Very nice and refreshing. Reminds me of Kenya Broadcasting Corporation and its presenters like Hadija Ali, Billy Omalla, Anunda Sakwa, Elizabeth Obegi and others.
Enzi ambazo Kiswahili kilitilirka na kububujika vinywani mwa wasanii na wananchi wa Kenya 🇰🇪 kabla kizunguzungu na kitefutefu cha Kizungu hakija wateka bakunja. Enzi ambazo nyimbo zilikuwa zinaimbwa na wasanii wenye vipaji na sio kuimba tu ili kutafuta hela. Enzi ambazo nyimbo zilizoimbwa zilishehena mafundisho, burudani, adabu, ubunifu, ustadi, uzalendo, maonyo n.k. Enzi ambazo jamii ilikuwa na ujamaa na msingi wa familia ndio ulikuwa nguzo kuu. Ndizo hizo enzi za enzi. Enzi ambazo kuziona imesalia kwa kumbukumbu tu!
Enzi za asali na maziwa. Enzi ambazo dunia ilikuwa dania kabla haijawa gunia. Nyimbo hizi hunikumbusha Hayati Babangu kipenzi Zaccheus Kwendo❤, Babu kumzaa Baba Zadock Ombima na Babu kumzaa Mama Joseph Otwoma. Mola azirehemu nafsi zenu wapendwa 🕊️.
Africa ya Mashariki ilikuwa na waimbaji wenye vipaji sana.. Sijui kwa nini sasa waimbaji wamepoteza dira kabisa.. Nyimbo za asili zimepotea sasa wanaiga za kizungu mno..
this reminds me when i was in primary school.we used to go home for lunch running so as to observe .the only radio station was kbc,and they used to play these songs