Oya awajayogwa tu uyu raisi anasubiri nini au atuna raisi raisi anfuraiyaa nini apo munachuguza kituga au ndio kesi yagedere kaperekewa yani eee kwkua wote serikari
Jman haw wamelichafua ht taifa, kemeeni vikali vitend vya ubakaji ulawit tutaangamizw kama Dodoma na ghomora wanaotetea dhambi hii itawatafuna na watoto wao
Shumikamoo kiongozi ivi mfano nina mtu ambae yuko ufaransa nikimwambia a create e-mail kwa jina langu akiwa huko na anifungulie kila kitu hata number aninunulie huko akinitumia details nianze kutumia itakuwa iko monétisation ? Na je kwakutumia itaniomba VPN tena?? Nahitaji jibu kaka.
Acheni kujitia vidole halafu mnacheka sanda itabaki kuwa sanda Haina kifupi Wala kirefu hizoo zoooote ni mbwembwe haihitaji elimu ya vyuo eti kanga kirefu chale ni kitenge pumbavu