Тёмный
Mawengi TV
Mawengi TV
Mawengi TV
Подписаться

Mawengi TV ni chaneli ya mtandaoni inayofanya kazi kwa weledi na kufuata sheria za nchi na imesajiliwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia sheria ya huduma za habari.

Mawengi TV imejikita katika kutoa taarifa mbalimbali za Michezo na Burudani ambapo uki-subscribe katika chaneli hii utapata habari mbalimbali za michezo na burudani kutoka Tanzania,Afrika na Duniani kwa ujumla.

Pia utaweza kupata mahojiano maalumu na Wadau mbalimbali wa Michezo na Burudani.

Tafadahali SUBSCRIBE kwenye chaneli hii kwa habari motomoto.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0775838849.



Комментарии
@kolosii4351
@kolosii4351 9 часов назад
Huyu baba Injinia ni mtu na nusu. Wengine ni majungu tu. Injinia anajua kuiwakilisha Yanga na hata Tanzania kimataifa. Ninajisikia fahari ninapomsikiliza Injinia akiwa nje ya nchi na kuiongelea yanga. Ni baba wa wawatoto na mpira.
@davidwatson6821
@davidwatson6821 13 часов назад
Yaani huyu mchungaji haeleweki kabisa, ndumilakuwili
@kahangwamsanjilla100
@kahangwamsanjilla100 13 часов назад
Daaah mtangazajii!!! Ongeza umahili kwenye kuuliza maswaliii
@moussaaliabdallah1096
@moussaaliabdallah1096 16 часов назад
Huyu mchungaji sijui kama anachunga ngombe au mbuzi,ni muongo sana ,anaongea kama kasuku
@JeanMinani-r5q
@JeanMinani-r5q 19 часов назад
Kwan yanga kukiri ubora wake jopokuwa alikiwa timu pnzani Kuna kuso gan ,Kwan kila mchezaj mzur yupo yanga ? Hata tmu nyingine wamo
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 22 часа назад
Pasi million asante kwa ponti,tuseme anayesema MO atusaidie amalizie kujenga uwanja bunju,tusinyanyasike tena gonga like,mo asome ujumbe wetu ❤
@user-zx1vk9pr1w
@user-zx1vk9pr1w 22 часа назад
Mmh 🤣
@GideonEzekieli
@GideonEzekieli 23 часа назад
Wakwanza kucoment gonga like wanasimbaaaaaaaaa wenzangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Mawengitv
@Mawengitv 23 часа назад
Upo vizuri
@user-ii6sp2nn1m
@user-ii6sp2nn1m День назад
Hatukutaki bweha ww
@ArafaMkomwele-vi2hp
@ArafaMkomwele-vi2hp День назад
Hakika Haina baya kwa uongozi Wala walimu
@johnjoel5012
@johnjoel5012 День назад
Nilidhani unazungumzia mpira kumbe unazungumzia ushabiki.
@user-fd1kv7zm4s
@user-fd1kv7zm4s День назад
Ucijimaliz
@sirajally8356
@sirajally8356 2 дня назад
huwo ndo ukweli hata mm na kukubal sana kaka
@bugdadiajm1832
@bugdadiajm1832 2 дня назад
HANA JIPYA
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 дня назад
Na Azam mbona hamsemi nyinyi kilamkiamuka Simba chama waandishi gani msio jielewa madeni fc hawana hela
@nichorasjeremiah8821
@nichorasjeremiah8821 2 дня назад
We mwenyewe hukuwa hata na sababu ya kwenda kuiongelea simba
@MhagamaJoseph
@MhagamaJoseph 2 дня назад
Usijidanganye mchungaji
@arnodswai7351
@arnodswai7351 2 дня назад
Anafanana na lisu 😅😅😅
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 2 дня назад
Wamekwemda kwa pesa Yao sio ya babako Wala mamako. Shughlika na mambo yako
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 2 дня назад
Mmmh Mungu alaumiwe tena?
@johnsonisack1133
@johnsonisack1133 3 дня назад
Sio ngumu kaka,pacome anaweza shuka acheze 8,alafu nyuma ya dube,akae chama,ki na max
@boniphacesimkonda2293
@boniphacesimkonda2293 3 дня назад
Pole sana mchungaji
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 3 дня назад
Tunajianda na safari ya kwenda Burundi mabasi 50 yanandaliwa
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n 3 дня назад
Hatutaangalia usonini kukung'utatuuuu
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n 3 дня назад
Tutawanyuka haswaaaaa
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n 3 дня назад
Umrimdogo Mchambuziwa kizamanihuyu
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 3 дня назад
Young Africans, MUNGU aliye hai yupo upande wetu,kocha, wachezaji, viongozi,na wananchi wote, tuna wakati mzuli sana,
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 3 дня назад
VitaL,o wameanza usajili mpya Kwa ajili ya kuwakabili Young Africans
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 дня назад
😂😂😂
@user-ui8dw7fc6u
@user-ui8dw7fc6u 3 дня назад
YANGA kwenda Burundi wanaenda kuinjoi sana tutafurahi sana Wana yanga
@robertzamani5612
@robertzamani5612 3 дня назад
Mi wachambuzi nawashangaa sana,mpira wa siku hizi hauzezwi kwa namba kama zamani
@pascojm6816
@pascojm6816 3 дня назад
Huyu jamaa ajifunze kuwa pacome natural position ni 8 Sema huwa anacheza winga, Maxi ni winga natural, Aziz na Chama ndo namba kumi, Duke anaweza kucheza winger pia. Sio wote namba 10
@WatsonJohn-l5c
@WatsonJohn-l5c 4 дня назад
🎉🎉❤
@user-sz6ht5wm2g
@user-sz6ht5wm2g 4 дня назад
Mchungaji Issa unajua mpira na wala hubahatishi na ni mkweli sana
@user-sz6ht5wm2g
@user-sz6ht5wm2g 4 дня назад
Mchungaji nitakuwa nakufatilia upo mkweli sana na Mungu akupe maisha marefu ili ukweli wako uwe njia kwa wengine
@user-sz6ht5wm2g
@user-sz6ht5wm2g 4 дня назад
Mchungaji aisee yupo sawa ila mbumbumbuu hawatakubali sijui wanashida gani
@erastocyprian3555
@erastocyprian3555 4 дня назад
Uyu jamaaa noma sana anajua
@saadomar2480
@saadomar2480 5 дней назад
Acheni kujisifu mnaweza kuaibika. Uanjani kunapicha mpya
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 5 дней назад
Uko sawa kiongozi🎉🎉🎉🎉
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 5 дней назад
Baba mchungaji wewe unasemakweli viongozi wanawaacha wachezaji kwa mihemko ya mashabiki utafikili wao ndiowanaosajili mashabiki wa Simba wakisema mchezajifurani hatumtaki basi viongozi wanamuacha ila mwakahuu watakachokutananacho lawama hatutaki waliokuwa wanauza mechi wote mmewafukuza olewenu mje na lawama la kuuzamechi wakati mmeacha wachezaji wazuri mmesajili wabovu wajinga sana nyinyi alafu mnasema mnalogwa mpira uwanjani hamnamchawi sasaivi uchawiwako niusajili tu
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 5 дней назад
Mchungaji tuombee timu yetu wasichomane
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 5 дней назад
Mwandishi unawaswas wewe sio wanasimba tunajiamini
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 5 дней назад
Broo nakufatiria sana unajua sana
@Meshacksinedi
@Meshacksinedi 5 дней назад
Nkwel anachokisema kwa makocha
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 6 дней назад
Umezungumza kilataam mkuu 💪🦁
@Mawengitv
@Mawengitv 6 дней назад
Hakikaa
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 6 дней назад
Yes
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u 6 дней назад
Sawa sawa mchungaji yanga wanawaloga sana wachezaji wetu Mimi Kila siku nasema na huko misri Kuna mashekh wengi wasome Albadil huko huko kabla hawajarudi huku bongo wachezaji wanalogana na yanga ndio kabisa wanatuloga sana tuwakomeshe
@KennedyJohn-p1i
@KennedyJohn-p1i 6 дней назад
Angalia tusije tukakimbiana iyo tareh 8
@jameshonore6554
@jameshonore6554 6 дней назад
Kawaida saana....... !!!! Kila kitu poa
@amanisalum1638
@amanisalum1638 6 дней назад
Tutajie ofisi Yako ya utabiri tuwaelekeze wateja. Kuna mabinti wengi wanahitaji huduma ya kuangaliziwa nyota zao
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 6 дней назад
Kumbe yanga mlikuwa mnamkubari chama ,ila mlikuwa mnajikaza tu, duuu maana sifa mnazo mpa chama ni balaaa
@goldmansun5859
@goldmansun5859 День назад
Mchezaj yeyote akija yanga mzuri, hatuna mda wa kusifia vya watu, tunasifia vyetu