Тёмный
arkas online tv
arkas online tv
arkas online tv
Подписаться
ARKAS ONLINE TV . Ni kituo ambacho kinajihusisha na Mambo ya KIDINI kama vile MAWAIDHA , MIHADHARA , VISA MBALIMBALI , MIDAHALO. nk.
MKE HARINGI HUDEKA TU // SHEIKH NYUNDO
23:10
14 часов назад
Комментарии
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 часа назад
Sheikh Allah amjaalie pepo njema
@BizozaFrank
@BizozaFrank 3 часа назад
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@elwachoearly002
@elwachoearly002 8 часов назад
Yaa Allah tulinde na adhabu ya rabby 😢😢
@elwachoearly002
@elwachoearly002 8 часов назад
Ameen ya rabby😢😢😢
@mwaimuchengo1814
@mwaimuchengo1814 10 часов назад
Huyu ndio shehe pekee anae juaa kuelezea kisa vizur bila kuchanganya madaa kiukweli Allah akupe elimu zaidi
@TwahaSeif
@TwahaSeif 11 часов назад
Penda kusikiliza maneno mazuri update faida ya kujuwa usichokijuwa
@FadhiliMagana
@FadhiliMagana 11 часов назад
Shida wakristo wote n washirikina et Mungu Baba mwana na roho mtakatifu
@KhadijakhamisMasoud
@KhadijakhamisMasoud 12 часов назад
Mashallah
@kibenaomary
@kibenaomary 21 час назад
yah Allah tupe mwisho mwema na kizazi Cha kumbuka maneno ya allAh na utupe kauli thabit kabrin na atujaalie mwisho mwema na atuchukue roho zetu tukiwa tumelidhiwa
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 22 часа назад
Webwana aca comedi kenyedawa wewe nishekheee au
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 23 часа назад
Ww mpk leo hv huijui dini ya kweli unamsubr mazinge hujapelekwa mdrasa uislamu hautaki mahubiri kwa umri wk cfa za uislamu zimejitosheleza ht kw mavazi sehemu za ibada ufanywaji wa ibada mazungumzo kwenye sehemu za ibada malengo yakuletwa duniani na mby kukutazwa na kukemewa na athr zake duniani hd akhr ila ukristo utajijibu mwenyeo malengo yk ni nn kwa kuwa niliwahi kwenda kanisani nilijuwa ukristo ni kikundi kinachotft kitu gn hakukuwa na mada nyengne zaid ya sadaka na kushereheshwa kw nyimbo mbl mbl na watu kuvaa uchi ckuwa na hofu kama ningempt mwanmke mule mule ningemfnya ila kwa upande wa mckitini ht nikiwa na chembe ya mkojo huwa cpt ndani naogopa uislamu watu wake tu unajuwa ni dini isiyotaka maelezo kama dini ya mashetani mbona zanzibar matokeo ya watu kuuwawa na watoto kutolewa viungo hkn na majina ya wauwaji ni johnson na na pdri mkuu juz ndo alotuma watu wamuuwe albino uislamu dini ya kweli iliojawa na hurruma
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 23 часа назад
acheni visa vya uwongo kwenye dini yetu,visa vizuri kutoka kwa mtume na maswahaba zake vimejaa ,hizo alfu lela ulela za nini othman?
@mohammedadam8261
@mohammedadam8261 23 часа назад
Mashalla
@NzitatiraElizeus
@NzitatiraElizeus День назад
Shk wetu mungu akupe kila lakheli kwa mawaidha mazulii unayo tupa kbs
@MohamedMeja
@MohamedMeja День назад
Masha allah hapaa ust alikuwaa badoo mdogoo
@ahmedbaamironlinetv4753
@ahmedbaamironlinetv4753 День назад
Allah akujaalie afya njema
@AliMahmoud-we3jh
@AliMahmoud-we3jh День назад
Kweli
@AliMahmoud-we3jh
@AliMahmoud-we3jh День назад
Allah atakujaliya kila lakheri likufikiye insha'Allah
@AliMahmoud-we3jh
@AliMahmoud-we3jh День назад
Mashallah kweli kabisa
@jumakimu2329
@jumakimu2329 День назад
Alla atujalie mwisho mwema
@halimahanni5491
@halimahanni5491 День назад
Jazakumullah khyran shukran jazilan mawaidha nzuri na ya mafunzo
@user-rj1my4mj5c
@user-rj1my4mj5c День назад
Allah akuhifadhe
@watichogutu4162
@watichogutu4162 День назад
MashaAllah
@AzimaraSalimu
@AzimaraSalimu День назад
Allah akupe maisha marefu yenye aman ,,,furahaa na upendo na akuzidishiee imaan ili uwezee kumchaa allah wetu
@HajiMasmenti
@HajiMasmenti День назад
Mashaallah
@NuruKassimHabib
@NuruKassimHabib День назад
Wow I love it 👍👍👍
@hidayanangera928
@hidayanangera928 День назад
Ya Allah tukubalie dua zetu rehema na amani ya mwenyezi mungu zikushukie 🤲🤲🤲
@ayinkamiyeumulisa8070
@ayinkamiyeumulisa8070 День назад
Akuzidishie shekhe wangu
@GjhBjhhj
@GjhBjhhj День назад
Mashallah mungu amrehemu huyu. sheikh ametuwachia mfunzo na ana sema ukweli mtupu tumuombe mungu ampe Janaah
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 День назад
Allahu Akbar
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 День назад
Ma sha Allah
@MaidaAbasi
@MaidaAbasi День назад
Natamani nikuone usokwa uso nadhani nitafidizaidi Allah akuzidishie umri mrefu wenye amalinjema .Akuepushe balaa na mahasidi wa aina zote.
@FatinaShedafa
@FatinaShedafa 2 дня назад
Shukurani kwa sheikh Allah akuzidishie hakika ukumbusho wako Ni wa hekima Sana namuomba Allah ukupe umri mrefu
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 2 дня назад
Ee Mola wangu nisamee mie unipe mwisho mwema n'a kuazibu changu
@user-mp4zq3hd1y
@user-mp4zq3hd1y 2 дня назад
😂😂😂Shee unasema ukwer
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 2 дня назад
Mansh'Allah cheikh sauti nzuri yakusoma qour'an sauti ya ujana
@MahfudhiElias-gs9bo
@MahfudhiElias-gs9bo 2 дня назад
Allahumma ghfir lahu arhamhu wa'aafiih waskunhu fil janna
@Amyomy-od5ry
@Amyomy-od5ry 2 дня назад
Allah akurehem na alijaze nuru kabr lako🤲
@LatifahPambe
@LatifahPambe 2 дня назад
Aaamiyn thumma aamiyn
@user-nt7gm8lk1y
@user-nt7gm8lk1y 2 дня назад
Mashallah jazakallahu kheri pongezi sana mwalimu ❤❤❤
@Geuhhe-v5l
@Geuhhe-v5l 2 дня назад
Allah akupe umri mrefu na uzima uzidi kutuziduwa ❤ aameen
@halimaali1157
@halimaali1157 2 дня назад
Allah akulipe kheri sheikh.
@busingebanisadri
@busingebanisadri 2 дня назад
Mungu akuweke na akupe mwisho mwema maalim Uthman
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 2 дня назад
Mashaallah jazakallah
@user-pd4qb7uz8b
@user-pd4qb7uz8b 2 дня назад
Manshallaah allah akujalie umri mrefu uzidi kuineza dini ya khaki mbele ya allah.
@MaindaSwalehe
@MaindaSwalehe 2 дня назад
Mashallah ❤❤
@DaudaBilikesi
@DaudaBilikesi 2 дня назад
Allah akusimike na akuimarishe katika imani na taqwa Bwa Jeremiah kwa kusikia , kupokea na kuamini HAKI.
@SurprisedClipperButterfl-hh2jk
We hufanya Mimi kuipenda sana dini ya kislamu kufuatia mafunzo Yako, nakupenda sana maalim mungu akupe mwisho mwema
@saudaumar3354
@saudaumar3354 2 дня назад
Mashallah Nampenda JULAIBIB Chuko pamoya shekh shukran
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 2 дня назад
Allah akuzawadie pepo hakika umefikisha ❤❤❤