Huyu Ruto alitoa ushuru ya visa ndio afurahishe ulimwengu . lakini huo ushuru anatuwekea sisi.ndio wakenya wanaeda kununu vitu kama viatu na vipodozi Uganda wanaleta kuuza kenya.zile bidha zimepita Kwa port ya Mombasa ni cheap Uganda kuliko Kenya the same na petroleum products 😂
Sijui km Hawa wanaojiita wabunge wanawaelewa wakenya ungonvi wa ruto na wenzeke ktk palament mpaka njee ya palament ningelikuwa na nguvu ningefunga mlango wa bunge letu tuzichape humo bungeni ili tuamkee tujue kijani sio Bora kuliko Tanzania yenyewe
Looking For Appointment. Not The Right Way. If Myself I'd Have Focused In The True Side Of My Father That People Don't Know... I Hate Taking Advantage Of The Situation. If The Dead Can Come Back Only 30 Minutes Utachapwa Kofi Ya Mwaka.. 🤔
Wacha ujinga kwa kujipendekeza kwa serikali ili mupate malipo ya mzee WAKO kwa haraka BILA usumbufu.wewe ni limbukeni tuu wa .mtego wa mali za babakp.kikaragosi