Тёмный
Mbwaduke Stats
Mbwaduke Stats
Mbwaduke Stats
Подписаться
Hii ni chaneli ya Mzee wa Data inayojadili michezo mbalimbali kwa kuzingatia facts.
Wasiliana nasi kupitia: Simu 0759464186 au e-mail: mbwadukestats@gmail.com
MBWADUKE: WOW! THIS IS SIMBAAA...!
11:47
День назад
Комментарии
@MussaUpunda
@MussaUpunda 4 часа назад
Ag E❤😮🎉
@SalviusGabriel
@SalviusGabriel 4 часа назад
Amakweli wewe ni mwalim
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 4 часа назад
Bwaduke wewe Mimi nakukubali ,unafanya uchambuzi vizuri sana hata sauti inapo kauka na sawa kabisa maana wewe unachambua tumuzote vizuri , lakini wewe nimshabiki watimu gani?
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 4 часа назад
Wengi wanachama kwakutumwa huyu namkubali sana
@SteveSteve-l6g
@SteveSteve-l6g 4 часа назад
unajua boss
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp 5 часов назад
Unaweza kaka
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 5 часов назад
Pole sana Uncle Mbwaduke, tangu jana katika Kandanda Mubaashara ina one kama unaumwa kifua 😢
@EcheniMene
@EcheniMene 6 часов назад
Mzee wa DATA
@KhamisAlawi-n1k
@KhamisAlawi-n1k 9 часов назад
Hapo naiyona nafasi ya yanga inaaga mapema tu, haitofikia hata harufu ya robo fainali, kama hamniamini subirini tu, mtaamini mbele ya safari👍🤣
@KwellyRyoba-n5s
@KwellyRyoba-n5s 13 часов назад
Hadi waarab waelewe kuwa simba ni timu ngumu kuiondoa krk hatua ya makundi watakuwa wamevurugana sana
@AdiminMwanja
@AdiminMwanja 13 часов назад
Uko vizul san
@AmosiSimbeye-ll8pg
@AmosiSimbeye-ll8pg 15 часов назад
Sauti vpi babu
@BesaKikaja
@BesaKikaja 15 часов назад
Sijaelew, kwann Simba Kwa sas ipo nafasi ya 7 ikiwa na points 39 wakat umeeleza kwamba hadi sasa simba Ina points 28+ 2.5 za kuingia makundi jumla 30.5 ?
@SangaliPower
@SangaliPower 13 часов назад
Rejea kwenye video zake za nyuma ameelezea vizuri sana
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 часа назад
Ondoa pointi zote za msimu wa 2019/2020 kisha ongeza za msimu huu kwa hatua hii 2024/2025.
@habibuabuu9609
@habibuabuu9609 15 часов назад
Nakukubali mzee
@HamiduMsaka
@HamiduMsaka 17 часов назад
Huwezi kuzuia maji ya mafuriko kwa viganja yanga hii hata uzuie utapitwa tu
@walidibalinago7790
@walidibalinago7790 18 часов назад
Leo watatu ila siitaji likes zenu😂
@AlexMgeta
@AlexMgeta 18 часов назад
Yaani hapo umeua hakuna nyongeza 🎉🎉🎉🎉🎉
@alitante4279
@alitante4279 18 часов назад
Saut vp mbwaduke ulishanglia mechi ya jana ya ma princes au 😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 3 часа назад
Kwa kip??
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp 18 часов назад
Mm ni wakwanza naomba like zangu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 11 часов назад
Like tunampa Mbwaduke we wamaana gani?
@perepetuajohn
@perepetuajohn 22 часа назад
Asante kaka, kuwaambia watu wanaoibeza Yanga kuwa ni ndogo kuliko wao😂😂😂😂
@MasoudMussa-d4d
@MasoudMussa-d4d 23 часа назад
Ww ni noma mzee wa data kwa kuchambua soka
@malekoyotan420
@malekoyotan420 23 часа назад
nyinyi mnawazimu mkubwasana hamjui msemalo mtatamanisana
@peterstewart9935
@peterstewart9935 День назад
Good...kazi yako ni njema.
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev День назад
We mbwaduke ndo mchambuzi wa maana sana unaweka data za maaana
@thomasiddy
@thomasiddy День назад
ni penat alianza kucheza mpira ndio ila nguvu aliyotumia paka kumgusa shabalala inaatarisha afya ya mchezaji ndio sababu ya kutengwa penart
@AustinJoshua-w8i
@AustinJoshua-w8i День назад
uko vizuri kaka kwa kunielewesha mambo ambayo nilikuwa siyajui
@RamadhanMohd-q8l
@RamadhanMohd-q8l День назад
Nakupat kiongoz❤❤❤
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 День назад
ELIE MPANZU KIBISAWALA imetombokea fwasii ya TZ😂😂😂#SIMBA nguvu moja
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 День назад
Mbwaduke kasomee ukocha upo vizuri sana kwenye uchambuzi❤❤❤#SIMBA nguvu
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga День назад
Linganisha wote kwa dk 180 kwa michezo ya round ya pili, uache michezo ya round ya kwanza, yanga ilinganishwe na michezo yake aliyocheza na cbe tu, ie 180÷7.
@maryamtan682
@maryamtan682 День назад
🙏🙏❤️❤️❤️
@rogersmassawe7563
@rogersmassawe7563 День назад
Wale wanaojiitaga mabingwa wa Historia mbona wako kimya ? Na hii watasema wameiandika wao kuwa port no1 😂😂😂😂😂
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 День назад
Nice Yanga bingwa❤🎉❤
@hakiba1207
@hakiba1207 День назад
Nakupenda wewe kiongoz wangu Kiuchambuzi we ni next level
@SmilingJapaneseMaples-sz6yu
@SmilingJapaneseMaples-sz6yu День назад
Mbwaduke yaan adi nakupenda bure Kwa uchambuz wako
@AndreaMsofe
@AndreaMsofe День назад
simba raha jamani tunamshukuru bosi wetu hataki m chezo watalegea tuuuuu
@AndreaMsofe
@AndreaMsofe День назад
tuletee huyu feitoto tundelee kunogesha jamani rahaaaaaa
@thabit5775
@thabit5775 День назад
Bado mabluu
@JumajumaJumajumaboy
@JumajumaJumajumaboy День назад
Unatisha sana
@BwireMakamba-lp8py
@BwireMakamba-lp8py День назад
Uko vizuri Mbwaduke waelimishe mashabiki ligi hii ni ngumu msimu huu
@BekimArmika
@BekimArmika День назад
831 Mante Squares
@ChristianMdee
@ChristianMdee День назад
Tukumbuke kauli ya mutajiri..mo anataka kombee la Africa 🌍
@Kainga47
@Kainga47 День назад
Mungu ibariki Simba 💪💪
@respiciousbishubo1158
@respiciousbishubo1158 День назад
Nz J
@mbaroukkillo1376
@mbaroukkillo1376 2 дня назад
Mzee wa data wewe kwangu Ni TANZANIA ONE Kwa upande wa uchambuzi bro hauna baya kwenye data's we Ni noma,sana
@FranceChihongo-qu5nn
@FranceChihongo-qu5nn 2 дня назад
TATIZO NI MIKEKA YA KUWAPA YANGA ASHINDE NA OVER 1.5
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 2 дня назад
Hao wanosema ni makolo kocho na mambumbum u wa mpira acham naon
@AbdallahMsangi-o3k
@AbdallahMsangi-o3k 2 дня назад
Kwa SIMBA Hii Naogopa Mimi Daaaaaah!!!! Ni Hatari sana,Tusubiri kuona 👏👏👏
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 2 дня назад
Mzee wa data we ni mtu nanusu
@PatrickShindika-s6f
@PatrickShindika-s6f 2 дня назад
Mmmh they will state for this simba
@SalumSevingi
@SalumSevingi 2 дня назад
Kaka ww unasema ukweli ubaya ubwela smba nguvu moja.