Nampenda sana pia jmn,,mafundisho j5 jion Sasa 11,,na ijumaa muda huohuo,,jmapl asubuh Sasa 3 jumamosi Sasa Tano fagiafagia,,na Kuna ibada ya lango,,alfajir Kuna mapambazuko kila siku Sasa 9:30
Bishop umefanyika mbaraka katika maisha yangu, masomo yako naimani yatafanya mabadiliko makubwa huu mwaka 2024 ndio nimeanza kukufatilia. Ubarikiwe sana
Sema ni muhimu sana mjitahidi kutuwekea updates nyingi hasa hapa youtube hasa kwa sisi tuliyopo mbali hili huduma ya neno la Mungu itufikie kwa wakati ni muhimu sana. imagine tunakaa wiki nzima hadi wiki mbili atupati neno la uzima dah fanyieni kazi hili na MUNGU atawabariki masomo yaje kwa wakati yan bandika bandua tuzidi kujifunza. MUNGU AWABARIKI.
Nadhani ni meditation ni SoMo Muhimu sana kwa mwanadamu..Pastor ikikupendeza tafuta Nafasi na taarifa za kutosha kuhusu jambo hili uweze tupa maarifa zaidi..
Joshua 1:8..it tell us why we should meditate on word of god...Pia Pastor amezungumzia issue ya kujifunza kuisikia sauti ya MUNGU jambo ambalo wa kristo waliowengi Bado hawajui jinsi gani Tupo ktk upande Mmoja tu wa Sisi kusema na MUNGU ila upande wa MUNGU kusema na sisi tuna shida hapo