wote,ameua wengi.Ni wakati wa mwisho.
@catherineandaye4518
@catherineandaye4518 Месяц назад
Ana sema muangalie vizuri hao viongozi wa makanisa haswa catholic 😂😂😂
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 Месяц назад
Poleni sana wakenya
@user-bs1zq5ts1r
@user-bs1zq5ts1r Месяц назад
Kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha mbona yeye ana ukimwi ila hajafariki komaa😢😮maisha ndo hivyo
@AminMasoud-rc7si
@AminMasoud-rc7si Месяц назад
Hatuna kitu ulifanya kwani walikufata nyumbani kwako ? Kama hawakukufata nyumbani uko ukienda ulitafuta mwenyewe
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 Месяц назад
Kuna wajinga wengine wanafurahia binadamu wenzao kupigwa risasi ujinga sana
@IddySimba-fp2cc
@IddySimba-fp2cc Месяц назад
Huyo ruto atoke mshenzi mmoja tu we watu unaowaongoza hawakutaki mwizi mkubwa na bado utaona mengi tu hapo kenya
@EdsonyMashaka
@EdsonyMashaka Месяц назад
Una comment ujinga
@jitulakaleboymastr6477
@jitulakaleboymastr6477 Месяц назад
Iyo ndo dawa mana wakenya kama wavuta bangi awaeshim serikali zao ingekua. Tazania mngeisoma namb
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 Месяц назад
We ndio hamna kitu kabisa yani unafurahia binadamu mwenzio kupigwa risasi?😭😭😭
@fakridadyzubery8744
@fakridadyzubery8744 Месяц назад
Akili zako hazikutoshi inabidi urudi shule,, wajinga kama wewe wakiwa wengi ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 Месяц назад
@@fakridadyzubery8744 we ndio mbumbumbu kabisa hili halihitaji kwenda shule akili zako hazina akili
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 Месяц назад
@@fakridadyzubery8744 Kuna ulazima gani wa kupigwa risasi? Hadi waandishi wa habari amepigwa acha ujinga wewe mbumbumbu
@AhmadNurudin-ch6mn
@AhmadNurudin-ch6mn Месяц назад
Mpo sahihi wana nchi
@niomedia1234
@niomedia1234 Месяц назад
Unyama sana
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 Месяц назад
Mzee anavuta shisha
@KALEJITV
@KALEJITV Месяц назад
😂
@SadamussaSadiaty
@SadamussaSadiaty Месяц назад
The voice ❤
@KALEJITV
@KALEJITV Месяц назад
Thank you 🔥
@Richard-pq6xf
@Richard-pq6xf 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@Richard-pq6xf
@Richard-pq6xf 5 месяцев назад
Mm napenda unavyojitambulisha
@KALEJITV
@KALEJITV 4 месяца назад
Hahaha Ahsante
@omaryjuma3714
@omaryjuma3714 5 месяцев назад
Mwaka 1978 mm ndio nanyolewa nywere
@KALEJITV
@KALEJITV 5 месяцев назад
😂
@user-xo5jx3pc8g
@user-xo5jx3pc8g 6 месяцев назад
Hii imeenda
@KALEJITV
@KALEJITV 4 месяца назад
Hakika
@moxamedinagalbeed79
@moxamedinagalbeed79 6 месяцев назад
Timu ya taifa wajielewi hata kidogo af benchi la ufundi wajinga 2 wanaupaguzi tutaendelea lini
@user-my4yq4ks1g
@user-my4yq4ks1g 6 месяцев назад
Father ulinena kitu kinacho ishi mpaka sasa ulale pema peponi father❤❤
@davisnyandindi4917
@davisnyandindi4917 6 месяцев назад
Na kwel iwe hvyo hvyo hii clip mtumieni mama samia atekeleze hili
@user-he2zt8fe1f
@user-he2zt8fe1f 6 месяцев назад
Hii mbona ingetokea
@user-bm7md8nq5r
@user-bm7md8nq5r 6 месяцев назад
👊
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 6 месяцев назад
Afadhali huemda ata tukapata on target moja😊
@MosesMamaya
@MosesMamaya 6 месяцев назад
I miss you so much father
@user-wn3bt1tr5v
@user-wn3bt1tr5v 7 месяцев назад
Mbui kidole
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y 7 месяцев назад
Simba coach Benchikha na Teacher Wa viungo hakuna kulala hiyo ni kama ndoto na historian Nchini Tanzania ni mazoezi ya jasho na Damu kwa wachezaji akileta kiburi out ili asiwacheleweshe Simba Sasa moto uwake Fifa wanawaona mnafaa 2025 ktk nchi ya Marekani hizo mechi mbili ya Assec na JwanengGarax hao wote wapelekee moto moto Simba inaweza
@mrjmusictz
@mrjmusictz 7 месяцев назад
🎉🎉🎉
@johnwillingstone3121
@johnwillingstone3121 7 месяцев назад
Sasa unaelezea mziki au sababu ya kifo, bullshit
@montewheezy
@montewheezy 7 месяцев назад
Wakora 😅 sako kwa sako😅😅
@KALEJITV
@KALEJITV 7 месяцев назад
😂
@RichardBugeza-up6xv
@RichardBugeza-up6xv 7 месяцев назад
Sio van der ser 😂kk ni Van deez
@KALEJITV
@KALEJITV 7 месяцев назад
😂
@philozithegreat888
@philozithegreat888 7 месяцев назад
😂😂😂 sababu mbona aipo
@montewheezy
@montewheezy 7 месяцев назад
Hawa ni wakora ndio maana hakuna views
@salimdeluxe1543
@salimdeluxe1543 7 месяцев назад
sijaskia sababu😂
@Richard-pq6xf
@Richard-pq6xf 8 месяцев назад
Halafu wahilaki ni wazuri balaa
@KALEJITV
@KALEJITV 9 месяцев назад
Hakikaa
@ngalo3705
@ngalo3705 9 месяцев назад
Nimeielewa hyo hashtag rich mathias
@robertonlinetv8908
@robertonlinetv8908 9 месяцев назад
❤❤❤❤ ni hatari sana 😢😢😢😢
@ngalo3705
@ngalo3705 9 месяцев назад
Dah noma
@ngalo3705
@ngalo3705 9 месяцев назад
Hahahahahaha nimejifunza mengi sana kutoka historian yeti hashtag rich mathias
@KALEJITV
@KALEJITV 9 месяцев назад
😂😂 Endelea kufuatilia
@yerikombilinyi8947
@yerikombilinyi8947 9 месяцев назад
Fact,😊
@Thehometv7
@Thehometv7 9 месяцев назад
Ubarikiwe sanaaa ndg yangu mambo ni mazuri sanaaa
@KALEJITV
@KALEJITV 9 месяцев назад
Ahsanteee sana ndugu!
@officialbugadee
@officialbugadee 10 месяцев назад
tanzania yetu noma sana
@officialbugadee
@officialbugadee 10 месяцев назад
dah maajabu kweli
@officialbugadee
@officialbugadee 10 месяцев назад
hahahahah noma sana bibi fisi
@KALEJITV
@KALEJITV 10 месяцев назад
Ni balaa, Lakini yupo mwingine kiboko zaidi wa Morogoro ntawaleteeni simulizi yake next weekend
@niomedia1234
@niomedia1234 10 месяцев назад
hongera sana barnabas waupiga mwingi tayari nimeshaichota
@KALEJITV
@KALEJITV 10 месяцев назад
Ahahah 😂😂, asante sanaaaaa
@user-sp6mq9fh8f
@user-sp6mq9fh8f 10 месяцев назад
Hai