Тёмный
Katoliki Moshi Online Tv
Katoliki Moshi Online Tv
Katoliki Moshi Online Tv
Подписаться
Wapendwa Taifa la Mungu,
Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha katika Jimbo Katoliki Moshi Online Tv. Hiki ni chombo kwa ajili ya kuinjilisha kujibu hitaji la msingi la nyakati. Mababa Watakatifu na Mitaguso mbalimbali imedokeza umuhimu wa kutumia vyombo vya kisasa kwa ajili ya Uinjilishaji kwani huleta faida kwa binadamu na kutoa mchango mkubwa katika uinjilishaji (Inter Mirifica 2).
Lengo msingi la chombo hiki ni kuinjilisha na kuwa mfano bora wa kutoa habari kwa usahihi, Lengo hili linafungamana na lengo la Mamlaka Funzi ya Kanisa ya kufundisha, kutakatifuza na kuchunga wanakanisa. Hivyo Kanisa linapata mahala sahihi na salama pa kufundishia.

Sehemu ya kwanza ya Uinjilishaji katika Jimbo Katoliki Moshi ilikua ana kwa ana kuanzia 1890 mpaka miaka ya 1970. Sehemu ya pili ilikua Uinjilishaji kwa njia ya Jumuiya Ndogo ndogo za Kikristo ambapo uinjilishaji ulijikita katika kuimarisha na kutembelea familia, Sehemu ya tatu ya Uinjilishaji ilijikita katika kutumia vyombo vya kisasa.
Комментарии
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 10 часов назад
Uyu dada anaelezea vizur.nikama mtangazaji.
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 10 часов назад
Sisi ni ndugu hayo tulifundishwa na mwalimu juliuss kamabarage Nyerere ndyo aliishi hivyo kwa wafrica wote.
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 10 часов назад
Hakika Mungu anatupenda Sana wa Africa .hyo ni mwafirika kweli na mzaledo kweli . Ndugu mmoja kutoka Kenya asante Sana kwa huo moyo wa wanawaafrica. Inatambua kweli tunu za kwetu..asante Mungu kwa zawadi ya julius Nyerere mwana wa Africa na mtanzania kweli. Daima nashindwa kusema maisha yake na Hali inayo tunzunguka Sasa watu wa Africa. waliyokuwa uzalendo hawapo tena zaidi tumekuwa makapi tu. Wapo wengine pia tuombe Mungu.
@benedictorkaniru9438
@benedictorkaniru9438 10 часов назад
Baba Julius nyerere alifanya mengi sana apumzike kwa Amani tunamuombea awe mtakatifu soon .Ni Sr Benedictor k Lintari .
@robertsalaibey5383
@robertsalaibey5383 13 часов назад
🙏🙏🙏
@epifaniakavishe9282
@epifaniakavishe9282 14 часов назад
Baba wa taifa hakua na tamaa kabsa apo ingekua wengne kungejaa mahekalu ya atari
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 15 часов назад
Historya nzuri
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 15 часов назад
makala nzuri saana huyo muongozaji yupo vizuri saaana.
@kasisimashaka389
@kasisimashaka389 17 часов назад
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@kasisimashaka389
@kasisimashaka389 17 часов назад
Hogelasana nadada umehelezeyaisitoliyavizuli
@KhalfanKiko
@KhalfanKiko 21 час назад
Pumzika kwa amani mtoto wa wa chif burito siku fursa ikipatkana nitatembelea hapo kijjn mwitongo
@Hil-AryJunior
@Hil-AryJunior День назад
Continue to sleep in heaven Grandma 💔💔💔😭😭
@FerstaMushi-c8f
@FerstaMushi-c8f День назад
Wameimba kwa utulivu sana
@SrMariaLauda
@SrMariaLauda День назад
Hobgera sana Fr Daniel kwa mahubiri mazuri
@WilliamuDaudi
@WilliamuDaudi День назад
Talifa nzur
@paxomnibus3598
@paxomnibus3598 День назад
The children of the Pope
@WinifredThomas-e2q
@WinifredThomas-e2q День назад
Nimependa ibada ila imekata kata sana ongera kijana wetu kwa kuchagua fungo jema Mungu akuongoze kwa kila jambo la ibada na kuchunga kondoo wa Mungu 🎉❤
@HusseinJalala
@HusseinJalala 2 дня назад
Hao ndio walio uwa taifa letu waz waz
@FloriaShirima
@FloriaShirima 2 дня назад
Ulinifundisha mengi mpk Leo mm katibu Wa parokia ya k.. Samaki zanzibar
@FloriaShirima
@FloriaShirima 2 дня назад
Pumzika kwa amani baba ucha
@PascalMagulu
@PascalMagulu 2 дня назад
Mtakatifu poulo wa pili utuombeee🙏🙏
@BeatriceMacha-pf9ey
@BeatriceMacha-pf9ey 2 дня назад
Pumzika kwa Amani Baba Valence
@GolehaLugoye
@GolehaLugoye 2 дня назад
Maelekezo yako sawa
@GodloveMtewele
@GodloveMtewele 2 дня назад
Mwamba wa afrika
@linahmmassy3439
@linahmmassy3439 2 дня назад
Sr uko vizuri kuongea kusoma na kwa ustadi Mungu akujalie udumu ktk ufurahivu daima.🎉🎉
@genesisshirima9652
@genesisshirima9652 3 дня назад
Pole sana mzee Joackim kwa msiba huu mkubwa.
@RADIOHABARINJEMA-yn8ci
@RADIOHABARINJEMA-yn8ci 3 дня назад
Muwe mnaweka na jina la padre anayeadhimisha misa kwenye caption
@YohanaMbano
@YohanaMbano 4 дня назад
🎉🎉🎉🎉
@JuliusOdecho
@JuliusOdecho 4 дня назад
Nyerere 2:13 ni kiongozi wa kuheshimika LAKINI???? NYERERE sio mtakatifu na wala hafai kuabudiwa.
@rachelmwamgiga8994
@rachelmwamgiga8994 4 дня назад
😢 😢
@AimboraUroki
@AimboraUroki 4 дня назад
Pole sana dada Joseph kwa msiba na ndugu wengne pia
@agnesmoshy6605
@agnesmoshy6605 4 дня назад
Poleni sana Mungu awatie nguvu familia
@asiajuma9783
@asiajuma9783 4 дня назад
💔😭
@luizabahati5198
@luizabahati5198 4 дня назад
Poleni sana James Ngaluko na familia.
@Martha-z7l
@Martha-z7l 4 дня назад
Amen.Amen.Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen.A men.Amen🎉🎉🎉
@mayomalkpeter6377
@mayomalkpeter6377 4 дня назад
Penda sana mungu awabariki sana
@restitutaShio
@restitutaShio 4 дня назад
Tumsifuni yesu kristo. Mbn kwaya ya watoto inatafutwa sana lakin haipatikani??
@PhilimonSemwa-bd9gr
@PhilimonSemwa-bd9gr 4 дня назад
Najifungamanisha na ibada ya asubuhi ya Leo🙏
@ChristopherAnthon-w8r
@ChristopherAnthon-w8r 5 дней назад
Apumzike KWA Amani
@KagameElias
@KagameElias 5 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 5 дней назад
Raha ya milele umpe mjomba
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 5 дней назад
Sangiti🙏☝️🍏💛
@vitalismarunda6760
@vitalismarunda6760 5 дней назад
Pumzika kwa amani Kaka
@honorathakileo1181
@honorathakileo1181 5 дней назад
Pumzika kwa amani baba Valence
@EvaTemba-x8l
@EvaTemba-x8l 5 дней назад
Mungu ampokee kwake mbinguni .
@cassianusbarongo606
@cassianusbarongo606 6 дней назад
Daah amakwel kazi ya Mungu haina makosa,mwendo umemaliza vita umevipiga vilivyo baba yetu!! Tuishi kwa kupendana tunaondoka muda wwt
@EmmanuelMissanga-u4g
@EmmanuelMissanga-u4g 6 дней назад
Genoveva E Lucas
@johanajoseph878
@johanajoseph878 6 дней назад
Pumzika Kwa Amani Baba
@dominiclaswai9374
@dominiclaswai9374 7 дней назад
Hongereni sana Sangiti sekondari
@MariethaPelagi
@MariethaPelagi 7 дней назад
You Infront frt why are you not singing?????