Тёмный
Rgs Tv
Rgs Tv
Rgs Tv
Подписаться
Uwanja wa maarifa, Neno la Mungu, mikasa ya watu mbalimbali, na interviews mbalimbali.
Комментарии
@user-lp3kw2vn8f
@user-lp3kw2vn8f 2 дня назад
ww Kama kweli unavosema sio njia lais mbn we unaenda na una ela shingapi naww umenda Kama mkimbizi unakatisha tamaa watu brother na kichaneli chako ichi
@peterkalistopeter1396
@peterkalistopeter1396 7 дней назад
Kuku wa mayai hawalipi
@Amazing-xk3hj
@Amazing-xk3hj 6 дней назад
Wanalipa ila faida utaiona baadae
@AdelaidaNyota-lz5ty
@AdelaidaNyota-lz5ty 16 дней назад
Je mimi nina umri miaka 43 naweza kupata jazi samahani unipe majibu, nanijisigani utanisaifia kutuma maombi
@Nyanda-mg7pn
@Nyanda-mg7pn 25 дней назад
Ndugu yangu kwa mawasiriano yako zaidi naomba namba yako
@Hansi-x8f
@Hansi-x8f Месяц назад
Nakubali Sana good idea umetupa
@OdetNkulu-jy4yl
@OdetNkulu-jy4yl Месяц назад
Kaka habari nipe namba yako
@user-oy3pp1lb4d
@user-oy3pp1lb4d Месяц назад
Aisee broo umetisha nipo Mbeya nafanya uwakala naacha narudi moshi kwetu kufuga kuku
@johnymelkiory5451
@johnymelkiory5451 Месяц назад
@bonifacemollel87
@bonifacemollel87 Месяц назад
Sio kweli kabisa eti kuku anataga mayai kilasiku ndani ya mwaka moja
@kananiomwamirwenyagira8374
@kananiomwamirwenyagira8374 Месяц назад
Endelea kujifunza ukisema kwa sauti utachekwa..kaa na mfugaji akufundishe
@HaroldUkason-cs3jk
@HaroldUkason-cs3jk Месяц назад
Sikiliza vizuri maelezo na uyarudie tena. Amesema kuku WANATAGA kila siku kwa miaka miwili na sio ANATAGA maana yake hakuna siku utaingia bandani ukose mayai ndani ya miaka miwili. Kuku mmoja wa mayai aliyelelewa vizuri anaweza kuacha kutaga mara moja tu kwa wiki. Pia kuna sehemu amesema wanaweza KUKATA au KUACHA kutaga kwa sababu mbalimbali. Fanya utafiti vizuri mpendwa.
@bonifacemollel87
@bonifacemollel87 Месяц назад
Sawa kaka ​@@HaroldUkason-cs3jk
@SAMUELGEORGE-so3qj
@SAMUELGEORGE-so3qj Месяц назад
Mungu akubariki kaka Mungu aendelee kukutunza umeongea kitu ambacho wafugaji wengi huwa hawakiongei baadhi ya wafugaji wengi huwa hawasemi ukweli pindi mtu anapotaka Ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa mayai huwa ni waoga kuona mtu mwingine anafanikiwa kama wao ni wabinafsi sanasana Mimi nitakutafuta nakuomba unishike mkono natamani kufuga kuku wa mayai ila sijapata mwongozo stahili nitakupigia sim tuongee zai mungu azidi kukuinuwa zaidi ya hapo ninaamini kuku ni utajiri mkubwa sana kama unaenda kwa misingi ya kuku wanavyotaka
@DaudScience
@DaudScience Месяц назад
Mimi naomba unijuilishe mshahara wa mafundi sofa kwa saa au mafundi kochi kiasi gani kwa saa
@alexntahiraja2974
@alexntahiraja2974 Месяц назад
Jamani neno uaminifu ni mtaji lisiwapite. Wapo matajiri wengi ambao wana pesa na hawapati watu wa kuwaamini.
@raphaelmtui
@raphaelmtui Месяц назад
Tumelitaja kwa uzuri kabisa Bwana Alex.
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Месяц назад
Upo sahihi kiongz
@magdalenazacharia5214
@magdalenazacharia5214 Месяц назад
Arusha yangu
@suleimanomary658
@suleimanomary658 Месяц назад
God,sijui yuko wapi? Alikuwa Loco Driver siku hiyo.
@alexvenas2699
@alexvenas2699 29 дней назад
Mpuuzi
@tatually1366
@tatually1366 Месяц назад
Kka
@beatusmtui507
@beatusmtui507 Месяц назад
Classmate wangu Rafael Mtui
@jakuvuai1428
@jakuvuai1428 Месяц назад
Guys hiy ni canadian dollar kama mmesikiliza vizuri, sio USD NA Canadian dollar ndogo karibu mara mbila ya use so broo yuko tu sawa
@MadamOrida
@MadamOrida 2 месяца назад
Naomba namba zako kaka
@raphaelmtui
@raphaelmtui 2 месяца назад
0688129292 namba za huyo mfugaji
@VainesMsigwa
@VainesMsigwa 2 месяца назад
Bwana yu karibu kuja Amina njoo bwaa upesi Israel ndio saa ya Bwana
@zaudolutambi9895
@zaudolutambi9895 2 месяца назад
Ubarikiwe sana kaka kuna baaz ya wafugaj wanakatisha tamaa
@user-kp7vj1eg3y
@user-kp7vj1eg3y 2 месяца назад
Million 7 za TZ ni pesa gapi kenya
@dicksonmutungi7367
@dicksonmutungi7367 2 месяца назад
368,000 Kshs
@jifunzemengi1620
@jifunzemengi1620 2 месяца назад
Ingia google andika tsh to ksh
@LightnessMollel-sk6ck
@LightnessMollel-sk6ck 2 месяца назад
Hellow
@user-zx8kk4sw1u
@user-zx8kk4sw1u 2 месяца назад
uongo sio kwelli
@JohnSaully
@JohnSaully 2 месяца назад
Ndugu yangu kwema mkuu vipi huko ndugu uko salama
@DaudScience
@DaudScience 2 месяца назад
Miminifund wakutengeneza viti vya gari nauliza mshahara wa huyu fundi analipwa kiasi gani
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 3 месяца назад
Mdogo wangu Mtui mimi sijatosheka na hayo maelezo yako
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 3 месяца назад
Naomba njia za kupata hizo kazi soon
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 3 месяца назад
Na je hakuna kazi za kuendesha tractor au kufanya deliveries au cleaning
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 3 месяца назад
Asante unapataje hizo kazi
@MaimonaRajebo
@MaimonaRajebo 3 месяца назад
Kaka nahitaji kazi huko nifanye mchakato
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 3 месяца назад
Najivunia Arusha yetu aloo
@MaryKasaine-us6fo
@MaryKasaine-us6fo 3 месяца назад
Niko arusha nahitaji fundi wa kunijengea banda zuri nianze ufugaji wa kuku
@raphaelmtui
@raphaelmtui 3 месяца назад
Pigia hiyo namba iliyooneshwa kwenye video
@AzzAbdla
@AzzAbdla 3 месяца назад
Mm najitaj
@user-kr2yk6gn4q
@user-kr2yk6gn4q 4 месяца назад
Nahitaji izo kaz,napataje
@RoseMbwana
@RoseMbwana 4 месяца назад
Mtaji wa 300000 unapata kuku wangap
@ms123ru
@ms123ru 4 месяца назад
My mother was police incharge that day
@raphaelmtui
@raphaelmtui 4 месяца назад
So sad
@elibarickmateru6193
@elibarickmateru6193 4 месяца назад
Je kazi nyingine
@user-lc1ix6sy9u
@user-lc1ix6sy9u 4 месяца назад
Wonderfully place❤
@michaelnkanda6652
@michaelnkanda6652 4 месяца назад
Kelele hizo za Nini?
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 5 месяцев назад
Duui
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 5 месяцев назад
Mm naomba kuuliza mv spaic ilikuwa Melina ya mizigo au watu
@raphaelmtui
@raphaelmtui 5 месяцев назад
Ilikuwa ya abiria
@user-qs8qu5kz6j
@user-qs8qu5kz6j 5 месяцев назад
Kaka kwenye hilo bado unafanyeje usafi
@raphaelmtui
@raphaelmtui 5 месяцев назад
Piga simu namba zipo hapo kwenye video utafundishwa bure. Somo muhimu sana hilo.
@user-vp6ol3kq6g
@user-vp6ol3kq6g 5 месяцев назад
Izo ela zinatutamanisha sisi choka mbaya Kuna watu hii bongo Wana kunja ml 1 Kwa siku hawana time na huko Canada na wanauwezo wa kuja tusio na uwezo wa kuja mnatuchoma roho tunaziona nyingi sana
@huldawango6915
@huldawango6915 5 месяцев назад
Naomba namba zako za simu tafadhali
@raphaelmtui
@raphaelmtui 5 месяцев назад
Tumezitaja kwenye hiyo video kwa uzuri kabisa.
@Holyghostpower.
@Holyghostpower. 5 месяцев назад
Xomo zr
@JumaKikowapi-tk8bt
@JumaKikowapi-tk8bt 5 месяцев назад
Hujui kuhadithia
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu 5 месяцев назад
Dah!ni nomaa
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu 5 месяцев назад
Subhanallah
@user-dd6bx9es1u
@user-dd6bx9es1u 5 месяцев назад
Wanaweza kusongesa siku za kuzaa?
@ruwaydaversi9825
@ruwaydaversi9825 6 месяцев назад
Thanks