So beautiful and prayerful. I don't speak your language but I have found such healing and comfort in your work. I pray God bless all of you for your deepest needs.
Huu wimbo una message safi sana. Itakuwa uchungu sana siku ya mwisho tukikataliwa na Kristu kwa sababu we are preaching water and drinking wine. Mungu turehemu tuweze kufuata njia zako baba🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wow! Hii kwaya iko vizuri jamani. Mungu atukuzwe mwanadamu atakatifuzwe. Ndicho kinachofanyika. Mungu itunze kwaya yenu na muongezeke kiimani na kiutume
I love this song! Wimbo ni mtamu na waimbaji wameimba na kucheza vizuri! Utangulizi wa huo wimbo ni mtamu sana! Hongera kwa mtunzi na kwa wanakwaya wote.👏👏👏👏👏
Huyu dada wa sauti ya pili anatakiwa kutengenezewa mnara maana sauti inaleta hamu na ghamu kuisikiliza kila sekunde. Hongereni sana walimu M.Mtinga na Ansbert Ngurumo
Kristo, asante wana kwaya, asante Kaka Ngurumo kwa utunzi mzuri, asante Kaka Mtinga kwa kufanya vema sana sehemu iliokuhusu hakika mmenifanya nisali vema . Mbarikiwe sana