MWELEKEZI TV itajikita katika kuelimisha na kuchambua kwa kina matini za lugha akrama ya Kiswahili. Sakura MWELEKEZI TV katika mitandao ya kijamii. MWELEKEZI TV itajibidiisha katika kuelimisha, kuburudisha na kuhamasisha. Matini zitajikita katika uchambuzi wa mfumo wa umilisi wa CBE pamoja na mfumo wa 8-4-4. Kiswahili kitukuzwe. Tujidi pamoja. USISAHAU KUSUBSCRIBE NA KUSHARE.
Shukrani zote ni kwa Jaalia. Asante sana bingwa @FridahOkangi. Nashukuru sana kwa ujumbe wako. Ninakuahidi kwamba tutazidisha juhudi ili kuhakikisha kwamba tunafikia watu wengi ili tuweze kuimarisha viwango vya Kiswahili nchini. La mno ni kuhakikisha kwamba lugha akrama ya Kiswahili inaeleweka kwa ufasaha hususan katika uchambuzi wa fasihi.Asante sana,tuzidi pamoja.